mitambo

Faith Mohamed Mitambo (born 29 September 1959) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Liwale constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Replica

    Rufiji Kumenoga: TAZARA yanunua behewa la tani 200 kubebea mitambo bwawa la Mwalimu Nyerere isiyobebeka kwa barabara

    TAZARA imesema imenunua behewa lenye uwezo wa kubeba tani 200 litakalotumika kubeba mizigo ya bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere iliyozidi uzito au upana wake unazidi kiwango cha upana unaopaswa kusafirishwa kwa barabara. Msemaji wa TAZARA amesema behewa hilo limenunuliwa kwa dola za kimarekani...
  2. Roving Journalist

    TANESCO yaelezea undani wa tatizo la umeme wa mgao, yataja uhaba wa maji na matengezo ya mitambo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Maharage Chande amezungumia kinachoendelea kuhusu mgao wa umeme Nchini akitaja sababu na mipango yao ya wanachokifanya ili kukabiliana na changamoto zinazojitokeza. Amesema kuna upungufu wa Megawats 300 hadi 350 kwa siku kutokana na...
  3. Dr Akili

    Huko Nyakato Mwanza tuliambiwa kuna mitambo ya kuzalisha MW 80 kwa kutumia dizeli. Kwanini sasa isiwashwe kwenye kipindi hiki cha uhaba?

    Nadhani ni kwenye awamu ya nne ya JK, mitambo ya kuzalisha MW 80 ilisimikwa huko Nyakato Mwanza ya kutumia mafuta ya dizeli kwa gharama ya mabilioni mengi ya pesa. Mahitaji ya umeme ya jiji la Mwanza hayazidi MW 3, hivyo MW hizo 80 zinatosha kwa matumizi ya kanda yote ya Ziwa Victoria ie mikoa...
  4. Roving Journalist

    Rais Samia akizindua mradi wa maji Kigamboni na kugawa mitambo ya Kuchimbia visima, Leo Novemba 11, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji Kigamboni na kugawa mitambo ya Kuchimbia visima, Leo Novemba 11, 2022 ===== Mradi wa maji wa Kigamboni umezinduliwa rasmi na Rais Samia, Rais amejafungua maji na yanatoka kwa wingi. Rais amekata utepe na...
  5. NetMaster

    Kituko: Binti asie na bikra ya kumpa thamani kiroho na kimwili anatoa wapi ujasiri wa kumkatalia mwanaume asijaribu mitambo mpaka waoane?

    Unakutana na binti hata kina single mama hana bikra kashatembea na na wanaume kadhaa ila ajabu ni kwamba anaanza kujiona kwamba yupo sawa na wenye bikra, anamwambia mwanaume hawezi kutoa mzigo mpaka amuoe !!
  6. J

    Aweso aingiza mitambo Dar, aelekeza visima vya dharura kuchimbwa

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso Leo tarehe amefika ofisi za RUWASA sehemu ya uchimbaji visima na ujenzi wa mabwawa (DDCA) na kutoa maelekezo mahususi kwa Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Bonde la Wami/Ruvu kuainisha maeneo yenye uwezekano wa kupata maji chini ya ardhi na visima vya dharura...
  7. B

    Wizara ya Elimu kutegua kitendawili kizito cha Wahandisi mitambo

    Kongamano la saba la kimataifa linaloendelea katika chuo kikuu cha Dar es Salaam UDSM ili wanya0yofundishwa yaendane na yale ya uhalisia wataj0ayokutana nayo katika ulimwengu wa nje ya vyuo yaani kule wanapokwenda kuajiriwa au kujiajiri. Marekebisho ya mitaala ya elimu katika vyuo vikuu...
  8. N

    Serikali inaendelea kuboresha Bandari ya Mtwara

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) mkoani Mtwara imepokea meli mbili zilizoshusha mtambo wa kupakulia mizigo mizito bandarini. Mitambo hiyo inauwezo wa kwenda chini ndani ya maji kwa zaidi ya mita 45, meli zilizoleta mitambo hiyo zimetoka Ireland na Dubai (UAE) Mtambo huo utasaidia kuongeza kasi...
  9. MSAGA SUMU

    TANESCO yaahirisha zoezi la uzimaji wa mfumo wa mitambo ya LUKU kwa siku 4

    Baada ya masaa machache kutangaza wamekuja na hii tena. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) laahirisha zoezi la kuzima mfumo wa ununuzi wa umeme wa LUKU kama ilivyobainisha saa chache zilizopita. TANESCO wanaeleza kuwa watatoa taarifa pindi zoezi hili likitaka kutekelezwa kwa wakati mwingine...
  10. msomi kutoka znz

    INAUZWA Mitambo ya ujenzi inauzwa

    Habari, Husika na kichwa cha habari, Mitambo ya ujenzi kama excavators, faw tippers, wheelloaders, weighbridge, drill machine etc inauzwa. ipo Lugoba Tanzania. Bei ipo kwenye picha 0658007766 karibu
  11. S

    Ujerumani yaipigia magoti Canada irejeshe injini (ipo kwenye vikwazo) ya mitambo ya gesi ya Urusi Ujerumani, ili kuiokoa Ujerumani na uhaba wa gesi

    EU+NATO washindwa tena ktk kutekeleza vikwazo walivyokubaliana na kuviweka wao wenyewe juu ya kuminya matumizi ya gesi ya Urusi ili kuipunguzia Urusi pesa ipatazo toka kwenye biashara hiyo. Mabeberu waliweka vikwazo ktk vipuri vya miundombinu ya gesi. Ujerumani ilipeleka injini fulani Canada...
  12. Kibosho1

    Kama tutakodi mitambo ya kuzalisha umeme kwa kisingizio cha ukame basi itabidi kila mtu ajipigie tu

    Naona mgao wa umeme kwa sasa ni rasmi japo hakuna tangazo la TANESCO. Tulikaa miaka zaidi ya mi5 bila kusikia mgao,na ndani ya muda huo wananchi hasa wa vijijini kufungiwa umeme kwa bei chee kabisa. Ila sasa toka ameingia ndugu yetu JM kelele zimekuwa nyingi na visingizio ambavyo kwa kweli...
  13. scatter

    Scheduled maintanance ya mitambo ipoje ?

    Wiki iliyopita kupitia kiongozi mmoja wa kiserikali ailiupatia ujumbeUmma kwamba kuna ukarabati wa mitambo mbali mbali katika shirika la TANESCO ukarabati huu upoje?
  14. Ngungenge

    Sasa Wizara ya Nishati washeni mitambo ya mafuta

    Sasa ni dhahiri Wizara ya Nishati washeni mitambo ya mafuta wakati mnajipanga na umeme wa maji. Wakati huo fanyeni kuharakisha kuongeza uzalishaji wa Gesi ili tupate umeme wa bei nafuu. Wizara ya mazingira andaeni strategic plan ya kupanda miti ya kutosha ili tupate maji. Maeneo ya mabonde...
  15. Replica

    Rais Samia akiri kuwepo upungufu wa umeme, Makamba alisema ni 'scheduled maintainance'

    Rais Samia akiwa mkoani Mwanza amesema anatambua uwepo wa upungufu wa umeme ikimaanisha vyanzo vilivyopo havikidhi mahitaji yaliyopo. Waziri wetu wa nishati aliliongelea suala la kukatikatika kwa umeme chanzo chake ni marekebisho ya mfumo wa zamani. Tunaandaliwa kwa umeme wa dharura?
  16. U

    Mitambo ya umeme wa Mafuta ikiwemo IPTL kuwashwa

    Magufuli alizima mitambo, Sasa mabwawa yamepungua maji, hivyo italazimika mitambo ya kufua umeme wa Bei ghali ya mafuta mazito kuwashwa rasmi, ili kunusuru mgao huu mkali wa umeme
  17. Analogia Malenga

    Mama mdogo wa kutesti mitambo yuko wapi wadau?

    Imepita muda sijamsikia mama wa kutesti mitambo, mkumbusheni arudi kwenye game, tusije tukamsahau aisee Wasalaam!
  18. Chakwale

    Rais Samia ongeza magari/mitambo ya kuchimbia visima

    Katika pesa zilizotolewa na Rais Samia ktk miradi mbalimbali Nchini ikiwemo ya Elimu, Afya, Miundombinu nk kupitia IMF naunga mkono zaidi mradi wa Uchimbaji Visima. Kuna pesa imetengwa kwa ajili ya ununuzi wa gari za Uchimbaji Visima ila idadi yake iliyotolewa ni ndogo ukilinganisha na mahitaji...
  19. beth

    Mitambo ya kufua oksijeni kusimikwa katika Halmashauri 5

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema Serikali itasimika mitambo mitano ya kufua Oksijeni katika Halmashauri za Karatu, Mlele, Bunda, Masasi na Nyasa ambapo kila moja itapata Milioni 600 Akizungumza leo akiwa Dodoma ameeleza, "Wataalamu wameangalia maeneo yenye mlipuko wa magonjwa ya mara...
  20. kidadari

    Scratch kwenye Wasafi Tv ni swaga au ubovu wa mitambo

    Nimekua nafuatilia Wasafi Tv kunakuwepo na scratching kwenye picha kitu ambacho sio kizur kwa watazamaji. Cha ajabu sioni kama jambo linalochukuliwa kwa uzito na Wasafi media. Mpaka najiuliza lile ni tatizo la kiufundi au swagga tuu?
Back
Top Bottom