mishahara

  1. J1mbo

    Salary for lecturers (Masters degree/PhD.) - NGAZI ZA MISHAHARA SERIKALINI

    Halo kila mtu I am a scientist from Germany and very interested in tanzania. This is why i applied for a funded research project with the university of dar es salaam. Since I need the actual salaries for admitting it to our german funding agency, I wanted to ask if there is any public table...
  2. Infantry Soldier

    Mnaonaje kama watumishi wa serikali na taasisi kubwa binafsi wakianza kulipwa mishahara yao kila baada ya wiki mbili na sio wiki nne (mwezi mmoja)?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Mnaonaje kama watumishi wote wa serikali pamoja na wale wa taasisi kubwa binafsi wakianza kulipwa mishahara yao kila baada ya wiki mbili na sio wiki nne (mwezi mmoja) kama ilivyozoeleka sasa? Kwanini serikali pamoja na...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Magufuli alikuwa sahihi kutokuongeza mishahara ya watumishi kwa miaka 5. Uzembe umejaa makazini

    Habari wakuu! Mwaka jana katika harakati za kufuatilia mirathi ya mke wangu ambaye alifiwa na baba yake ikanilazimu nizitafute ofisi za PSSSF mkoa wa Temeke au Ilala maana mimi ni mkazi wa Dar es salaam. Nikaingia website ya PSSSF nipate location za ofisi zao. Nikachukua details muhimu na...
  4. Mfikirishi

    CCM imefanikiwa kutugawa; tukagawanyika

    Hili genge liitwalo ccm limefanikiwa kutugawa na sasa tumegawanyika vipande vipande. Kuna ambao wanaona nguo, tshirts, kofia, khanga, lift, chakula na fadhila nyingine ni muhimu sana kwao kwa sasa kuliko hata ahadi na ilani ya uchaguzi. Kuna ambao mikopo midogo midogo, bendera na mabango ni...
  5. T

    Uchaguzi 2020 CCM mtapata kura za watumishi wa TRA na BOT na familia zao tu, ambao mliwapandishia mishahara kwa zaidi ya 300%

    Toka serikali ya awamu ya 5 imengia watumishi wa umma zaidi ya laki 5 hawakuwahi kupandishiwa mishahara wala madaraja lakini kuna kundi la watumishi wachache sana nchi hii wameneemeka na serikali ya awamu ya 5, watumishi hao ni wa Mamlaka ya Mapato Tanzania na Benki Kuu ya Tanzania. Serikali ya...
  6. ChoiceVariable

    Uchaguzi 2020 Tundu punguza kunadi sera ya mishahara kwa wafanyakazi mbele ya watu masikini

    Hongereni kwa kampeni. Twende kwenye hoja moja kwa moja,binafsi Sina tatizo na watumishi kuongezwa mishahara hiyo ni haki yao lakini ni vyema hoja Kama hii ikachagua majukwaa ya kuizungumzia. Wafanyakazi hususani wa serikali wa kada zozote ni moja ya kundi ambalo jamii kubwa inaliona kuwa na...
  7. Dr Akili

    Uchaguzi 2020 Mgombea atakayetuahidi kufyekelea mbali mishahara na posho nono za Wabunge na Wanasiasa, tutampa kura

    Sasa, sasa: kama kweli Mgombea huyu wa Upinzani ni jasiri wa kutosha na mwenye uchungu na sisi wavunja jasho na walipa kodi wa nchi hii, atuahidi hadharani katika kampeni zake kwamba tukimchagua atafyekelea mbali mishahara na maposho manono manono ya wabunge na wanasiasa. Na kwamba atafuta...
  8. mills93

    Je, Serikali inachukua hatua gani juu ya mishahara finyu na kandamizi inayotolewa Viwandani?

    Nashangaa sana Serikali inafumbia macho hili swala la mishahara viwandani, watu wana kandamizwa sana. Ujira mdogo na hawapati pesa ya maendeleo bali kula tu na nauli. Kwanni serikali imefumbia macho kuhusu hili? Sometimes wanasema vijana hawataki kazi lakini mtu anakaa Gongo la Mboto na kazi...
  9. Mtemi mpambalioto

    Suala la Mishahara ya wafanyakazi wa serikali: Tuzungumze mazuri na mapungufu katika suala hili nyeti, tuweke siasa pembeni

    Naomba kwanza suala mishahara ya watumishi wa serikali lieleweke tu kuwa si la kulichukulia mzaha mzaha na kulibeba tu kuhamia nalo majukwaani! Kuna mambo makubwa matatu hapa yamejitokeza tuyachambue kwanza: Annual increment: suala hili namlaumu President Magufuli kwa kuwa amelichukulia mzaha...
  10. D

    Suala la mishahara linakuzwa mno, tuzungumzie maslahi ya watumishi kwa ujumla

    Mjadala na propoganda ya mishahara kwa watumishi wa umma inakuzwa mno na Wapinzani kama mtaji wao kwenye kampeni hizi bila kuzingatia hatua zilizochukuliwa na Serikali ya awamu ya tano kuhusu uboreshaji wa maslahi kwa Watumishi wa Umma. Ieleweke kuwa mishahara ni sehemu tu ya maslahi katika...
  11. Course Coordinator

    Uchaguzi 2020 Nimeshangaa Magufuli kusema ameongeza mishahara kwa watumishi wa Serikali kimya kimya miaka yote mitano

    Akiwa mkoani Mara Mgombea wa CCM Dkt John Magufuli kwenye uzinduzi wa kampeni katika mkoa huo Mgombea amesema kuwa "naskia kuna mtu anasema sijaongeza mshahara watumishi wa umma ,Watumishi wa umma nimewaongezea mshahara kimya kimya " Aliendelea na kusema kuwa ukipandisha madaraja huongezi...
  12. T

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Siwezi kudanganya watumishi wa umma kuwa nitawapandishia mishahara!

    Hayo ameyasema Leo akiwa mkoani Mara kwenye kampeni za kuomba kuchaguliwa kwa miaka mitano ijayo. Ahadi hii imeniacha na maswali mawili Kama ifuatavyo: 1 Je huyu mgombea anawachukuliaje watumishi wa umma? Huwaona Kama wanaokula bure?, au makondoo tu wasio na lolote.! 2 Nini mtazamo wa...
  13. J

    Rais Magufuli: Wafanyakazi msidanganywe serikali imepandisha mishahara kwa kupandisha madaraja na kupunguza kodi ya PAYE

    Rais Magufuli amesema ziko namna nyingi za kupandisha mishahara ikiwemo kupandisha madaraja watumishi na kupunguza kodi ya wafanyakazi PAYE. Hivyo serikali imeamua kutumia njia hii na watumishi wote wananeemeka. Rais Magufuli amewataka wananchi kumpuuza mgombea urais anayesema watumishi wa umma...
  14. S

    Tundu Lissu zungumzia pia hoja ya serikali ya CCM kushindwa kulipa malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma na malimbikizo mengineyo

    Tundu Lissu,mbali na serikali hii kushindwa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma kama sheria inavyotaka,lakini pia imeshindwa kulipa malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma licha ya watumishi kutakiwa kujaza form za madai ya malimbikizo yao mara kwa mara. Kwa wasiolewa,wako baadhi ya...
  15. GENTAMYCINE

    Huku Kampeni zikiwa zimeshaanza na Uchaguzi Mkuu kukaribia hatimaye Rais wa 'Malawi ya Kaskazini' awapandishia 'Mishahara' Wanajeshi wote

    Kwa tulioko hapa nchini 'Malawi ya Kaskazini' tunajua kuwa sasa Kampeni za Uchaguzi Mkuu zimeshaanza japo nimegundua kuwa kumbe kwa mara ya Kwanza Uchaguzi Mkuu wa hapa 'Malawi ya Kaskazini' umefanana mno 'Kiratiba' na ule Uchaguzi Mkuu ambao nimesikia kuwa unaenda Kufanyika pia kwa 'Majirani'...
  16. lee Vladimir cleef

    Uchaguzi 2020 Ni kweli kabisa Serikali ya Lissu inaweza kuwalipa wafanyakazi stahiki zao na mishahara minono

    Hata kwa makusanyo hayahaya ya Kodi inayokusanywa mwaka huuhuu wa 2020. Serikali ya Lissu inaweza kuwalipa vizuri watumishi,wastaafu na hata mikopo yenye riba nafuu kwa wanafunzi na kuwapunguzia mizigo ya ada wazazi. ITAWEZAJE Serikali ya Lissu haitakua na matumizi ya hovyo,ya kijinga na...
  17. Analogia Malenga

    Madaktari wa Nairobi waanza mgomo kwa kutolipwa mishahara

    Shughuli katika hospitali za umma Nairobi, Kenya zimekwama baada ya madaktari kuanza mgomo wao. Hayo yanajiri baada ya madaktari hao kutoa ilani ya siku saba kwa kile wanachokitaja kuwa ni mazingira mabovu ya kazi. Mgomo wa madaktari hao ulioanza usiku wa manane huku maambukizi ya COVID 19...
  18. Mlenge

    PENDEKEZO: Mishahara na Malipo Mengine yaruhusiwe kupitia waleti za simu

    PENDEKEZO: Mishahara na Malipo Mengine yaruhusiwe kupitia waleti za simu Halopesa/Tigopesa/MPesa/Airtel Money/T-Pesa/waleti zingine Badala ya watumishi katika sekta za umma na za binafsi kulazimika kutumia akaunti za benki kupokelea mishahara, waruhusiwe kupokelea mishahara na malipo mengine...
  19. Kididimo

    Wachumi mnisaidie: Fedha iliyookolewa kwa kutoongeza mishahara, vyeo na marupurupu watumishi kwa miaka 5 inaweza kulipia miradi mikubwa mingapi?

    Nimejiuliza mambo machache baada ya kusikia rafiki zangu serikalini wakinena jambo. Kuwa, miradi mikubwa kama Stieglers, Ndege nk fedha zilizolipia miradi hiyo ni zile zilizookolewa kwa kutopandisha vyeo, nyongeza ya mishahara,nk. Hii inaweza kuwa wako sahihi? Nisaidiwe!
  20. D

    Utumishi, Wizara ya Fedha na TAKUKURU kwanini mnaruhusu watumishi wa umma kukopea mishahara yao hadi Senti ya mwisho? Hamuoni kuwa inachangia Rushwa?

    Kuna watu wamechukua Mikopo mikubwa sana na ndani ya mkopo hiyo wameongeza mikopo mingine tena juu kwa juu (inaitwa TOP-UP) Sipo hapa kumpangia mtu Matumizi ya Mikopo yake; lakini swali langu je hao watumishi wanaokatwa mishahara yao yote kwa mikopo wanaishije kwa kubakiwa na chenji kwenye...
Back
Top Bottom