INTRODUCTION
Salamu sanaa Wana JF, ni Mimi yuleyule Mr. Liverpool A.K.A mkataa ndoa.
Hebu twende kwenye mada moja kwa moja.
SCENARIO.
Umeuona huu mshahara...!!!
Huu mshahara unaousoma hapo chini hapo ....
1. Unasomesha watoto wangu wawili private (primary school)..!!
2. Unanipa Flying fish...
Najiuliza hili swali nashindwa kupata jibu, kati ya wachezaji waliopata mafanikio makubwa na muda wote toka Tanzania iumbwe na Toka kabla makubaliano ya bandari hayajafanyika ni Mbwana Samata, amecheza vilabu vinginna vikubwa , lakini Nina swali dogo.
Mbwana alivofika ulaya alikuwa akipokea...
Labda ndo iwe hivyo.
Enhee!? Mtafanyaje?
Ok.. labda tuseme hawa DP World ndo wamewezesha madaraja kupandishwa.. au hata ajira mpya.. mtafanyaje!?
Na wale wabunge mnafikiri wako kapa?
Kwani Watanzania hatuwezi kuwaza kwa Sauti?
Akizungumzia tuhuma za kupewa gari ili atetee DP World kusimamia na kuendehs bahari nchini, mbunge Joseph Musukuma amesema gari aliyonayo amenunua kwa hela yake na amelipa ushuru milioni 130 ili walimu wapate mishahara kama angetumia tax exemptions angelipa ushuru wa milioni 45.
Amesema mtu...
ZINGATIA MAMBO YAFUATAYO!!!
1. Jenga nyumba mapema. Iwe mjini au kijijini . Kujenga katika umri wa 50 sio mafanikio. Usizoee majengo ya serikali. This comfort is so dangerous. Wape nafasi watoto wako kutanua nyumbani kwao.
2. Nenda nyumbani (Kwenu). Usigande kazini mwaka mzima. Wewe sio nguzo...
KAMA ilivyozoeleka kwa baadhi ya wafanyabiashara, huwa wanapandisha bei ya bidhaa mara tu wanaposikia serikali imeongeza msha-hara na marupurupu kwa wafanyakazi kila mwaka. Uviziaji huo hufanyika wakati wa Sikukuu Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), kwani wafanyabiashara walishajua kuwa hicho ndicho...
Mkurugenzi wa TAKUKURU na wafanyakazi walio chini yake wanalipwa fedha nyingi kutoka kwenye kodi za wananchi.
Pamoja na malipo mazuri hakuna kazi yoyote ya msaada wanayotoa kwa serikali na jamii kwa ujumla. Kama wangekuwa active hizi taarifa za madhila ya wafanyabiashara wangekuwa wanazo na...
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameangaza nyongeza ya asilimia 45 ya mshahara kwa wafanyikazi wa umma 700,000 siku tano kabla ya uchaguzi mkuu.
Haya yanajiri wakati uchumi wa nchi hiyo ukiyumba kutokana na athari za matetemeko makubwa ya ardhi mwezi Februari.
Erdogan, ambaye alichaguliwa...
Hello!
Mambo ya mafumbo ni ya kizamani.
KIjana anaomba kazi , sehemu ya mshahara mnaandika TGS D , POS C, mara TANAPA 02 n.k n.k
Ukiondoa mishahara ya tgts na tgs ambayo ni common, hiyo mingine inabidi mtu aanze kuhangaika kuulizia kwa mtumishi wa ofisi husika, kama humjui mtu basi tena...
Rais Samia akiwa katika Sherehe za Siku ya Wafanyakazi mkoani Morogoro amebainisha kuwa nyongeza za mishahara za mwaka ambazo kwa muda mrefu zilikuwa zimesitishwa, zimerudishwa mwaka huu
Amesema “Wafanyakazi wote mwaka huu, mbali na Kupanda Madaraja, na mambo mengine, kuna nyongeza za mishahara...
gerson msigwa
mishahara
muda mrefu
mwaka
nyongeza
nyongeza ya mishahara
rais
rais samia
samia
samia hassan suluhu
tanzania
utaratibu
wafanyakazi
zuhura yunus
Ni ushauri na ombi kwa Mh. Rais, ikimfaa awarudishie mishahara watumishi wote mishahara yao iliyoshushwa. Ni vyema ikimfaa alizungumze hili kesho siku ya mei mosi, ili kujenga umoja wa kitaifa na kujali watumishi,
Tunakupenda sana Rais wetu, jemedari Samia Suluhu Hassan.
Habari wana uchumi wa JF!
Kama somo linavyosema hapo juu..
Kwa mara ya kwanza tangu Kenya ijinyakulie Uhuru 1963 , serikali imeshindwa kuwalipa mishahara wafanyakazi wa umma na wabunge.
Kufikia sasa wafanyakazi wa umma hawajui ni lini watalipwa mishahara yao hali ambayo ilianza mwezi Disemba na...
Hakika mama amesikia kilio cha watumishi kwa kuwalipa mshahara mapema kabla ya sikukukuu ya eid, ama kwa hakika mama anaupiga mwingi.
Watumishi tumieni vizuri mishahara yenu na nawatakia waislamu wote sikukuu njema ya eid el fitri.
Naomba TUCTA Mjipange vizuri juu ya ongezeka la mishahara Kwa wafanyakazi mwaka huu. Mnakumbuka Mama alitangaza jambo letu kwa mbwembwe tukapigea na kitu kizito.
Tusije lia tena jamani. Hatutaweelewa.
Mficha maradhi kifo kitamuumbua, yawahi hayawi sasa yamekuwa, ukweli halisi umeanza kujionyesha huko Kenya, hali ya maisha ni mbaya mnoo, vijijini ukame unawaua, mijijini maisha yanawanyonga na sasa Serikali imeshindwa kulipa hadi mishahara watumishi wake. Kenya kumechoka na kuchakaa balaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.