Kaimu Katibu Mkuu wa TUCTA, Said Wamba amesema Wafanyakazi hapa Nchini hawajaongezewa Mishahara kwa miaka 8 kwa upande wa Sekta isiyo rasmi na miaka 6 kwa Sekta ya Umma
Amesema, "Hali hii imesababisha kupungua kwa ari ya kazi na hivyo kupunguza ufanisi ya uwajibikaji mahali pa kazi. Gharama za...
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Serikali ilikuwa na mpango mzuri wa kuongeza maslahi ya Wafanyakazi mwenye mishahara kwa awamu tatu
Ameeleza, "Awamu ya kwanza ni kima cha chini kuwafikisha kwenye 300,000. Awamu ya pili ni watumishi wa kada ya kati na ya tatu ni Viongozi wa juu"...
Hii kauli mbiu ni kama imebuniwa kumsuta mwendazake.
Kwa kweli mimi siyo sukuma gang lakini kaulimbiu hii imekaa kitata zaidi na siyo kisayansi.
Kazi Iendelee!
Heri ya siku kuu ya wafanyakazi! Hii ni siku iliyobeba matumaini makubwa kwa wafanyakazi wote Tanzania.
Baada ya kupandisha mishahara kwa mara ya mwisho July 2015 (by Kikwete) ni takribani miaka 6 sasa wafanyakazi wameambulia patupu.
Matarajio kutoka kwa Rais:
1. Kuhimiza kufanya kazi kwa...
Mbunge wa viti maalum Wafanyakazi, Janejelly James Ntate amesema watumishi wameweza kuifikisha Tanzania Uchumi wa Kati kabla ya wakati wake mwaka 2025.
Akiwa kwenye vikao vya bajeti vinavyoendelea mjini Dodoma amesema watumishi walifanya hayo kwasababu serikali kupitia vyama vya watumishi...
Spika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya.
Ndugai amesema hayo akimuunga mkono mbunge wa Gairo mh Shabiby aliyedai wakurugenzi wa Tarura na Ruwasa...
Leo Mrisho Gambo ametema cheche bungeni kwa kuitaka serikali iongeze nyongeza za mishahara ya watumishi na kutaka makato ya wanafunzi bodi ya mikopo yapunguzwe kutoka 15%
Amesema, sheria huwa hairudi nyuma sasa inakuwaje sheria iliyoweka 15% ianze kufanya kazi kwa watu waliokopa kabla ya sheria...
WACHUNGAJI NA MASHEIKHE WA MISHAHARA WANAOSHINDWA KUKEMEA WANASIASA WAOVU, NDIO WANAOFANYA DINI IDHARAULIKE.
Kwa Mkono wa Robert Heriel.
Kazi hudhaulika pale uasi unapotamalaki, hata ile kazi iliyonjema na halali hudharaulika na kuwa ya aibu pale waovu wanaposhika kazi hizo. Zama hizi, kazi...
Sisi wana wa maskini tuna miaka takribani 6 sasa mtaani bila ajira baada ya kuhitimu vyuo. Wanatwambia wanajenga uchumi imara kwanza ndipo watuajiri.
Kumbe kujenga uchumi ndiko huku? Mamilioni kwa Mabilioni kwa matrilioni, wametafuna. Sisi tunateseka mtaani bila ajira,huku HESLB nao...
TGOS A
TGOS A 1. (Sh240,000), TGOS A 2. (Sh245,600), TGOS A 3. (Sh251,200), TGOS A 4. (Sh256,800), TGOS A 5. (Sh262,400), TGOS A 6. (Sh268,000), TGOS A 7.(Sh272,000), TGOS A 8(Sh279,000), TGOS A 9.(Sh284,800), TGOS A 10(Sh290,400), TGOS A 11(Sh296,000), TGOS A 12(Sh301,600), TGOS A 13(Sh...
Watumishi wa umma wanamaumivu makubwa mioyoni mwao sio siri, hata kama kipaumbele ilikuwa kumaliza kwanza mambo ya msingi kama ujenzi wa miundo mbinu, kuimarisha sekta ya afya na elimu lakini waalihitaji kuonewa huruma.
Waziri mkuu alikatisha watu tamaa kabisa pale aliposema eti kuongeza...
NG'ANGANIA KUONGEZA UTAALAMU SIO MSHAHARA
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Watu wengi wamekuwa wakilalamika mishahara yao ni midogo, hivyo huwashurutisha waajiri wao waongeze mishahara. Tangu ningeli mdogo malalamiko haya yapo, na bila shaka mpaka nitaondoka duniani yataendelea kuwapo dunia...
"Mke wangu ni Mwalimu lakini ananizidi mshahara, Sijui tuna laana hapa" - Askari mbele ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Baadhi ya askari wamepata nafasi ya kuzungumzia vitu mbalimbali ikiwemo stahiki zao katika mkutano wa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza...
Walimu na wafanyakazi wa shule za msingi na sekondari ya kolping inayomilikiwa na kanisa katoriki jimbo la Bukoba wamegoma tangu wiki iliyopita wakishinikiza uongozi kuwalipa malimbikizo ya mishahara ya miezi 8.
Hata hivyo kikao cha kuwaomba wafanyakazi hao kurudi kazini kimevunjika baada ya...
Kumekuwa kuna mambo mengi yanafichwa fichwa lakini madhara yake ni makubwa na miongoni mwa mambo ambayo mhe: Rais wetu aliyoyaongea alisema wizara hazi-communicate.
Unajua kila kitu kikimsubiri rais ndo aje afanye maamuzi kuna hakuna haja ya kuweka mawaziri kwani kazi yao kubwa imekuwa ni...
Sisi ni wafanyakazi wa Kiribo Ltd Nyamongo tumezurumiwa mishahara yetu ya miezi minne tuko wafanyakazi 250 na tunadai takiribani milioni miatano na NSSF takiribani bilioni moja.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imejifunza kuwa inapotangaza hadharani kuhusu kupandishwa mishahara, kumekuwa kunatengeneza gharama kubwa na kusababisha ugumu wa maisha ya wengine.
Ameeleza hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Konde (ACT-Wazalendo) Khatib Haji aliyehoji ni lini...
Ujumbe muhimu kwa Watumishi wa Umma.
Japo kuna baadhi ya watumishi hawatoweza kunielewa nini naamaanisha ila namaanisha kweli.
Kwanza kabisa naomba nieleweke ni hivi mshahara haujawai tosha na wala hautakuja kutosha.
Jambo la msingi ambalo watumishi mnatakiwa kujifunza ni jinsi ya kumeneji...
Kwenye uchumi ambao bei za bidhaa zinapanda kila uchwao, ili mtu uendelee ku survive na maisha, ni budi kipato kipande ili kupunguza ukali wa maisha. Hii kwa wachumi tunaiita 'Cost of living adjustment - COLA'.
Ndo maana utaona salary review zinapaswa kufanyika kila mwaka, na endapo kama...
Mishahara duni ina athari kubwa sana kwa watumishi wa umma na Taifa kwa ujumla na hizi ni baadhi ya athari hizo kwa watumishi na Taifa letu.
1. Low purchasing power
Mishahara duni inapunguza uwezo wa mtumishi kufanya manunuzi na hivyo wakati mwingine humlazimisha mtumishi kukimu mahitaji yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.