mishahara

  1. Analogia Malenga

    Bodi ya Mishahara Kenya yapinga Wabunge kuongezwa pensheni

    Bodi ya mishahara nchini Kenya imepinga mpango wa kuongeza pensheni kwa wabunge 375 wa zamani. Mkuu wa bodi hiyo, Lyn Mengich, amesema iwapo wabunge wataongezewa pensheni wafanyakazi wengine wa ofisi za Umma watataka mishahara yao iongezwe pia. Wiki hii wabunge nchini humo walipitisha muswada...
  2. CK Allan

    Hivi ile bodi ya mishahara iliishia wapi?

    Mara ya mwisho tuliona waziri Mkuu akiongea na wajumbe wa bodi hiyo akiwataka wafanye bidii kuweka sawa mapendekezo Yao . Ikumbukwe mheshimiwa Raise alishatoa maelekezo na kuleta natumaini makubwa kuwa mfanyakazi angelipwa kutokana na kazi yake Sasa wajumbe wa hii bodi wameenda wapi Tena? Au...
  3. T

    Watumishi wa Umma waliotia nia kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa kukatwa mshahara wa mwezi Julai

    Haijulikani sababu ni zipi zimeletekeza watumishi wa Umma ndiyo kuwa wengi katika kutia nia kuliko wafanyabishara na wafanyakazi wa Sekta Binafsi. Kuna wengine ambao waajiri wao wamegoma kuwapitishi ruhusa. Kuna wengine kwa kuona mizengwe ya viongozi wao kuhusu kuomba ruhusa wameamua kuondoka...
  4. Civilian Coin

    Don Nalimison asimamishiwa Mishahara na Serikali Halmashauri ya Jiji la Mwanza

    Wakati Watumishi wote Wamepokea Mishahara yao tangu Jana ijumaa. Mimi Mpaka Leo sijapata. Hii ni dharau kubwa sana kwa Taifa maana sijawahi kupewa barua ya kufukuzwa kazi au kusimamishwa kazi. Tunaongoza Nchi kwa kutumia meno ya mabua. Wapinzani chukieni Nchi yenu CCM na IKULU yao imeshindwa...
  5. Mao Tanzania

    Mishahara imekatwa: Poleni Watumishi watia nia

    Pitapita zangu hapa jijini Mwanza zimenikutanisha na watumishi wa umma wenye huzuni, chuki, hasira na kisasi mioyoni baada ya mishahara yao kukatwa kwa sababu walitia nia. Wanasema, mishahara yao ndo uhai wa familia zao, ndiyo uzima wa Babu na Bibi zao vijijini. Wanasema wanawagonjwa...
  6. Mlalamikaji daily

    Kunani wengine hatujapata mshahara wa Julai?

    Mshahara umetoka Jana ila naona wengine bado haujasoma. Mwanzoni nilijua Niko peke yangu ila nimesikia watu kadhaa nao pia wanalalamika Mimi Binafsi sijawahi kutia Nia popote kwahiyo tafadhali Sana. Na hii tabia ya kuingiza mshahara kwa mafungu sio tabia ya uchumi wa Kati. Je, Kuna mwingine...
  7. Mwamuzi wa Tanzania

    Utabiri wa kweli: Watumishi wa Umma watapandishiwa mishahara Agosti 2020

    Habari waungwana? Kwenye bajeti kuu ya mwaka wa fedha 2020/2021 watumishi wa umma walisahaulika kwa makusudi kabisa. Lakini maji ya shingo yatakapomfika Mheshimiwa kipindi cha kampeni atakuwa na karata chache sana mkononi na zote ni spesho (hazifungi). Atajitetete kwa kupandisha mishahara...
  8. Slim dady

    Hivi Walimu ni mishahara ndio inawapa hasira?

    Kuna habari nimeona kwa wanafunzi wa form six wamefukuzwa shule siku chache kabla ya mitihani yao ya kuhitimu Chanzo kabisa ni wanafunzi hao kukutwa na simu Nimejiuliza inakuwaje mwalimu unahangaika kukagua wanafunzi amabaye hama hata zaidi ya mwezi kuendelea kuwepo hapo shuleni kama wana simu...
  9. Naanto Mushi

    Swali la kichokozi: Pamoja na Watumishi hewa kuondolewa na Serikali kutokuongeza mishahara, mbona gharama za mishahara zinapanda kila uchwao?

    Huu ni muendelezo wa kutoa habari kuhusu utafiti wangu wa kitaalamu huhusu namba za serikali ambazo zinapatikana Wizara ya Fedha, kwenye report ya serikali ya kila mwaka. Ni muunganiko wa nyuzi ambazo nimekuwa nikizotoa na kuzipa jina 'Namba zinanuka' . ‘Namba zinanuka’ – Serikali imechangia...
  10. J

    Awamu ya 5 imeongeza mishahara ya Watumishi kwa njia ya kupunguza kodi ya PAYE

    Wapinzani wamekuwa wakieneza propaganda kwamba serikali haiwajali Watumishi na kwamba haijawaongezea mishahara kwa miaka 5 sasa. Hii si kweli, kuna njia mbili za kuongeza mshahara wa mtumishi ikiwa ni kuongeza mshahara ghafi au kuongeza net salary (take home). Serikali ya awamu ya 5 imetumia...
  11. Return Of Undertaker

    Bajeti 2020/21 Watumishi wa Umma mwaka wa 5 hakuna nyongeza ya mishahara wala punguzo la kodi

    Awamu ya tano imeonysha kuwa wafanyakazi sio tu hawamnyimi usingizi bali hata hawana maana kwake. Ukiondoa uvunjaji wa sheria aliofanya kupandisha mishahara na madaraja hata ahadi zake za kupunguza kodi (PAYE) kwa wafanyakazi hajajigusa. Walidanganya uhakiki ndio kikwazo miaka mitano imepita...
  12. WENYELE

    Ushauri: Miaka 6 kazini, mishahara haikutani

    Wakuu nina miaka 6 kazini, lakini naona hata nikiacha kazi leo sina future wala hela ya kula mwezi mmoja. Nilianza na mshahara wa laki 6 leo nina mshahara wa 2.9M lakini hadi leo sina project wala uwekezaji wowote. Nimeishia kujenga nyumba mbili tu moja kijijini nyingine mjini na zote...
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Kabla hamjaanza kumsifia Magufuli kwa kulipa Walimu mishahara miezi 2 lazima mtambue haya

    Nina hakika CCM itashinda chaguzi nyingi zijazo na kuendelea kuiongoza nchi hii ya Tanzania. Sababu kubwa ni ujinga + upumbavu wa Watanzania wengi. Samahani najua nimewakwaza wengi kwa neno upumbavu na ujinga ila haya maneno hayana undugu na matusi. Leo unatoa shukrani kwa Rais kisa amelipa...
  14. Analogia Malenga

    Dkt. Abbass: Kiuchumi tuko vizuri ndio maana hatujashusha mishahara ya watumishi kama nchi nyingine

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amesema, Serikali haijaacha kuwalipa watumishi wake katika kipindi hiki cha #CoronaVirus kwa sababu iko vizuri kiuchumi Ameongeza, “Nchi jirani zimepunguza mishahara lakini kwa Tanzania watu bado wanapata mishara yao tena kwa wakati bila...
  15. MEXICANA

    Kuhusu kuongeza mishahara ya watumishi wa umma awamu ya utawala huu, alternative hii ingetumika

    Annual increament ni haki ya kila mtumishi wa umma kupata. Ila kwangu Mimi sioni impacts yake katika maisha ya sasa maana ni hela ndogo sana. Ningekuwa mimi mhe. Raisi wa Jmt ningechukua maamuzi ya kuwalipia madeni yote watumishi wa umma kwenye kila taasisi walikokopa particularly mabenki...
  16. Analogia Malenga

    Serikali ilijipanga kuongeza mishahara, ila covid19 imeharibu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Haroun Ali Suleiman amesema serikali ilikuwa tayari imejipanga kuongeza viwango vya mishahara kwa watumishi wa umma, lakini kutokana na janga la corona, utekelezaji wa mpango huo umesitishwa kutokana na nchi kuyumba kiuchumi...
  17. cha1509

    Mei Mosi 2020: Rais Magufuli atuma salamu za siku ya wafanyakazi, asisitiza waendelee kufanya kazi na kujiepusha na Corona

    Mh. Rais awasihi wafanyakaz wazidi kuchapa kazi katika kipindi ambacho dunia inapitia kipindi kigumu cha kupambana na Covid19 ........ Sent using Jamii Forums mobile app
  18. mbutamaseko

    Kukosa mishahara sekta binafsi: Ni muda wa Social Security Funds kutoa hata 30% ili watu wajikimu

    Kulingana na yanayotokea kwa watu kukosa mishahara mfano shule binafsi kama tusiime, st Anne Marie na zingine nyingi ilhali watumishi hao wanachangia vizuri tu nssf. Serikali aioni haja ya kuruhusu watu wachukue sehemu ya asilimia 30 tu ya mafao yao ili kujilinda kipindi hiki cha janga la...
  19. M-mbabe

    Serikali iwalipe mishahara waalimu 89,475 wanaofundisha shule binafsi

    Wote tumemsikia rais wetu jana. Ujumbe kwenye ile speech, literally, ni "Mtanzania, chagua ufe kwa Korona au ufe kwa njaa". Amesema lockdown ni nonsense (iwe partial kama ya Kenya/Uganda au flully fledged). Amesisitiza uchumi wa watu na nchi utaporomoka tukifanya lockdown. Lakini, mimi naona...
  20. Superbug

    Serikali iwalipe walimu wa shule za binafsi mishahara kwa RIBA ndogo kipindi hiki cha Corona

    Serikali iwakopeshe mishahara walimu wa shule binafsi kipindi hiki Cha Corona kwa RIBA ndogo sana. Ikumbukwe kwamba Hawa ni WATANZANIA wenzetu japo Kuna wachache sio WATANZANIA. Serikali ione huruma kwa maelfu ya WATANZANIA watakaoathirika kutokana na janga hili. Binafsi nimetoa machozi...
Back
Top Bottom