Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amedai Serikali yao inapata changamoto ya mishahara kuchelewa kwa kuwa Serikali haina fedha kutokana na ukopaji uliopitiliza uliofanywa na utawala uliopita wa Rais wa zamani Uhuru Kenyatta.
Watumishi wa umma katika Kaunti 47 nchini Kenya wamekaa kwa miezi...
Hii benki ya CRDB imekuwa na unyanyasaji kwa wateja wake. Kuna hili tawi lao la Usa-River lililoko wilaya ya Arumeru Halmashauri ya wilaya ya Meru mkoani Arusha kuna taasisi zinapitishia mishahara ya wafanyakazi wao kupitia hili tawi. Tatizo wafanyakazi wa hili tawi hukaa na mishahara ya...
Gavana wa Kenya amewaamuru watendaji wapya wa kaunti kutoa sadaka ya 10% kutoka kwenye mapato yao kwa kanisa.
Gavana wa Nandi Stephen Sang alisema agizo hilo linahitajika kwa sababu makanisa ya eneo hilo yanahitaji uungwaji mkono kutoka kwa viongozi na serikali ya kaunti.
"Maafisa wakuu...
Wafanyakazi wanaofanya kazi chini ya hospitali za kidini, yaani muajiri wao ni FBO lakini wana check namba na wanalipwa mshahara na serikali,
Je Inawezekana mfanyakazi huyu kuhama kuhamia kituo cha serikali 100%
Vipi kuhusu Haki zao zingine za kiutumishi kama vile kujiendeleza kielimu...
Salaam ndugu Wana JF,
Naambiwa "Mama" yetu Rais wetu huwa anasoma humu JF.
Kwa heshima na taadhima naomba asome na hii.
Twende kwenye hoja..
Leo hii Kuna jamaa yangu kutoka halmashauri ya jirani kapata uhamisho kutoka halmashuri yake kwenda chuo cha Mandela (Arusha) yaani kwa huo mshahara...
Mimi ni Mwanayanga kindakindaki ila hii kasi ya Simba kumfunga Horoya huku kila hili lilies sawa na milioni 5 wasije kusababisha mishahara ya mwezi huu ikachelewa. Simba punguzeni speed msije kumlaza njaa Mwl. Mpwayungu Village
Nimefungua huu uzi kwa ajili ya kuwakutanisha watumishi wote wenye idea ya ujasiriamali, wanaofanya biashara,kilimo,ufugaji na wanaotarajia kufanya biashara, kilimo na ufugaji n.k
Kwa ugumu wa maisha jinsi ulivyo mfumuko wa bei ni ndoto kwa sisi watumishi wa halmashauri kutoboa, Kuna clip moja...
Nilitegemea ujio wako Tanzania, ungefanikisha kuwasemea wale wote walioshushwa mishahara yao na mwendazake.
Nikuombe mkutano ujao wasemee katika hili ikiwezekana Rais aweze kuwarudishia mishahara yao
Nawasilisha
Hizi ndizo kozi zinazoongoza kwa kutoa mishahara minono Tanzania:
1. Petroleum chemistry, 8,000,000 Tsh kwa mwezi
2. Chemical engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi.
3. Mining Engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi.
4. Computer Science, 1,500,000 Tsh kwa mwezi.
5. Electrical Engineering...
Katika hali ya kushangaza mwezi uliosha na mwezi huu, mishahara ya watumishi imeanza kutoka kwa mafungu mafungu yaani kwa kada au wilaya. Mfano mwezi huu kuna watu wamepata mshahara Jumamosi ya tarehe 21 na Ijumaaa ya tarehe 20, na wengine wamekuja kuupata tarehe 24 na 23 na wengine mpaka sasa...
Hawa watu wanapenda sana kitonga, yani wanataka ufanye kazi kubwaaaa kwa ujira mdogo.
Sio hivyo tu pia wana tabia ya kufanyisha watu kazi masaa mengi bila kulipa overtime.
Kama unafanya nao kazi hawa raia hakikisha michango yako ya HESLB na makato ya NSSF yanapelekwa sehemu husika kila mwezi...
Rais aliamua kuwa sehemu ya watu wasiopenda kulipa kodi na ndiyo baadhi yao wanafadhili mitandao ya kijamii kwa kumsifia kuwa anaupiga mwingi.
Wakati sasa umefika anajionea yeye mwenyewe ameweka tozo kwa wananchi bado pesa za tozo hazijamsaidia kitu chochote hazijulikani zinaenda kwenye miradi...
Si Serikali wala Sekta binafsi, ukiangalia, kwa uhalisia, kwa watu walio wengi, wanapata mishahara iliyo chini na uhalisia wa gharama za maisha. Mfano unakuta mwajiriwa wa Serikalini, graduate, kwa walio wengi, ukiachilia watu wachache sana waliopo kwenye sekta chache, wanalipwa kuanzia 750K-...
Taarifa kutoka Ofisi ya Rais imesema, Baraza la Mawaziri limekubali kuwa fedha zao za malipo ya mwezi mmoja, zitachangia katika hatua za serikali kusaidia Wakenya wanaokabiliwa na njaa kutokana na ukame
Pia ilibainisha kutokubaliana na bei za juu za mahindi hivyo kuahidi msaada wa soko kwa...
Watoa huduma za afya wana maisha magumu sana kulinganisha na kazi wanazozifanya.
Kwa kiasi kikubwa wanahatarisha sana maisha yao kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa wanaowahudumia, wapo katika risk kubwa ya kuwa contaminated.
Licha ya hivyo wanafanya kazi muda mrefu mno.
Serikali wawaangalie...
Kutorekebishwa kwa mishahara hata baada ya kupandishwa cheo kwa askari wa Jeshi la Polisi, kumezua malalamiko kwamba hali hiyo inaathiri mafao yao wanapostaafu.
Licha ya kilio hicho, kwa upande wa askari wa usalama barabarani wao wanalia kufutiwa posho ya pango la nyumba tangu Julai Mosi...
IFIKE MAHALA WANAKWAYA NA WATOA HUDUMA KANISANI WALIPWE MISHAHARA KWA MWEZI!
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Hii ni mara ya tatu nazungumzia Jambo hili. Mara ya Kwanza nililizungumza mwaka 2012, mara ya pili 2020, Kutokana na Unyeti wa Jambo lenyewe.
Mambo ya Huduma za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.