CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji, ni aibu kubwa sana kwa CCM Kwani haiwalipi watendaji wake hata Senti Tano ikiwa ni sehemu ya mshahara.
Hii ni aibu kubwa , mwenyekiti wa CCM Taifa ili kukiboresha chama Anza na hilo. Chama kuendeshwa kwa njia hiyo ninkuzalisha Wala Rushwa na...
Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe alipokuwa anahitimisha mpango wa Operesheni Haki Mkoani Morogoro.
Mbowe ambaye sasa anaitwa Mtemi Isike, baada ya kusimikwa huko Tabora , amesema kwamba Chama chake sasa kinataka viongozi wake wafanye kazi moja tu ambayo ni...
Amani iwe juu yenu.
Jambo la mishahara ni kitu muhimu sana kwa mtu ndio maisha yake na ndio uhai wake. Kuna mtumishi namba moja aliyepita alipata kusema "Asiyefanya kazi na asile na maana yake afe" hivyo kila mtu hufanya kazi ili aishi yeye na familia yake.
Unyeti wa mshahara ndio umefanya...
Kwanza nawasalimu kwa jina la Muungano wa Tanzania.
Nina ndugu yangu yuko nje ya nchi alikuwa akifanya kazi sasa ameomba kazi hapa Tanzania kwenye moja ya vyuo vikuu maana ni PhD holder. Na pia Alipata kazi South Africa japo yeye anapendelea kurudi nyumbani. Sasa anapenda kujua mishahara ya vyuo...
Nimeshangaa chama kikubwa kama Chadema kinashindwaje kulipa mishahara ya watumishi wake!!
Yaani pamoja na miradi yote waliyonayo Chadema pamoja na Ada za wanachama bado hamuwezi kulipa mishahara?
Ruzuku haitolewi maalumu kwa ajili ya mishahara bali kusaidia ujenzi wa chama na hasa kueneza...
Imeelezwa kwa watumishi wa umma toka maeneo mbali mbali wameanza kumkumbuka Hayati Magufuli kuhusu mishahara yao kucheleweshwa na utawala wa sasa.
Wanadai kuwa enzo za hayati Magufuli walikua wakipokea mishahara yao kuanzia tarehe 2, 22 au 23 ikichelewa sana. Lakini kwa mfano mwezi huu hadi leo...
Si kawaida mshahara kupitiliza tarehe, ilikuwa tar 23 ikiangukia weekend mnapewa siku ya kazi ya mwisho wa weekend, mfano tar 23 itakuwa Juma pili mshahara ulikuwa unatoka tar 21 ya Ijumaa. Huenda mpaka ijumaa mfuko ulikuwa haujatuna.
Tumpe muda tuone.
Kuanzia Rais, Makamu, Waziri Mkuu, Spika, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya n.k na hasa wale wanaopata uongozi kwa kura zetu - je si ni haki yetu rais kujua mishahara yao?
Habari wanajamvi, binafsi niliwaza na kuwazua ni jinsi gani mishahara inaweza kuwa na uzito kwa mfanyakazi.
Majibu niliyopata ni kwamba ifike hatua serikali ipitishe sheria ya kulipa mishahara kwa awamu moja ndani ya miezi mitatu mitatu,
Kwa mfano unalipwa take home ya milioni 1.
January ml 1...
Habari,
Mungu nakutumaini wewe tu. Hivi nani anasimamia mifumo ya fedha za Serikali kimtandao?
1. Wapo wanaocheleweshewa malipo wakiuliza majibu ni mtandao unasumbua au network ipo down.
2. Wapo wanao subiri check namba kwa muda mrefu.
3. Wapo wanao subiri mafao ya kustaafu
4. Wapo...
Rais analizwa na maisha ya Rais mstaafu
Rais anamnunulia BENZI la dollar 400,000 Rais mstaafu.?
Wakati huo mwanae akiwa Rais wa Zanzibar.
Rais anahailisha mechi inayofatiliwa na watu zaidi ya million 200+ Afria kwa sababu ya kitabu cha maisha yake. Maana yake unajali MTU kuliko watu.
Rais...
KUMBUKUMBU;NITAONGEZA MISHAHARA KABLA SIJAONDOKA MADARAKANI-RAIS MAGUFULI.
Matumaini ya wafanyakazi ya kusikia habari njema za kuongezewa mishahara yaliota mbawa baada ya Rais Dk John Magufuli kusema atatekeleza ahadi hiyo kabla ya kumaliza muda wake wa uongozi, hata hivyo, hakuweka bayana ni...
Haihitaji kutumia Nguvu Sana kujua kua nchi haina hela Kama mwanaSiasa uchwara yule alivyokua akijinsibu. Uchumi Ni namba,na namba huwa hazidanganyi. Kwa kupenda sifa kule kama angekua Ana hela asingeweza kukaa miaka mitano bila kuongeza mishahara ili asifiwe.
Lakini yeye akaamua fungu lote la...
Leo niliona viongozi wa vyama vya wafanyakazi katika maandalizi yao waliweka viongozi wengi wa dini kuzidi hafla zozote zilizowai fanyika hili hawa viongozi wafikishe maombi kwa Mungu ya maslai bora, mishahara juu kazi iendelee lakini imekuwa tofauti sijui vipi.
sijajua kama tatizo liko wapi.
Mapema Sana wakati anaapisha wateule wake wa Mwanzo Rais Samia alisema kuna tatizo kubwa la Coordinations serikalini.
Leo nimeona hili tatizo kati yake Rais na waziri wake Jennista Mhagama. Na lack of coordination Kwa ujumla kutoka IKulu kwenda chini Kwa watu Wengine.
Kama Samia alikuwa anajua...
Miaka ya 2016 hayati Rais Magufuli aliunda bodi ya mishahara lakini hakuna matokeo chanya yaliyoonekana.
Leo tena Rais Samia amesema iundwe bodi ya mishahara, hivi watumishi hamuoni hii ni danadana na danganya toto?
Hivi kama HESLB wanaweka value retention fee ya 6% (imeondolewa), serikali...
Ninachojua GENTAMYCINE kwanini Mishahara imekuwa ikipigwa tu 'danadana' Kupandishwa kwa Watumishi nchini tokea 2016 hadi tarehe 17 March, 2021 ni......
1. Kukurupuka kuanzisha Miradi
2. Kuwekeza zaidi Chato
3. Kukomoa Matajiri wakubwa
4. Ufisadi mkubwa tu Serikalini
5. Kuharibu Mifumo ya Pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.