misaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada

    Mada tajwa hapo juu ni juu ya hawa African leaders. Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada. Wataongea nini wakati wanaopigana ndio tunaowategemea. Nchi zinazo jitegemea tu ndio zinaweza kuongelea hiyo vita na kutoa ushauri...
  2. Msamaha kwa 'Mwamba' ulikuwa ni wa lazima ili Taifa lipate Misaada ya Fedha nyingi kwa Watoaji wa Kimataifa wasiopenda Uonevu

    Baaada ya 'Mwamba' kutoka sasa ni wazi zile Pesa za Msaada kutoka Marekani na Uingereza zitatoka ili zingine tuzichezee, tuzifuje, tuzihifadhi kwa Matumizi 'Maalum' ya 2025 na nyingi zitakazobakia tukakijenge zaidi Kisiwa chetu na Chenji apewe Baba Mshauri wa Pwani ya Kaskazini mwa nchi.
  3. Misaada inayotolewa na Ulaya inapaswa kugawanywa 'pasu kwa pasu' baina ya nchi mbili zilizo katika Muungano

    Serikali ya Tanzania imepata msaada wa Euro Milioni 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kutoka Kamishineni ya Umoja wa Ulaya (EC) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo, Rais wa Kamisheni hiyo ametangaza kiasi hicho cha msaada baada ya kukutana na Rais Samia ambaye yuko ziarani nchini...
  4. Umoja wa Mataifa: Watu milioni sita wahitaji misaada Ethiopia

    Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kukabiliana na dharura inasema zaidi ya watu milioni sita katika maeneo kame ya mashariki na kusini mwa Ethiopia watahitaji msaada wa kuyaokoa maisha yao mwaka huu. Shirika hilo linasema zaidi ya watu milioni 6.4 katika maeneo yaliyoathirika...
  5. S

    Unamfunga Mbowe kisha unakatiwa misaada na mikopo na zaidi kutakiwa kuimarisha utawala bora na demokrasia

    Mungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe atafungwa. Hawataishia hapo, wataongeza mbinyo kutaka aachiliwe na zaidi watataka mabadiliko ya katika...
  6. J

    Yaliyojiri katika Mjadala wa Club House ya JamiiForums: Nini kifanyikeili nchi ipate tija stahiki kutokana na misaada inayopata kutoka nje ya nchi?

    Mjadala wa leo katika Club House ya Jamiiforums unahoji "Nini kifanyikeili nchi ipate tija stahiki kutokana na misaada inayopata kutoka nchi za nje. Kujiunga na mjadala huu tafadhali gusa link hii hapa chini https://www.clubhouse.com/join/jamiiforums/LYWyFrn2/PQDz7y5w Mjadala umeanza...
  7. Afghanistan: Taliban wataka Serikali yao kutambuliwa

    Kundi la Taliban limeitaka Marekani na Mataifa mengine kutambua Serikali yao, likisema kushindwa kufanya hivyo na kuendelea kusitisha Misaada kutaleta matatizo sio tu kwa Afghanistan, bali ulimwengu mzima Hakuna Nchi ambayo imeitambua rasmi Serikali ya Afghanistan tangu ichukue Madaraka Mwezi...
  8. Kuna Mtanzania bado anaamini nchi hii ni masikini na inahitaji misaada zaidi kujikwamua?

    Nawauliza Watanzania, nchi hii ni maskini kweli au inakosa viongozi wenye maono? Kabla ya Magufuli kuingia madarakani Kikwete alitembeza sana bakuri ughaibuni,tulivyoambulia ni pamoja na vyandarua toka USA Magufuli akaingia madarakani slogan yake akasema nchi hii si maskini, ina kila aina ya...
  9. Naombeni misaada jinsi yaku arrange blogu

    Naombeni msaada jinsi ya ku arrange blogu kama sehemu ya teknolojia unaweka maswala ya teknolojia na sehemu ya breaking news una arrange breaking news tu
  10. Kama mnajiuliza ni kwanini kila Mkoa wakienda kucheza Mechi ya Ligi Kuu wanajifanya kutoa Misaada kwa Yatima, Wajane na Wasiojiweza jibu ni hili

    Ni sehemu Kuu ya Agano la 'Kishirikina' kutoka kwa Waganga wao wa Kienyeji ( hasa yule wa kutoka Kigamboni aliyekuwa akimpa Dawa ya Mvuto wa Watanzania wote Mstaafu namba Nne wa Pwani na ambaye pia alimsaidia Kushinda Kesi mbaya ya Bandarini aliyekuwa Boss wa huko mwenye Jina la Ukoo lifananalo...
  11. Rais Samia 2021/22 amepunguza mikopo na misaada kutoka nje

    Kwamsiofahamu, Rais wetu katika kuitegemeza bajeti ya Serikali tayari taratibu ameanza kupunguza misaada na mikopo ya wahisani mfano kwenye bajeti yake ya 2021|22 amepunguza kidogo kutoka 8.2% hadi 8.1% || Nikweli Tanzania tunapokea misaada ila hatuitegemei. " Hakuna kama Samia " Sisi...
  12. Umoja wa Mataifa waomba Ethiopia kuruhusu upelekaji misaada bila pingamizi

    Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres Jumatano ameitaka serikali ya Ethiopia kuruhusu utoaji wa haraka wa misaada ya kibinadamu kwa mamilioni ya watu kaskazini mwa nchi bila pingamizi. Hayo yanajiri wakati maafisa wa Umoja wa mataifa wakiripoti vifo kutokana na njaa. Wakati wa...
  13. SoC01 Kwanini misaada na mikopo haiwasaidii Waafrika ila inawafanya wawe masikini zaidi?

    Nchi nyingi za kiafrika huwa zinapokea mikopo na misaada kutoka nje ya afrika, ila mikopo hii na misaada inaonekana kuto wanufaisha waafrika kiujumla ila zaidi inawaweka katika mzigo Wa madeni na mtego Wa masharti kandamizi, hapa panaitaji umakini zaidi na ndio maana nimeandika ili angalau tuone...
  14. B

    Marekani yakabidhi misaada ya afya na vifaa tiba kwa Tanzania, thamani TZS 497,559,000

    Marekani ya kabidhi misaada kwa serikali ya Tanzania TZS 497,559,000 kwa ajili ya huduma za afya katika Jeshi la Polisi Tanzania na Jeshi la Magereza Tanzania pamoja na vituo vya afya vilivyo chini ya majeshi hayo vitoavyo huduma kwa majeshi hayo na jamii inayoishi jirani na majeshi hayo...
  15. Nini kitatokea tukikataa misaada kutoka nje na tukajipinda wenyewe?

    Ndugu zangu, Nini kitatokea tukikataa misaada kutoka nje na tukajipinda wenyewe? Tuamue kukataa misaada tujipinde wenyewe kama nchi kutafuta vyanzo vya mapato bila kumuumiza mwananchi. Sasa hivi wametangaza matozo lakini wanazidi kukopa nje na kurequest misaada kitu ambacho ni ujinga wa hali...
  16. W

    Kwanini nchi za Afrika ikiwemo Tanzania bado maskini licha ya kupokea Misaada na Mikopo ya mamilioni ya Fedha kutoka nchi zilizoendelea? - Part I

    Niliuliza hili swali kupata maoni, sio hapa tu ni kwenye majukwaa mbalimbali, Asante kwa wote waliotoa maoni yao. Lakini kwa ufupi misaada na Mikopo kihistoria vilianza miaka ya 1945 na ilikuwa baada ya vita kuu ya pili ya dunia kwa malengo mawili; i) Kujenga miundombinu iliyoharibiwa wakati...
  17. W

    Misaada na Mikopo imeidumaza Afrika

    Dunia imepita kwenye Mapinduzi mbalimbali ya viwanda karibia levels 4. Ila Unajua Afrika has never succeeded neither of those industrial revolution levels. Na ukichunguza na kusoma tafiti mbalimbali utagundua misaada na Mikopo ndio imetulemaza na kutuweka hapa tulipo leo. Nadhani ufike wakati...
  18. Tigray: Chakula cha Misaada kuisha wiki hii

    Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) limeonya hatari ya kuisha kwa chakula cha misaada kuanzia wiki hii katika eneo la mapigano la Tigray nchini Ethiopia. Zaidi ya watu 900,000 wapo katika hatari ya kukabiliwa na baa la njaa ikiwa ni kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha...
  19. B

    #COVID19 Misaada na ufadhili wa kupambana na covid unalemaza uwezo wa watu kujisimamia.

    Je hii speed yakutangaza mapambano dhidi ya corona inaendana na uhalisia? Wizara makatazo yake hayapo specifiki kulingana na tatizo lilivyosambaa bali wapo general. Unasema tusikusanyike bila kusema wapi, unasema watu wasiingie mahabusu bila vipimo bila kutuambia lini mmepeleka wataalam wa...
  20. Tundu Lissu, wewe unakula posho Ulaya unataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya

    Mpumbavu ni nani? Ni Mtanzania anayeshangilia Tundu Lissu aliyepo nje ya nchi anakula posho wazungu Ulaya halafu huyo anataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya. Anaomba Jumuiya ya Kimataifa na nchi wafadhili waiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi na kuzuia misaada. Lissu angekuwa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…