Nashangaa sana mpaka napigwa na butwaa kubwa. Hivi pesa alizokusanya Mbowe mitaani akijoinisha watu ze chain ni siri?
Kwa nini zisitangazwe kiasi kilichopatikana na kuwapa morali wachangiaji?
Au ndio kale kamtindo kenu kanaendelea?
Wekeni mambo hadharani kujenga imani kwa wananchi.
Aliachiwa na Mama Samia kwa mkataba maalumu.
Eti wajenge nchi. Sasa mtu makini utajenge nchi na hii CCM?
Sasa hivi hasikiki kama ana mpango wa kuhakiaha CCM inag'oka madarakani.
Kumbe jela ni njia ya kunyamazisha watu.
Tangu hii kampeni ianze, hakuna hata siku moja tuneambiwa makusanyo ni shilingi ngapi.
Hela zinakusanywa kwenye mifuko ya rambo, anayezihesabu hajulikani ni nani, ni rahisi watu kujichotea tu na kuweka mifukoni mwao, hakuna risiti. Hakuna ufafanuzi nani anaongoza nini, na gharama za operesheni...
Habari!
Nawakumbusha tu Waislamu wenzangu kuwa tusifuturu kwa FUTARI walizopika vimada wetu hasa tunaoishi nao pamoja. Haijalishi tumezaa nao watoto wangapi, au tumeishi nao kwa miaka mingapi.
Najiandaa kuona je, na Orlando Pirates FC nao kabla ya kucheza na Simba SC Kwao Afrika Kusini na wao watahamasisha Mashabiki wao Kuzurula hovyo Mitaani ili Kuujaza Uwanja na Washinde kwa Nyimbo za Hamasa na Tambo za Hekaya za Abunuasi?
Ajira mpya za walimu kama 9,800 zimetangazwa nchini hapo jana lakini idadi ya walimu wasio na ajira ni kubwa Sana mtaani kuna haja ya Serikali kufikiria upya kuhusu kuendelea na kufundishwa kozi kozi za ualimu nchini kwani hazina tija tena KWA taifa letu kwa sasa.
Ukijaribu kuchukua idadi ya...
Wakati wa utawala wa awamu ya tano tulishapiga hatua kwenye ishu ya kudhibiti mifuko ya plastiki iliyokuwa inageuza nchi yetu kuwa kama jalala.
Sasa hivi mifuko na vifungashio vya plastiki imerea tena nchini, uharibifu wa mazingira unaendelea kama kawaida.
Mifuko inatupwa hovyo mitaani, na...
Kuna watu wanamhujumu Mheshimiwa Rais na pengine yeye hajui hili. Kwa sasa huku mitaani mafuta ni adimu sana, na pale ambapo yanapatikana basi bei yake haishikiki. Dumu/Ndoo ya Lita 20 iliyokua ikiuzwa TZS 70,000/- mwezi wa sita mwaka jana leo inauzwa TZS 140,000/-
Aliekua Waziri wa Kilimo...
Leo mitaa yote iwe imekee kimya baada ya Simba kuchapwa bao 3 na Asec.
Kwa nini Wanasimba wanakuwa kama wamenyeshea mvua kila wanapokula kichapo?
Wakishinda ndio inakuwa makelele kila kona hadi vichochoroni?
Salaam Wakuu,
Napenda kujua ni namna gani Serikali imejipanga kuwajumlisha Watoto wa Mtaani kwenye Sensa ya Taifa ili na wao wapate nafasi ya kuhudumiwa kama watu wengine.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepanga kufanya Sensa ya Watu na Makazi ifikapo mwezi Agosti 2022. Wizara ya...
Nimeshuhudia taarifa na video mtandaoni ikionyesha kanisa dogo la TAG maeneo ya Zanzibar likivunjwa na greda kwa amri ya wakuu fulani wa serikali wa Zanzibar.
Sababu za kimsingi za hayo kutokea ni kukosekana kwa uvumilivu wa kidini kwa baadhi ya wakazi wa Zanzibar dhidi ya imani zingine, jambo...
Ingekuwa ni enzi zangu nacheza mpira (naupiga mwingi) nina uhakika huyu Mshambuliaji Mbovu wa Yanga SC Fiston Mayele sasa hivi angekuwa Muhimbili Hospitali anauguza Jeraha la Miaka 6 ijayo kwa Rafu ambayo ningemchezea.
Mabeki wa NBC Premier League (Siku hizi) ni Wapuuzi sana na ndiyo maana...
Habari wadau wa jukwaa la ujenzi.
Mimi ni mama wa watoto wadogo watatu.
Ninaishi katika jiji la Dar es Salaam mitaa ya Temeke. Yaani huwa natamani kuwapeleka watoto wangu sehemu ya kucheza karibu na nyumbani lakini hakuna, yaani wazungu wanaita park.
Tumeshidwa kabisa kuweka sehemu kama hizi...
Halafu mnaoingia Kumuona Mgonjwa wa Serikali tafadhali mkiwa mnatoka acheni Kulia kwani mnatutisha wengine wenye Mioyo myepesi. Kwani nasikia hata wale mlioenda St. Thomas tarehe 14 Oktoba, mwaka 1999 na wale mlioenda kwa Mzena tarehe 17 Machi, 2021 mlifanya hivi hivi na baadae Majonzi yakaanza...
Iwe ni serikali kuu au serikali za miji huwa zinakusanya kodi na kutenga mapato kwa ajili ya usafi na wa miji hiyo. Sasa hili la kusumbua watu Jumamosi kwa ajili ya usafi mabarabarani linatoka wapi? Hizo pesa zinatumka kwa ajili ya nini?
Jana nilipita maeneo ya Kigamboni, nikaingia uchochoroni sehemu moja karibu na msikiti wa Feri upande wa Kigamboni nikaona mashine moja ya Kamari uchochoroni kabisa, katika kibanda kisicho na hadhi hata kidogo, kimefichwa ndanindani.
Mchina mmoja akaifungua, akatoa machenji kibao ya shilingi...
Naandika kwako Mkurugenzi wa NEMC - HQ kwamba huku mitaani hasa katika miji kelele za miziki kwenye ma bar, pub saloon za vinyozi, wauza CD, vigodoro pamoja na nyumba za ibada zimekuwa kero kiasi kwamba Mamlaka yako inaonekana ipo tu kama bendera inatumia fedha za serikali bila tija. Kuna namba...
Si zamani sana ilikuwa kila kona unaona bendera ya CCM inapepea na wanachama wa Chama hiki Cha CCM wametapakaa na utawajua kwa mashati yao yenye nembo za CCM na wavaa khanga nao umanjano na kijani.
Sasa kuvaa nguo ya CCM ukatembea nayo mtaani ni shida na kumuona mtu kuvaa sare zao kama zamani...
Ni lile kundi la watu ambao tulisoma nao shuleni na vyuoni, walikuwa serious sana na elimu na waliweza kuwa na matokeo mazuri sana, wengi walisifika kwa kuitwa majina maarufu kama vipanga.
Katika fikra za wengi hawa walikuwa wanaonekana tayari wana future nzuri maana wakimaliza tu elimu zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.