Habari wakuu,
Nahitaji msaada wa sheria.
Kipindi hiki ambacho tunapambana na corona, kampuni imepunguza mishahara pasipo majadiliano na wafanyakazi.
Je, ni sheria ipi inahusika? Wapi tunaweza kulalamika?
Naandika kwa niaba ya rafiki:
Ninafanya kazi kwenye moja ya international schools Dar es Salaam. Agizo la waziri mkuu kwamba shule zifunge lilipotoka tulianza likizo na mwezi wa tatu tulilipwa, tulikua tukifundisha kutokea nyumbani.
Sasa week iliopita mwajiri aliandika ujumbe kwa baadhi ya...
Rais Magufuli alipoingia madarakani kitu cha kwanza alichojitahidi kurekebisha ni jinsi wafanyakazi wa serikali walivyokuwa hawawajibiki kutimiza majukumu yao; alifanya zoezi la ziara za kustukiza maofisini na kuwaadhibu wale waliokutwa na makosa.
Zoezi la ziara za kushstukiza pamoja na zoezi...
Baadhi ya Wabunge wameitaka serikali kusitisha utekelezaji wa miradi mikubwa ili fedha hizo kwa sasa zielekezwe katika mapamabano ya ugonjwa wa Corona.
Sambamba na hilo, wameitaka serikali kupunguza mishahara ya viongozi waandamizi serikalini pamoja na wabunge ili fedha hizo zielekezwe katika...
Kwanza niseme wazo kuwa mimi ni muumini wa ahadi za MwanaTANU. Ambapo msisitizo ni uzalendo kwa nchi.
Nikiwa Mtumishi wa umma huku nikiiona changamoto ya kupambana na covid-19 napendekeza serikali itukate watumishi wa umma wote walau asilimia mbili za mishahara yetu na pesa iende kusaidia...
Hiki ni kilio chetu wafanyakazi cha zaidi ya mwaka mmoja tangu kuanza kufuatilia suala hili bila mafanikio katika ofisi zifuatazo:-
(1) Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni
(2) Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
(3) NSSF-Kinondoni
(4) Vyombo vya habari vya binafsi na serikali (Shirika letu pendwa la...
Mheshimiwa Rais naomba nikushauri Jambo! Kutokana na keki ya taifa kuwa ndogo na kugawanwa kwa watu wachache tukianza na watumishi wa umma, majeshi, nk
Ninapendekeza iundwe sheria watanzania tuwe tuna access ya kufanya kazi miaka 15 tu baada ya hapo mtu anachukua pension yake anaondoka. Hili...
Mtikisiko wa Corona :Serikali ya Uingereza kulipa mishahara wafanyakazi wa sekta binafsi ili kulinda ajira zao. Kwa kweli huu ni utu zaidi ya ujamaa wa Mwalimu Juliazi.
====
Has the national life of this country ever been transformed so completely and at such a speed? In the course of a week...
Wanaojitenge kwa siku 14 ili wasieneze ugonjwa wanatakiwa kulipwa pesa kamili za mshahara. Serikali itawarudishia pesa hizo waajiri kutokana na kodi ili kuepusha biashara na uchuni kuanguaka.
On 17 March, the Chancellor announced an unprecedented package of government-backed and guaranteed...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema anatarajia kupeleka muswada binafsi bungeni, kutaka itungwe sheria ambayo itamka mwanamume ambaye ni mfanyakazi, kukatwa asilimia 40 kwa ajili ya mke wake ambaye ni mama wa nyumbani.
Makonda alisema hayo wakati wa kilele cha maadhimisho ya...
Nasema hili nikiwa nimeliona katika ofisi nyingi za serikali baada ya kurudi likizo huko nyumbani, Serikali inatumia gharama nyingi sana kulipa mishahara na posho za watumishi lakini ni wachache sana, wachache mno wanaofanya kazi, wengi wao wanaripoti na kupiga soga mda wote wakiwa kazini...
Nimekuwa nikikaa nao kwenye mabwalo yao nawasikia wakilalamika kuhusu kutokulipwa posho za maji na umeme, nilijaribu kumuuliza askari mmoja akasema kuna mtu mmoja wizarani anakwamisha jambo hilo.
Sasa nauliza kumbe! Kuna utaratibu wa majeshi kulipwa posho za maji na umeme? Je, hawa polisi na...
Kila nikiwa kwenye mabwalo yao nawasikia wakilalamika kunyimwa haki yao ya posho za maji na umeme
Sasa naomba kujua kuna utaratibu wa majeshi kulipwa hizo posho?
Kama upo kwanini wanalalamika nini kinawakwamisha?
Nilijaribu kumuuliza pot mmoja kuhusu hilo akasema kuna mtu mmoja wizarani kwao...
Habarini Wadau,
Ninaomba kuuliza lakini pia kupatiwa msaada katika jambo hili.
Mwaka Jana mwezi wa 5, watumishi wengi wenye sifa walipandishwa madaraja. Lakini cha kushangaza katika mabadiliko ya mishahara ni kama kuna ubaguzi kwa watumishi.
Kwa Mkoa wa Kilimanjaro kuna ambao wamebadilishiwa...
Hawa ni wahanga haswa wa awamu hii.
Hawajaongezewa mishahara kwa mujibu wa sheria wakiambiwa wanajengewa madaraja na kununuliwa ndege.
wapo waliosimamishwa na kufukuzwa kazi kwa mihemko ya viongozi vichaa vichaa.
Hatutawashangaa watakapopewa nyongeza ya mishahara iliyocheleweshwa na kutuambia...
Hivi tangu enzi za Mzee Mwinyi kuna awamu kweli iliwahi kutelekeza watumishi wa umma kwa kiwango hiki tunachokiona katika awamu hii?
Yaani wakati mishahara serikalini ikifahamika kuwa ni midogo,mtu unaamua kuifanya iwe duni zaidi kwa kutoa hata annual increment?
Je,huku sio kukosa ubinadamu...
Vigezo gani vinatumika kupanga mishahara ya watumishi wa umma?
Kuna tofauti kubwa sana ya mishahara kati ya watumishi wa mashirika na taasisi za serikali na wale wa halmashauri au serikali kuu. Kuna mashirika mengine hata dereva tu anamzidi mshahara engineer, mwanasheria au daktari wa...
Mamlaka ya maji Mbeya wafanyakazi wake hawastahili kulipwa mishahara kwa sababu hakuna wanachokifanya na hawapo pale kutoa huduma ya maji kwa wananchi. Wapo kama TRA tu yaani kukusanya pesa basi.
Ni miezi 4 sasa eneo la Uyole 90% ya bomba hazitoi maji. Wakilalamikiwa hawatoi msaada wowote...
Dini zimekuwa zikijitahidi Sana kuwekeza kwenye miundombinu na majengo ya vyuo vikuu Tanzania kwa kupitia wafadhili wao wa ndani nje ya nchi ambao Mara nyingi wakishamaliza huwa hawaendelei kuchangia gharama za uendeshaji.
Dini Kama Waislamu,wakatoliki,walutheri, waanglikana na wasabato na...
Kwema wakuu?
Miaka iliyopita mshahara ukitoka tu Maza alikuwa ananiambia nikamtolee fedha yote nitakayoikuta kwenye akaunti yake pindi tu mshahara unapoingia.
Nikifika tu NMB nakutana na foleni kubwa sana. Nikienda tarehe za kawaida kwa issue zingine pale Benki nikichungulia ATM sioni foleni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.