misdis05

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuwa, Picha ama video kuhusu kitu fulani huweza kusambazwa kwa lengo la kuzua taharuki ama kuvuta hisia za wasomaji kwa udanganyifu

    Baadhi ya watumiaji tofauti wa mitandao ya kijamii walichapisha taarifa Agosti 05, 2025 wakieleza kuwa kuna chombo cha anga ambacho kimekuwa kikionekana mara kwa mara na kukinasibisha kuwa ni uvamizi wa viumbe vya aliens ambao watakuwa wameweka makazi yao katika eneo la Pico de Orizaba. Tazama...
  2. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Ni upotoshaji gani uliokutana nao kwenye msimu wa usajili wa wachezaji, uchaguzi ama mlipuko wa magonjwa?

    Upotoshaji huibuka na kwenda sambamba na uwepo wa baadhi ya matukio yaliyopo kwa wakati huo. Mfano msimu wa usjili wa wachezaji, uchaguzi ama mlipuko wa magonjwa. Je, upotoshaji gani unaoukumbuka uliowahi kutokea kwenye matukio kama hayo? Na ulichukua hatua gani? Kumbuka kuthibitisha Taarifa...
  3. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji hufanyika kwa kuhariri maudhui halisi yaliyopo kwenye grafiki, thibitisha grafiki unayoitilia mashaka kabla ya kuisambaza

    Upotoshaji umekuwa ukifanyika katika namna tofauti tofauti ikiwemo kuhariri maudhui halisi yaliyo kwenye grafiki na kuleta maana tofauti. Wapotoshaji wanaweza kubadili neno moja kutoka katika ujumbe ulio kwenye grafiki na hivyo kuleta maana tofauti kabisa inayoweza kuzua taharuki kwa jamii...
  4. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Video halisi huweza kuhaririwa na kupoteza maana iliyokusudiwa kwa lengo la kupotosha, thibitisha kwanza

    Wapotoshaji wanaweza kuhariri video halisi kwa kukata vipande vidogo vidogo na kuviunganisha kwa ajili ya kuharibu maana na hivyo kuleta maana tofauti yenye lengo la upotoshaji. Thibitisha mara kwa mara iwapo utakutana na video unayoitilia mashaka, inayoonekana kuungwa ungwa, yenye mjongeo...
Back
Top Bottom