mishahara

  1. Mpwimbe

    Spika Tulia umewakosea sana wafanyakazi nchi hii, kuhusu Makato ya LAZIMA ya mishahara kwenda vyama vya wafanyakazi

    Ni aidha ni utamu wa Makato ya wafanyakazi, yamekolea na kupata walaji mpaka huko juu au Spika Tulia hajui chochote kuhusu sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004. Ila inasikitisha Kwasababu Tulia ni mwanasheria na amewahi kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali. Hivi kweli, leo...
  2. JanguKamaJangu

    Wafanyakazi 12 Shule ya Umoja wa Wazazi CCM walia mishahara, waandika barua kwenda kwa Rais Samia

    Waliokuwa watumishi (wastaafu) na ambao bado ni watumishi wakiwemo Walimu katika Shule ya Sekondari Bulima, iliyoko Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, inayomilikiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Jumuiya ya Wazazi ya Chama hicho (UWT) wamelalamikia kutolipwa mishahara yao kwa...
  3. BARD AI

    Serikali inapanga kutumia Tsh. Trilioni 12.10 kulipa Deni la Taifa, Mishahara Tsh. Trilioni 11.77

    Serikali imepanga kulipa kiasi hicho kutoka katika Makusanyo ya Tsh. Trilioni 47.42. Kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, Makusanyo hayo pia yatagharamia Miradi ya Maendeleo Tsh. Trilioni 15.32 na Shughuli nyingine za Serikali Tsh. Trilioni 8.22 Fedha za Maendeleo zitajumuisha...
  4. Z

    Mishahara ya part-time lecturers iwe na bands mbili, ambazo ni 25% na 50% ya monthly salary ya full-time lecturers

    Mishahara ya part-time lecturers iwe na bands mbili. Band ya kwanza iwe 25% ya monthly salary ya full-time lecturers. Na band ya pili iwe 50% ya monthly salary ya full-time lecturers. Na mikataba yao iwe one year renewable depending on kama wataendelea kuhitajiwa. Wanaweza wawe au wasiwe...
  5. S

    Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

    I swear to God, Mshahara ukichelewa even another single day Nafwa jamani. Ni shida kutegemea mshahara Ajitokeze jamani mtu uwiiiii mshaharaaa nafwaaa mimi. Mshaharaaa uwiii
  6. A

    DOKEZO Walimu wa Shule ya Gisela (Ukonga) tuna hali mbaya, hatulipwi mishahara wala malipo ya NSSF

    Mimi ni Mfanyakazi wa Shule ya Msingi Gisela N/P School (Private) iliyopo Kipunguni B Ukonga Ilala hapahapa Dar es Salaam, tunadai mishahara ya miezi 3 mfululizo, ya tangu mwezi wa 7 mpaka mwezi huu unaoenda wa kuwa wa 11, 2023. Sambamba na hilo tuna malimbikizo ya mishahara yetu ya nyuma tangu...
  7. M

    Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani. Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana. Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka. Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka Jumamosi tar 21 lakini haijatoka. Huenda ikatoka kesho tar 23...
  8. Kyamiki

    DOKEZO KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki(Tanga) walipe madeni ya walimu wa Bangala na Lwandai sekondari

    Uongozi wa Kkkt Dayosisi ya kaskazini mashariki (KKKT-DKMS) wasidhulumu haki za watumishi wa Lwandai sekondari na Bangala seminari n.k Ni miaka kadhaa umepita tangu uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri-DKMs ubadilishwe toka kwenye uongozi wa Dr. Munga kwenda kwa Ask. Dr Mbilu Msafiri, na...
  9. Jaji Mfawidhi

    Jeshi La Polisi idara ya TRafick inafanya kazi kwa weledi wa hali ya Juu

    Jeshi La Polisi idara ya TRafick inafanya kazi kwa weledi wa hali ya Juu. Hawa Polisi ambao wale wa vyeo vya chini huvaa sare nyeupe za kupendeza na kuonyesha unadhifu wa hali ya juu nje ya mwilina ndani ya roho sijui lakini pia wale wa vyeo vya juu huvaa nguo za kaki za kupendeza wanyonge huku...
  10. February Makamba

    Tupeane mbinu za ku-negotiate mishahara

    Wakuu habari, Kwa wale wazoefu kwenye hizi kazi za kuchomekea naombeni mje mtupe mbinu sisi tunaoanza kwenye kunegotiate mishahara. Naanza mimi; Tip: kitu kimoja nimegundua katika mwanzo wa career ni kuwa bonuses ni nzuri kuliko mshahara mkubwa. Mwanzoni nilikuwa nanegotiate mshahara mkubwa...
  11. William Mshumbusi

    Je wajua Thank ya kipa wa Simba Ni zaidi ya mishahara ya wachezaji wote wa Yanga msimu mzima!

    Lile garasha limesajiliwa billion 3. ($1.3 milion). Mishahara ya wachezaji Yanga Ni bilion 2.7 kwa mwaka (ndio kikosi Bora kwa Sasa Tanzania) Izo ela za kumleta huyu jamaa katoa mo na kamtuma try again kuleta. Walitaka walete yule mbraziri ikabuma.
  12. I

    Hivi mishahara ya madaktari na watumishi wengine wa afya katika hospitali za umma inalipwa na nini?

    Swali hili linaniumiza sana kichwa. Je watumishi hawa wa sekta ya afya mishahara yao inalipwa na bima ya afya au ni kutokana na bajeti kuu ya serikali inayotokana na kodi mbalimbali? Kama mishahara yao inatokana na bima ya afya basi serikali haina budi kurekebisha, mishahara ilipwe kutokana na...
  13. Z

    Msaada: Anayefahamu Taasisi ya British Contact limited lipo Sinza, linajihusisha na nini?

    Wakuu naomba kuuliza anaefahamu fika hili shirika/taasisi ya British contact limited lipo sinza. Je, linajihusisha na nini haswa? Na je mishahara kwao ni uhakika?
  14. BigTall

    Walinzi wa Mlimani City wafanya mgomo wa kudai walipwe mishahara yao

    Nipo hapa Mlimani City ndani ya Jiji la Chalamila (Dar es Salaam), taarifa ikufikie kuwa vijana wa security yaani wale walinzi wanaovaa yale mashati maupe wameandaa maandamanonmadogo ya mgomo wa ndani ya jengo hilo, wanadai hawajalipwa mshahara, imekuwa kero, hiyo maandamano yasiyo rasmi...
  15. Fund man

    Hongera serikali kwa kutofautisha mishahara ya walimu wa sayansi na Sanaa (Arts)

    Nianze Kwa kuipongeza serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, kwa kuliona hili. Hapo awali mishahara ya walimu ilikuwa flat rate(sawa), haikujalisha mwalimu amesoma masomo gani, kwa kifupi walimu wa sayansi na sanaa (arts) walilipwa mishahara sawa. Yaani kama ni cheti wanalipwa sawa...
  16. A

    DOKEZO (Video) Raia wa Uturuki wanaojenga Reli ya SGR waendeleza mgomo, wakidai mishahara, waomba msaada kwa Rais Samia

    Baadhi ya Wafanyakazi hao katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), leo Agosti 17, 2023 wameendeleza mgomo wao wakishinikiza malipo yao kutoka kwa Mkandarasi Kampuni ya Yapi Merkezi. Sehemu ya hotuba yao inaeleza “Sisi ni Wafanyakazi tuliopo katika Mrati Awamu ya Pili (Lot 2), Kambi ya...
  17. MK254

    Wagner wakumbwa na matatizo ya hela, mishahara imekuwa tafrani

    Hili zimwi alilokuwa analilea Putin na ambalo lilimsababisha aikimbie Ikulu kwa siku chache, linazidi kuwa kero, maana ni kundi la wapiganaji ambao kwa sasa wameingiwa na matatizo ya hela na kwa muktadha huo wanaweza wakawa hatari zaidi kwake na kwingine. The Wagner Private Military Company...
  18. Kinyonga01

    Hawa Feminist walipofikia ni pabaya sasa

    "Moja ya ukatili ambao wanawake wanafanyiwa ni kufanyishwa kazi majumbani bila kulipwa, kiuhalisia mwanamke anapofanya kazi za nyumbani lazima alipwe, kwasababu hujamuoa awe house girl wako, yule ni mke wako ambaye umemuoa kwa malengo maalumu na siyo ya kufanya kazi za nyumbani." "Sisi kama...
  19. BigTall

    DOKEZO Chuo Kikuu Iringa hawalipi mishahara kwa wakati na kuna changamoto ya Mifumo ya Malipo, hivyo Watumishi wasio waadilifu wanachezea mifumo ya malipo

    Sakata la Chuo Kikuu cha Iringa roho za Watanzania zinateseka katika hicho chuo, kwanza hakilipi mishahara kwa wakati matokeo yake Watumishi wasio waadilifu ikiwepo Ofisi ya Uhasibu wanatengeneza mchezo mchafu wa malipo hewa ili kujipatia fedha. Ishu hiyo ilipokugundulika chuo bila kuchunguza...
  20. Black Legend

    Rais, kwa mara nyingine unatukosea Watumishi wa Umma nyongeza ya mshahara

    Ni wazi kuwa sasa ni mwaka wa 8 watumishi hawapati shahiki yao ya nyongeza ya mshahara. Matamko mbalimbali hususani kwenye sherehe za Mei Mosi, Rais kupitia majibu ya hotuba ya wafanyakazi alitoa kauli ya kurudisha japo Annual Increment kwa watumishi ifikapo July mwaka mpya wa bajeti. Tofauti...
Back
Top Bottom