mishahara

  1. Makusanyo ya nchi ni trilioni 1.2 kwa mwezi, mishahara tu bilioni 600,Baki bilioni 600,stiglers,SGR trilioni 30, bila kukopa ni ngumu kumaliza miradi!

    Wale wanaosema tusikope, waje mezani na hesabu, nchi inakusanya Kila mwezi trilioni 1.2. Mishahara inakula bilioni 600, inabaki bilioni 600, hii ilipie umeme, maji, karatasi, mafuta ya magari,posho na mengineyo, inabaki ngapi? Haya, kama SGR inaweza kula trilioni karibu 20, maana yake serikali...
  2. Hii tabia ya kulipa mishahara kwa mafungu ikomeshwe

    Usawa huu mko ofisi Moja, kada Moja , Ngazi ya mshahara moja, Mwenzako anapata mshahara leo , Wewe uje kupata kesho sio tabia nzuri hata kidogo.. Enzi zile za pontio pilato pamoja na ubabe wake lakini mshahara ulikuwa unatoka siku Moja, Labda ilitofautiana dakika kadhaa lakini ndani ya masaa...
  3. Naomba kujua ukweli wa mishahara ya BRELA

    .... Uzi ifutwe .... Moderator please delete
  4. R

    Kwanini viongozi pamoja na mishahara mizuri bado wanapewa nyumba na magari?

    Kwanini mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi ma-RPC nk., nk... Pamoja na mishahara yao minono bado wanapewa nyumba, magari, walinzi, wanalipiwa umeme, maji, matumizi ya simu nk ili hali watu wengine wafanyakazi wengine wa serikali na taasisi zake wanabeba misalaba yao wenyewe? Why...
  5. M

    Ushauri: Rais Samia zuia mazao kwenda nje ya nchi, njaa inalinyemelea Taifa

    Mh. Ukiachilia mbali mfumuko wa bei wa ajabu kuwahi kutokea,,,nakuomba zuia mazao kwenda nje ya nchi ulinisuru Taifa na njaa,,mvua zimegoma kunyesha mahindi na mpunga vimeanza kupandishwa bei kiholela.Mh.nakuomba simama na wananchi angalau kwa hili njaa itakuletea mgogoro mkubwa katika utawala...
  6. B

    Naomba kujuzwa kuhusu mishahara TRC

    Habari wana jamvi wa jf, Jana nilipost uzi nikiomba kujua ngazi za mishahara kwa shirika la reli la tz TRC kwa TRCS3 na TRCS4 kwasababu nina mdogo wangu kachaguliwa commercial assistance office lakini nilijibiwa makuzi tuu yaani hiyo ifike million 1.3 na 1.4 wakati iyo ni kwa level ya diploma...
  7. Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje... ============== July 2014 UPDATE:
  8. Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

    Viwango Vya Mshahara Wa Walimu 2021/2022 | Teachers Salary Scale Range New Government Salary Scales: Approved TGTS B1 = 419,000/- and TGTS C1 = 530,000/- TGTS D1 = 716,000/- and TGTS E1 = 940,000/- TGTS F1 = 1,235,000/- and TGTS G1 = 1,600,000/- TGTS H1 = 2,091,000/- and TGTS I = 2,810,000/-...
  9. Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 17/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi Ungana nami katika uzi...
  10. Ripoti ya CAG: Mapungufu katika ulipaji wa Mishahara na Mikopo

    CAG ameonesha mapungufu yafuatayo katika ulipaji wa mishahara kwa watumishi katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa (MSM); a) MSM 36 kushindwa kulipa madai mbalimbali ya watumishi yenye thamani ya TZS. 27.84 bilioni b) MSM 46 kushindwa kuwasilisha makato ya kisheria ya mishahara yenye thamani ya...
  11. Mbunge wa CCM ajilipua bungeni, ataka mishahara ya watumishi iongezwe mara dufu!

    Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Sabiby, amemtaka Waziri wa fedha atafute pesa popote atakapozipata ili aongeze mishahara ya watumishi wa umma mara dufu, kama alivyoahidi Rais, Mh Samia Suluhu Hassan. Ametamka hayo bungeni leo wakati akichangia mapango wa maendeleo wa 2022-2025 bila kupepesa macho...
  12. Siasa za mishahara minono kwenye taasisi za Serikali zinavyoharibu ndoto za vijana wengi wa Kitanzania

    Wanabodi, vijana badala ya kufikiria maarifa ili waweze kuendeleza wapatacho wao wanawaza mishahara minono kwenye taasisi za kiserikali ambazo Kiuhalisia mishahara hiyo minono haipo kwa vijana wanaoanza kazi. Maneno ya wanasiasa majukwaani kutamka mishahara ya wakurugenzi(Directors) wa...
  13. Wakati tangu 23/10/2021 mishahara ya umma imelipwa, lakini kwa Mkuranga bado

    Mkuranga kuna nini pale, maana hadi leo Jumatatu watumishi wa umma hawajalipwa, lakini nasikia maeneo mengine Tanzania watu walishalipwa na sasa wanakula jasho lao tu. Mkuranga kuna nini pale?
  14. Rais Museveni: Sitaongeza mishahara kwa walimu wa masomo ya sanaa

    Rais Yoweri Museveni wa #Uganda ametangaza kuongeza mishahara kwa walimu wa masomo ya sayansi kwa madai kuwa ndio wanaochangia maendeleo ya jamii Hatua hiyo imetajwa kwenda kinyume na Makubaliano ya 2018 ambayo yanataka mishahara kupanda kwa usawa kwa walimu wote Rais Museveni amesema...
  15. Ofisi ya DPP ifumuliwe wanakula mishahara bure

    Rais Samia ana kila sababu ya kuivunja ofisi ya DPP na kuisuka upya kwa sababu imeshindwa kukidhi mahitaji ya Taifa na kuonyesha umahiri wake. Itakumbukwa kuwa Mbowe alikamatwa yapata mwezi mmoja na nusu uliyopita na kuunganishwa katika kesi ya ugaidi inayowakabili watuhumiwa watatu...
  16. Serikali iwalipe watumishi mishahara mpaka hapo watakapokuwa tayari kuwalipa pensheni na PSSSF ndio dawa

    Kuna kitu hakiko sawa kwenye mifumo ya serikali, pamoja na bodi inayo shugulikia mikataba FCC kujidani na kuwashauri watu wasitoe mikataba ya unyonyaji na manyanyaso bado tunahitaji sheria zibadilishwe. Tarehe za kustaafu zikifika mtumishi aache kwenda kazini ila mshahara uendelee kulipwa ili...
  17. M

    Wahadhiri wa Vyuo Vikuu na mishahara ya Wabunge na Wakurugenzi Mashirika ya Umma

    Habari wana bodi, nimekuwa nikisoma baadhi ya articles zinazo ongelea mchango wa vyuo vikuu marekani katika uchumi wa taifa hilo especially kutengeneza innovators "silicon valley". Kwa kiasi kikubwa maendeleo ya taifa la marekani yamechangiwa sana na innovations zinazofanywa na taasisi zake za...
  18. Mrejesho: Ujira mdogo kiwanda cha Pepsi umefanyiwa kazi, sasa wanalipwa 7,100/=

    Pia soma Ujira mdogo wa Tsh 4,600/ kutwa kwa vibarua muhimu kiwanda cha PESPI Mbeya plant. Dkt. Tulia nakuomba tembelea Kiwandani kuna wapiga kura wako Huenda hii thread ilikuwa ni sababu naamini hapa kuna watu wa kila aina, nafurahi ujumbe ulifika na kufanyiwa kazi. Sasa hivi vibarua hao...
  19. Maslahi, mishahara duni kwa Polisi chanzo cha rushwa na dhuluma

    Wasalaam. Nimefanya utafiti mdogo kujua kwanini police wanakula rushwa na kudhulumu raia nikagundua ni mishahara duni wanayolipwa na serikali sikivu ya ccm. Police walishaua wafanyabiasha wa madini kutoka mahenge na kuwadhulumu pesa na madini kisha kutangaza wameua majambazi. Dhuluma na uonevu...
  20. Mishahara ya Voda ipo vipi?

    Kuna sista angu ameitwa kwenye interview, anatokea kwenye NGOs sasa hajui structure ya mishahara ya voda ipi vipi. Mwenye uzoefu. msaada
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…