mitaani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Watu wanaoomba misaada mitaani yadaiwa kuwa ni miradi ya watu. Je, kuna ukweli?

    Salaam ndugu zangu, Katika pitapita zangu za hapa na pale nimekutana na watu adhaa wakanionya kuwasaidia watu naokutana nao njiani na kunisisitiza kuwa makini. Wadau wanasema kwamba watu wengi wanaomba mijini hawafanyi hivyo kwa ajili yao bali kuna baadhi ya watu wenye vipato vikubwa ambao...
  2. Librarian 105

    Ofisi za Wakuu wa Wilaya na barua za wapitao mitaani kuomba misaada!

    Maana nimekutana na hawa watu (nawe pia naamini umekutana nao) wanapita mitaani kuomba wasaidiwe matibabu au masuala mbalimbali ya kijamii. Tusiwajadili wale matapeli. Mana leo nmekutana na mhitaji kweli alipata ajali ya gari. Anahitajika kurudiwa upasuaji wa mguu. Ukicheki gharama ni kama laki...
  3. kali linux

    Kwa sasa jezi za Yanga ndizo zinazoongoza kuvaliwa mitaani, asanteni Yanga kutupa confidence mashabiki wenu

    Hello bosses and roses Kwa takwimu zangu naona jezi ya yanga ndio inayovaliwa sana mitaani, wiki mbili zilizopita nmesafiri mikoa tofauti tofauti lakini kote unakuta ni jezi ya yanga ndiyo inaongoza kuvaliwa, wauza jezi pia washashtuka na wengi wameziweka frontline kabisa jezi za timu bora kwa...
  4. AbuuMaryam

    Serikali mnahalalisha uongo kupunguza watoto wa mitaani huku mkiwanyima haki ya kuwajua baba zao halisi

    Mnabariki uongo na dhulma kwa kumbambikizia mtu mtoto asiye wake kisa tu huyo mtu ana pesa. Sasa nyie serikali na huyo kahaba aliyebambikiza mtakuwa mna tofauti gani? Eti kulinda maslahi ya mtoto mamlaka ya serikali inadanganya matokeo ya DNA na kumbambikiza mtoto kwa asiye baba yake kweli...
  5. D

    Ushauri: NEMC fanyeni haya ili kupunguza kelele za muziki mtaani

    Nafaham upo ugumu mkubwa wa kushughulika na watu wanaoamini KERO ni haki yao! Yaani kuna watu wanajimilikisha haki ya kuwakera wengine! Na wanaoamini wako sahihi! Zamani kukuta spika ya disco kanisani ilikuwa HAKUNA! Na watu waliogopa kucheza sebene kanisani lakini hivi Leo ni kawaida sana...
  6. plagiarism

    Unapitia kero gani mtaani kwako?

    Binafsi kero kubwa nayo pitia hapa mtaani ni njia za kupita hasa kipindi cha mvua, na barabara inakuwa mbovu sana. Wewe je, unapitia ipi hata kama ni ya mtaani/ofisini/nyumbani?
  7. M

    Sababu ya wafanyabishara kulalamika biashara mbaya kipindi cha pasaka kimenifanya nijue wa Tanzania sio wa'DINI mitaani km inavyoonekana mitandaoni

    Sikuu kuu imenifunza mengi na pia nimeangalia maisha halisi toka utotoni nikaunganisha dot nikapata huu ukweli Nikianza na wafanyabiashara wa chakula masokoni Wao walisema mauzo yalikuwa ya chini sana katika bidhaa zao za vyakula tofauti na sikuu zingine.hii imetoka na ukweli kwamba kipindi...
  8. BARD AI

    DOKEZO Magari ya Serikali kufichwa na kutelekezwa mitaani ni wizi wazi wazi

    Kuna utaratibu wa hovyo sana na uchezeaji wa kodi za Wananchi unafanyika mitaani kwenye magari ya Serikali. Mengi yametelekezwa ama kufichwa maeneo ambayo hayaeleweki mwengine yameondolewa namba. Mbali na hilo kuna magari mengi ya Serikali yanapaki maeneo ambayo sio salama kabisa. Serikali...
  9. Dkisaka

    Zaidi ya Billion 94 zimetoka kwa Vijana, Wanawake na Walemavu. Mijadala bado inaendelea mitaani, twitter na JF kuhusu maisha magumu kwa Vijana

    Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu sana wa mada mbali mbali hususani JF na Twitter. Vijana wengi wamekuwa wanalalamika sana kushindwa kuanzisha biashara za kujikimu kimaisha (Malazi & Chakula) I've been wondering kuona hili bado ni Tatizo kubwa kwa Vijana wengi ambao in reality wengi wako tired na...
  10. wajingawatu

    Barabara za mitaani ndani ya Manispaa ya Morogoro ni miaka mitatu sasa bila matengenezo: Je, TARURA Morogoro Mpo?

    Barabara za mitaani ndani ya Manispaa ya Morogoro zimeharibika hadi kero. Ndugu zetu wahusika, yaani TARURA, wanavuta mpunga tu na kuotesha vitambi bila kujali wakazi wa Manispaa hi pendwa wanateseka kwa barabara zetu kukosa matengenezo. Ubovu wa barabara hizi ni wa muda mrefu, yapata miaka...
  11. GENTAMYCINE

    Wanaomchukia Rais mitaani wengi ni Wanawake, ila wanaoandaa Kongamano Kubwa Kumsifu Rais kwa miaka yake Miwili ni Wanawake hao hao

    Ngoja tuendelee tu kunywa Mtori na Nyama huenda tukazikuta chini ya Sahani na Mabakuli. Ngojea Sasa nimsikie Mwanamke yoyote iwe ndani ya DalaDala au Mtaani anaulalamikia Uongozi wa Rais GENTAMYCINE nitamtandika bonge la Kofi / Keleb. Hakuna Kitu ambacho nakichukia kama Unafiki na Watu...
  12. ndege JOHN

    Wezi wanazidi mitaani, wanaiba mchana kuliko usiku kuweni makini

    Kwa jinsi maisha yanavyozidi kuwa magumu, kumeibuka kundi la wezu wengi wao wadogowadogo vitoto kabisa ambavyo vinaiba sana Pesa Na vitu vidogo kama simu. Wanachofanya, wanajua nyumba nyingi za kupanga mida ya mchana hukuti watu wameenda kwenye mihangaiko yao. Unakuta nyumba mchana ipo kama...
  13. T

    Kwa namna ilivyo mitaani, hata aliyekuwa hataki ccm itoke madarakani, anaisagia meno!

    Tusidanyane! Vijana wote ambao hamko kwenye cheni ya ulaji na kupeana nafasi kwa Juana ndani ya ccm, bila kuiondoa ccm na kuikataa, wote mtakufa masikini na hamtafikia ndoto zenu abadani Hata hapa CCM inalindwa na wanaokula kupitia mfumo mbovu iliojitengenezea na wengine kulipwa kwa kazi ya...
  14. N'yadikwa

    Ajali ya Mwendokasi Dar es salaam kule Posta inatukumbusha umuhimu wa Kamera za Mitaani kwenye Majiji

    bila ile video fupi ya CCTV tusingejua kitu na ukubwa wa ajali. Ni wakaty sasa WIZARA YA MAMBO YA NDANI kwa kushirikiana na Wizara nyingine mkafikiria kuweka Kamera kwenye maeneo yote muhimu mijini ili zisaidie kunasa matukio hasa ya madereva wazembe. Tuna upungufu wa Trafiki Polisi lakini...
  15. Mr Dudumizi

    Nani aliyemshauri Rais Samia jambo hili ambalo limeleta mateso na aibu kubwa mitaani na mitandaoni?

    Habari zenu wana JF wenzangu. Leo sina mengi zaidi ya kutafuta jibu la swali langu hapo juu. Maana ukiliangalia suala hili kupitia baadhi ya waathirika wenyewe unaweza kuliona dogo, lakini kiuhalisia ni kubwa na lina madhara mabaya ya kimwili na kiakili. Fikiria watu walikuwa wanapiga kelele...
  16. YB Renny

    Suala la ukusanyaji taka mitaani, majumbani na maeneo ya hadhara

    Ningependa kujua suala la ukusanyaji wa taka katika mitaa, majumbani...tangu nimerudi kutoka nchi za wenzetu... sijawahi kuona gari la taka likipita...au utaratibu wa hii nchi ukoje ... maana naona ni tofauti sana..
  17. NetMaster

    Vijana hasa wanachuo mnaoingia mitaani, hizi ndio mishe za uhakika na rahisi kujifunza kupata hela ya kujitunza, achaneni na visivyo na uhakika

    N:B.. fikiria kwanza kupata hela ya kujitunza kuweza kusurvive mtaani kabla ya kufikiria luxury needs, ni pesa inayoweza kukutoa hata hapo nyumbani kwenu kama unataka kuondoka Huwa naona kuna vijana wanashauriana kupiga mishe sijui za mtandaoni na upatu, hizo mishe huwa hazina uhakika japo wapo...
  18. chiembe

    Ili kuongeza wigo wa Kodi, kila duka na, au biashara za mitaani, wanapopewa leseni, lazima wawe na lipa namba

    Unapodai maendeleo, jiulize kama unalipa Kodi, nashauri Kila biashara ambayo haitumii EFD receipt, Sasa zilazimishwe kuwa na LIPA NAMBA. Mfanyabiashara, kama anafanya biashara Kila siku, hajatoa taarifa kwa mamlaka kwamba ameifunga, angalau kwa wiki au mwezi aonekane kuitumia, na namba hiyo iwe...
  19. L

    Rais Samia ameiheshimisha CCM mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama Samia Ameiheshimisha Sana CCM Mitaani, CCM kinaonekana ni chama Cha Amani, maridhiano, haki, kizalendo na kinachopigania maslahi ya Taifa na ustawi wa Watanzania, mwana CCM ukiwa katikati ya kundi na...
  20. L

    Chini ya uongozi wa Rais Samia viwango vya furaha kwa Watanzania vyaongezeka mitaani

    Ndugu zangu watanzania, Maisha Ni pamoja na kuwa na furaha Moyoni,Ni pamoja na kufurahia uwepo wako Duniani,Ni pamoja na kufurahia aina ya maisha unayoishi,Ni pamoja na kufurahia aina ya uongozi uliopo madarakani kwa namna unavyogusa maisha yako ya kila siku. Serikali na uongozi uliopo hasa...
Back
Top Bottom