Leo ndiyo siku ya kwanza kwa wananchi kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Wananchi wanajitokeza kwa wingi lakini kwenye kituo nimewaona wakala wa vyama viwili tu yaani CCM na CHADEMA.
Je Vyama vingine viko wapi?. Mfano ACT-Wazalendo, Chauma, TLP, NCCR sijawaona wakala...