Madibira AMCOS inahitaji mitambo ya ujenzi wa bara bara. Mitambo hiyo ni excavator, tipa, boza, rola(sindilia) na greda.
Mkodishaji awe na uwezo Wa kutoa risit za EFD na awe na leseni ya biashara.
Kwa kampuni, taasisi au mtu binafsi anaemiliki mitambo ya kukodisha aandike barua na kuituma...
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti'
Ametoa kauli hiyo leo jijini Mwanza alipokagua jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sekou Toure.
Amesema...
Moto mkubwa umeunguza na kuteketeza kituo kikubwa kabisa chenye mitambo maalumu ya kupokea, kupoza na kusambaza Umeme kuelekea Mikoa ya Morogoro, Dar es salaam, Tanga na Kilimanjaro
Moto huo bado haujazimika hadi sasa na juhudi za kuuzima zinaendelea
Hadi sasa chanzo cha moto huo hakijulikani...
Habari Wakuu,
Nina uhitaji wa Fundi mzuri na mwenye uzoefu anayezijulia Hydraulic based machines hasa upande wa Transmission na Engine kwa Grader, Excavator, Compactor n.k
🙏🏽🙏🏽
Naomba msaada wenu nijiandae na maswali gani,nimeitwa kwa mara ya kwanza na UTUMISHI,ni post ya MHANDISI MITAMBO DARAJA LA II (MECHANICAL ENGINEER) TEMESA
Msaada wenu nipitie wapi
job description yao ni hii
i. Kufanya kazi chini ya uangalizi wa mhandisi aliyesajiliwa na mwili wa usajili wa...
Serikali imesimika mitambo ya kufua hewa tiba (oksijeni) katika hospitali za rufaa za mikoa saba Tanzania.
Kusimikwa kwa mitambo hiyo kunajibu changamoto za wataalamu wa afya ili kuwahudumia kwa ufanisi wagonjwa wa dharura na kupunguza gharama za uendeshaji wa hospitali hizo na kuwezesha...
Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, akiwa mkoani Njombe, ameahidi kuwa, Serikali inatafajia kuzima mitambo yote ya TANESCO, inayotumia mafuta mazito baada ya kukamilika kwa Mradi wa Stiegler's Gorge ifikapo mwaka 2020.
Dk. Kalemani alieleza kuwa, umeme wa mafuta mazito ni wa gharama kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.