Hebu mjitafakari hasa walimu na watumishi wengine.
Tgs A ni shilingi za kitanzania 330000 kwa njinsi maisha yalivyo magumu. Hii pesa mtu unaweza kutoboa kweli?
Sukari bei juu, kodi ya pango juu, alafu mei mosi inapita patupu bila nyongeza ya mshahara.
Wafanyabiashara wamegoma na...
Mishahara imechelewa kutoka, June 2024,watumishi wa Umma wana maisha magumu sana
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.
Hili ni tatizo na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
PIA SOMA
- Kuanzia...
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.
Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
UPDATES:
Habari hii imekanishwa. Zaidi soma...
kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4
kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3
Wanaopata milioni 25 wawili
Wanaopata milioni 20 wawili
Wanaopata milioni 15 watatu
Wanaopata milioni 10 sita
Hao wengine...
https://youtu.be/GxN6WSDDIF8?si=6EyFTUpKptlgFoEm
Huko ni Burkina Faso.
Kutokana na fedha alizoziokoa, Capt. Ibrahima amenunua matrekta 5,000 na kuyagawa kwenye vijiji vya Burkina Faso. Ameweka lengo la kutonunua chakula kutoka nje katika miaka mitano ijayo, pia kutengeneza asilimia 60% ya nguo...
Tanzania tunayoitaka ni taifa linalojengwa juu ya misingi ya usawa, haki, na maendeleo endelevu. Moja ya changamoto kubwa tunazokabiliana nazo ni mgawanyo usio sawa wa madaraka na mishahara kwa wafanyakazi wa umma. Wakati wabunge wakipokea mishahara mikubwa, watumishi muhimu kama walimu...
Habari za Harakati za kiuchumi.
Napenda kuwashauri Wafanyakazi wenzangu ya kwamba mchawi wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe sio kipato kidogo.
Mfano unajua kabisa kijana wa ambae hana ajira akipata 10millioni akiwa mtaani anaweza kuikuza na kuwa tajiri kuliko wewe. Ila wewe unaweza kupata mkopo...
chanzo cha umasikini
elimu ya fedha
kifedha
kukuza uchumi
kutumia fedha vibaya
maisha ya kujionesha
mishaharamishahara midogo
ukosefu
umasikini
wafanyakazi
Nimeona sehemu kuwa utofauti wa mazingira ya kijijini unaweza kumuongezea mwajiriwa kigezo cha kuongezwa fedha ya mshahara. Naomba kuthibitisha kutoka kwenu.
Asilimia 90 ya watumishi wa umma Tanzania ni wa daraja la kati, wengi ni walio na diploma. Mishahara ghafi yao ina range laki 6 mpaka laki 8.
Baada ya makato, wanaondoka na kama laki 5. Hapo ni kwa wale ambao hawana mikopo. Ukijumlisha mikopo (ambao wengi wanayo) utakuta mtumishi anaondoka na...
Huwa najiuliza kwa mfano mawaziri wetu wote ni wabunge. Je, wanapokea kila mwezi mishahara miwili? Mshahara wa mbunge na mshahara wa waziri? Na sasa tunaye naibu waziri mkuu ambaye ni 1. mbunge 2. Waziri 3. Naibu waziri mkuu. Huyu analipwa mishahara mitatu kila mwezi??
Imekuwa kilio kisichokua na majibu miaka nenda rudi suala la mishahara ya walimu, pamoja na polisi katika kuboresha mishara yao. Japo Kuna watu wanasema inatosha ni sawa ila bado haitoshelezi ukilinganisha na kazi wanayo fanya kila siku. Hii husababisha Mambo mbali mbali mbali Kama...
Wafanyakazi wa sekta ya umma Tanzania, mnapoambiwa kuwa CCM ni sumu hatari inayoua taratibu, muwe mnaelewaga na kisha mchukue hatua..
Sasa ona hapa...
Mmeenda Arusha na matumaini kibao ya kusikia "nani kama mama" anatoa kauli kuondoa kikokotoo kandamizi cha mafao ya kustaafu kwenu na ahadi...
Ukimsikiliza Rais wa Kenya anavyochambua uchumi na mipango ya kupanua ajira unabaini hotuba yake imeandikwa na wataalam kwa kuzingatia presha kubwa iliyopo kwenye vyama vya wafanyakazi.
Pamoja na kwamba hakuna ahadi kubwa wanayopata wafanyakazi Kenya kulinganisha na Tanzania ila vyama vya...
Wastaafu wanailalamikia kikokotoo Cha mafao yao ya kusataafu wakituhumu kikokotoo kinawapa hela ndogo ya mkupuo. Ukweli kikokotoo Kiko sahihi ila shida yetu kubwa ni mishahara midogo sana inayozalisha makato ya mafao ya hifadhi ya jamii.
Mishahara yetu ni midogo sana kuliko ya nchi nyingi za...
Ukweli uko hivo.
Anzia mahakamani, polisi, hospital na idara nyingine kote wanajilia rushwa kama wametumwa. Sasa hawa watu hawafai kuongezewa mishahara maana wanazoiba ni nyingi mno.
Wafanyakazi waingie makubaliano na serikali wakiacha rushwa ndio waongezewe mishahara na marupurupu mengine...
Wanaoleta maendeleo haswa ni wananchi walipa kodi wakisimamiwa na watumishi wa umma. Viongozi wa serikali wao kazi yao kutunga sera tu.
Tumeona mara nyingi serikalini inapojisifu kupiga hatua kiuchumi sifa zote anapewa Rais aliyeko madarakani na wanaompa hizo sifa haswa ni wale viongozi wa...
Wenzetu jirani Kenya, Uganda, Rwanda wamestuka kwamba Technology is the future, hawana budget kubwa kama mbele ila si haba wanapambana wasipitwe sana, wanaandaa watoto shule za msingi kujifunza kutenegendeza programs, mifumo ya computer, robots, n.k. mtoto anajengewa msingi imara kuvijua vitu...
Naomba kujua hapo juu maisha yakoje ukiwa na Ajira ya uhakika na msharaha mzuri kwa vijana wenzangu?
Wengine tumejiajiri si ni yes no yes no. I wish to feel the experience of that place even from narration
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.