mitambo

Faith Mohamed Mitambo (born 29 September 1959) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Liwale constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Tunakodisha Mashine na Mitambo mbalimbali kwa bei nafuu

    Tunakodisha mashine na mitambo mbalimbali kwa bei nafuu. Mashine zetu zinapatikana kwa muda wa masaa 8 tu. Pia, tunatoa huduma za lowbed. Bei zetu ni kama ifuatavyo: Wasiliana nasi: 0694185384 0623593536
  2. Eli Cohen

    Hii ya fisi 17 wenye chapa kuuliwa sio bure kuna sehemu na namna mitambo ilitingishwa.

    Either kikundi chao walifanyiana civil war wenyewe Or walikuwa hacked/infiltrated/disrupted na adui yao alietaka kuwa expose. Sio kirahisi rahisi hivyo mashine zao kupigwa chini maana hawa jamaa wamefanya hii kazi vizazi na vizazi bila ya kuwa exposed kirahisi rahisi hivi. Inakuwaje mtu...
  3. Mindyou

    TANESCO watoa ratiba ya umeme wakati wa maboresho ya mitambo kuanzia Februari 22, 2025

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke limewatangazia wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho katika kituo cha kupokea, kupoza, na kusambaza umeme cha msongo wa Kilovolti 220 kilichopo Ubungo, jijini Dar es Salaam. Kutokana na kazi hiyo, huduma ya umeme itakosekana kwa nyakati...
  4. themachinetz

    Naomba Kazi,uundaji wa mitambo na mashine hizi

    Elimu:Elimu ya juu(A - LEVEL) Ujuzi: VETA na SIDO. Makazi: Dar Naweza fanya Kazi: Popote Ujuzi wangu wa miaka zaidi ya minne(4) unajumuisha: *Uundaji wa mashine za kutotoreshea vifaranga wa ndege (Incubators) *Uundaji wa mashine za kukausha mazao na samaki *Uundaji wa mashine za kugandisha...
  5. Mr Why

    Mitambo ya kuzuia vurugu za uchaguzi wa Rais mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya

    Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni...
  6. The Assassin

    Trump: Kwenye serikali yangu hatuhitaji umeme wa upepo, ni umeme ghali sana. Hatutashiriki hata mara moja kujenga mitambo ya umeme wa upepo.

    Rais mteule wa Marekani ameonya kwamba kwenye serikali hakutakua na muendelezo wa ujenzi wa umeme wa upepo. Trump anasema umeme wa upepo ni umeme ghali sana. Ni umeme unaotegemea ruzuku, bila ruzuku hakuna mtu anaweza kumudu kununua umeme wa upepo. Trump anauliza ni nishati ya namna gani hiyo...
  7. U

    Jeshi la Israel Iajiandaa kushambulia mitambo ya kuzalisha silaha za nyuklia ya Iran, ni fursa muhimu kufuatia kuangushwa utawala wa Asad wa Syria

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa maandalizi yanaendelea kukamilisha malengo makuu Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Usiku mwema inshallah IAF continues preparations for potential strikes in Iran IDF sees chance for strikes on Iran nuke sites after knocking out Syria air defenses...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mitambo ya Rais Samia Yarejesha Bwawa lililopotea Handeni

    MITAMBO YA RAIS SAMIA YAREJESHA BWAWA LILILOPOTEA HANDENI Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bwawa la Maji Kwenkambala lililopo Kata ya Kwediyamba, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga ambao awali ulikumbana na changamoto kadhaa ikiwamo rushwa na kusimamishwa kwa...
  9. jingalao

    Newton's First law of Motion inakataa kutumia mitambo kufukua kifusi Ajali ya Kariakoo

    Newton First law of Motion..... An object at rest remains at rest, and an object in motion remains in motion at constant speed and in a straight line unless acted on by an unbalanced force!! kwa kukufafanulia kwa muktadha wa kwa nini grader halitakiwi sasa.... #kitu chochote kilichotulia...
  10. profesawaaganojipya

    Fundi umeme wa mitambo viwandani, induction furnaces,overhead na cranesetc

    Mimi ni fundi wa umeme wa mitambo mbalimbali ya viwandani na majumbani,kama matanuru ya umeme ya kuyeyushia vyuma,kama ya viwanda vya nondo(INDUCTION FURNACES),OVERHEAD CRANES,MAMBO YA UYEYUSHAJI CHUMA(FOUNDRY) NK,NAFANYA PART TIME,SIYO KUAJIRIWA,,NIPO DAR.
  11. py thon

    Mitambo ya THAAD ishaanza kufanya kazi Israel ,huku Hezbollah wakisema wataanza kushambulia kwa makombola ya kisasa zaidi

    leo ndio mtambo wa ulinzi wa anga wa THAAD unaanza kufanya kazi Israel. Huku kundi la Hezbollah wakijibu kauli ya msemaji wa Idf aliyesema watashambulia benki na mali zinazohusiana na Hezbollah,, Kundi la Hezbollah wamesema watarusha makombola ambayo hawajaanza kuyatumia Tel Aviv huku...
  12. G

    Makombora ya Iran yametua Israel bila kipingamizi cha mitambo ya Iron Dome. Je, Israel imefanya makusudi ili ipate backup nzito ya Kuitindua Iran?

    Iran Imerusha makombora mengi yaliyoweza kufikia israel bila kizuizi cha Iron Doma kala ilivyozoeleks, Hakuna watu waliopata maafa kwasababu walijificha kwenye kumbi maalum za kujikinga na mabomu. - Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani...
  13. DodomaTZ

    Kampuni ya kuzalisha vioo Tanzania yawasha mitambo, itatumia malighafi za Nchini kwa 80%

    Kampuni ya KEDA (T) Ceramics Co. Ltd imefanya uzinduzi wa awali wa kuwasha mitambo ya kiwanda hicho kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani, leo Agosti 19, 2024. Uzinduzi huo umefanywa na baadhi ya viongozi wa Kampuni pamoja wa Wafanyakazi wao wakiongozwa na Mkurugenzi wa Ceramics Co. Ltd, Wayne Zhong...
  14. Roving Journalist

    Ukosefu wa mitambo ya uchakataji Mkonge yatajwa kuwa ni chagamoto kubwa kwa wakulima

    Changamoto ya uhaba wa mashine za kuchakata Mkonge (korona) inayowakabili wakulima katika maeneo yao inatarajiwa kuwa historia hatua itakayochochea ongezeko la uzalishaji wa zao hilo. Hatua hiyo imetokana na ziara ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), ambao...
  15. Webabu

    Roketi za Hizbullah zatajwa kuilemaza mitambo ya kujilinda ya Israel, ndio maana zimepenya na kupiga maeneo ya Israel

    Wakati vita vikali baina ya jeshi la Israel na majeshi washirika wa Iran vikikaribia,imetajwa kuwa mashambulizi ya mara kwa mara ya Hizbullah kuzilenga rada na vituo vya ulinzi wa anga vya Israel kumeleta athari kubwa kwa Israel kujilinda kutokana na maroketi yanayorushwa na kundi hilo kutoka...
  16. JanguKamaJangu

    Polisi wajengewa uwezo katika ukaguzi wa mitambo mizito, wasema wako tayari kwa ukaguzi wa mitambo hiyo

    Chuo cha Mitambo mizito (IHET) kimeendelea kutoa mafunzo kwa askari wa Jeshi la Polisi ambapo awamu hii kimeweza kutoa mafunzo na kuwataini askari ambao wamejengewa uwezo wa ukaguzi wa mitambo mizito huku washiriki wakibanisha kuwa utaalam huo walioupata unakwenda kuongeza ufanisi katika ukaguzi...
  17. Sir John Roberts

    Israel yalalamika Hezbollah kupokea Mitambo ya ulinzi wa Anga (Air defense) kutoka Iran

    Katika hali ya kishangaza sana na kuuchekesha Ulimwengu taifa la mchongo Israeli leo limetoa taarifa kuwa wanamgambo wa Hezbollah kutoka nchi ya Lebanon 🇱🇧 wamepokea mitambo ya ulinzi wa anga kutoka Iran ( hii ni kweli ). Na kuelezea masikitiko yao kuwa dunia ipige kelele kitendo hicho...
  18. chakii

    Serikali msizime mitambo ya kuzalisha umeme

    Nimemsikia Waziri wa Nishati Bw. Biteko akisema Serikali imelazimika kuzima mitambo ya kuzalisha umeme kwenye bwawa la Mwl Nyerere kwa kuwa matumizi ya umeme nchini ni madogo kuliko uzalishaji. Nataka nimwambie Waziri Biteko kauli yake ya kuwa matumizi ni madogo SIYO KWELI bali ni kwamba UNIT...
  19. 2 of Amerikaz most wanted

    Umeme ulianza kutumika Tanzania mwaka 1908 walishindwa vipi kuboresha mitambo madhubuti miaka yote hiyo?

    Years African Countries Started Using Electricity⚡ South Africa 🇿🇦 - 1860 Kenya 🇰🇪 - 1875 Egypt 🇪🇬 - 1893 Nigeria 🇳🇬 - 1896 Zimbabwe 🇿🇼 - 1897 Ethiopia 🇪🇹 - 1898 Mauritius 🇲🇺 - 1899 Tunisia 🇹🇳 - 1902 Zambia 🇿🇲 - 1906 Uganda 🇺🇬 - 1906 Tanzania 🇹🇿 - 1908 Morocco 🇲🇦 - 1914 Ghana 🇬🇭 -...
  20. tpaul

    Mchungaji awashauri wachumba kutest mitambo kabla ya kuoana; adai yeye alitest ya kwake

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ambayo ni kinyume na mafundisho ya kidini (kiislamu na kikristo), mchungaji mmoja wa kike amewashauri wachumba kutestiana mitambo kabla ya kuingia kwenye ndoa. Mshauri huyo wa ndoa alitokea kutoa mwanga zaidi kuhusu ni kwa nini kutalikiana kumekuwa jambo la...
Back
Top Bottom