Nitaendelea kuuimba huu wimbo Hadi DOLA (the state) wausikie!
Kama mishahara ya kufuru na maposho ya makubwa yataendelea kumwagwa kwenye siasa zetu tusahau MAENDELEO ya kweli KWA nchi yetu!
Kama ma PhD holders na maprofesa wataacha kufanya tafiti zao na kukimbilia siasa Ili wapate MAPESA...
Katika vitu ambavyo huwa naviona haviko sawa kwa watumishi, ni hili la Mtumishi kutakiwa kusubiri mpaka makato yote ya mkopo yaishe ndio amalize mkopo wake au kama anataka kumaliza mkopo wake mapema, basi ni kwa mfanyakazi husika kulipa kwa mkupuo mmoja deni lote lililobaki(outstanding balance)...
Waziri wa fedha Mwigulu alichokifanya ni kuwahadaha Watanzania maskini ambao asilimia kubwa hawatumii Benki wanatumia mitandao ya simu kufanya miamala.
Kwahyo sijajua Wabunge wanakazi gani kwa huu ujinga aliofanya Waziri.
Ni baadhi yao,,, sio wote
Wengi wetu tulitamani hata hizo ajira tuzipate tuwe na mishahara ya uhakika kila mwezi maana huku mitaani hakueleweki.
Kuna makabila yenye wasomi kama wahaya, wasukuma, wangoni, wanyakyusa, hawa wakilamba kazi shughuli imeisha, mshahara wa uhakika kwao upo sasa...
Wameambiwa wale ni ndugu na watoto wao wanaoteseka kule Ukraine kwenye vita...
Russian teachers have been asked to give up part of their salaries and donate it to Russian soldiers invading Ukraine.
A teacher at one of the schools told Important Stories they were given flyers to apply to...
Kwa bahati babu, bibi, baba na mama yangu wote walikuwa ni walimu, na mimi mwenyewe nikafuata nyayo kwa miaka 10 kabla sijakimbia nilichoona kipindi kile cha zamani.
1. Makazi/Nyumba za walimu zilikuwepo, walimu walikaa kwenye maeneo ya shule na hata kama hakukuwa na nyumba basi kijiji au...
Baadhi ya nchi duniani huwa na taratibu za kuweka wazi mishahara ya viongozi wakuu pamoja na wale wanaoongoza mihimili mingine ili wananchi wao waifahamu.
Hii ni sehemu ya kuonesha uwazi na uwajibikaji wa Umma kwa kuwa mamlaka yao hutoka huko.
Mfano, Rais wa Nchi ya Kenya hulipwa kiasi cha...
Katika mishahara ya watumishi wa umma, kuna makato ya lazima ambayo ni PAYE, Bima ya Afya, Makato ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii na makato mengine ya kujiunga kwa hiari kama ya vyama vya wafanyakazi, nk.
Nachojiuliza, ni sahihi mshahara unapopanda na makato haya kupanda automatically?
kwa maneno...
Habari Zenu Wakuu.
Mimi na wenzangu 11 tulikua tukifanya kazi mgahawa ambao upo Masaki, unaitwa “LE MARAHEB RESTAURANT & more” unamilikiwa na waarabu wa Yemen. Tarehe 28 January, 2022 ilitokea mzozo kazini majira ya saa 7usiku, baina ya bosi wakike na wafanyakazi huyo mama alitutukana matusi ya...
Waziri wa afya ameshatoa yake kuhusu shirika la Bima NHIF kushindwa kujiendesha na kuelemewa na mzigo. Muathirika mkubwa ni mwananchi wa kawaida kwasababu wafanyakazi na wanasiasa hawatokosa fedha za matibabu!
Ili kusaidia, fedha za posho za wanasiasa fyeka zote peleka kwenye madawa na vifaa...
Hili jambo nimeliongea mara kadhaa huko nyuma na leo napenda kuliriudia kwani ni kikwazo kwa watu katika kujitafutia maendeledo yao na pia katika kutatua changamato zao za kifedha.
Kwa wasiolewa, sheria hii inalenga kuhakiksha mtumishi habaki na take home ndogo isiyokidhi mahitaji yake na ya...
"ANDIKO HILI LIMETOLEWA NA WAFANYAKAZI WA RADIO 5 ARUSHA"
"Habari za wakati huu wanahabari wenzetu.
Sisi ni Wafanyakazi wa Radio5 Arusha iliyo chini ya TAN COMMUNICATION MEDIA ambayo inamilikiwa na Familia ya Mzee Edward LOWASSA kwa masikitiko kabisa tunalazimika kuandika ujumbe huu kueleza...
Ni Rais ghani Afrika anayepokea mshahara mkubwa kuliko wote Afrika , kwa mujibu wa mtandao wa Africa business , walichapisha chapisho la viongozi wa Afrika wanaopokea mshahara mrefu kuliko wote, ambapo wengi wa viongozi hao wana utajiri wao binafsi ukiachana na uongozi.
Ambapo kipindi cha...
Hali ni mbaya kwa kweli laana inatutembelea kwenye Tozo
Hivi kweli Tozo mmeigeuza kama KODI jaman? Hadi akaunti za Shariah mnakata tozo? daah.
Nijuavyo mie kwanza ilitakiwa kila mwezi tuambiwe imepatikana kiasi gani hilo limeshapotezewa skuhizi.
Pili je hii tozo ni mpaka lini au ndio milele...
Ni hivyo tuu, huu utaratibu urudishwe haraka. Sababu iko wazi, makato mapya ya kutoa na kuweka pesa bank hayavumiliki hata kidogo na yanamnyonya mfanyakazi directly sababu hajapewa option(s), yaani automatically anafosiwa kukatwa sababu hakuna njia ya kuuchukua huo mshahara bila kukatwa...
Habari za huko?
Kuna hii kauli naisikia toka zamani Sana kwamba kuwaongezea watumishi mishahara au motisha Basi kunapunguza tamaa za wao kufanya ufisadi.
Hebu tuchukulie kwa mfano kada Kama za udkatari au uaskari let's say mfanyakazi analipwa Million moja kwa mwezi na kila siku ana force apate...
Kama sehemu ya Mikakati inayolenga kuboresha Maisha yao, Walimu wa Shule za Msingi Nchini Rwanda watapata nyongeza ya 88 katika Mishahara kuanzia Agosti
Mbali na nyongeza hiyo kwa ngazi na Msingi, Waziri wa Elimu amesema Mishahara ya Walimu wa Shule za Sekondari nayo itaongezeka kwa 40%
Pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.