masikini ni yule anayejitahidi kutokuonekana masikini.
Akipata 10000 akanywee pombe 7000, elfu 3 anunue vocha na chai kesho yake
Akipata elfu 5 anunue chakula cha elfu 3, vocha mia 5 na hela ya daladala
Hali hii ipo wired kwenye akili za watu katika makuzi. Umezaliwa hivyo na utakuwa hivyo...