JamiiCheck
JF-Expert Member
- Nov 3, 2023
- 245
- 267
Upotoshaji huibuka na kwenda sambamba na uwepo wa baadhi ya matukio yaliyopo kwa wakati huo. Mfano msimu wa usjili wa wachezaji, uchaguzi ama mlipuko wa magonjwa.
Je, upotoshaji gani unaoukumbuka uliowahi kutokea kwenye matukio kama hayo? Na ulichukua hatua gani?
Kumbuka kuthibitisha Taarifa kabla ya kuisambaza kwa wengine ili kupunguza athari zitokanazo na habari potoshi?