mitandao ya kijamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. felakuti

    Vijana wa kileo acheni kuweka weka picha na video zenu mitandaoni, usije ukapatwa kama yaliyompata huyu binti

    Utangulizi Vijana wa kileo wanaita utandawazi...kwa kijana wa kileo aidha awe binti ama mwanaume, ukifungua simu yake, asilimia 98 kama hutakuta Wana apps hizi maarufu za kujianika mitandaoni kama Facebook, TikTok, Snapchat, na apps zingine za kutafuta wapenzi mitandaoni, humo wenyewe ni...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Wanawake huwa mnajisikiaje ku-Edit picha zenu kisha kuzituma kwenye mitandao ya kijamii hali ukijua siyo halisi?

    Kwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!! Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie. Picha nyingi zimejaa filter editing za kutosha kiasi kwamba mtu anageuka kuwa mrembo wakati siyo. Jambo...
  3. S

    Kwanini contents nyingi katika Mitandao ya kijamii ni ya kuhamasisha ngono?

    Katika Videos kumi utaka-zoplay either FACEBOOK, INSTAGRAM e.t.c, Saba katika videos hizo ni za kuhamasisha ngono. Je, Ni kuwa watu wamewekeza sana katika ngono. Karibuni tujadili hili Wanajamiiforums wenzangu.
  4. Davidmmarista

    Dalili za Mtu Mwenye IQ Ndogo Kwenye Mitandao ya Kijamii na Jamii kwa Ujumla – Je, Utamjuaje?

    Habari wadau wa JamiiForums, Katika dunia ya sasa, tunakutana na aina nyingi za watu kwenye mitandao ya kijamii na jamii kwa ujumla. Wengine ni wasomi, wengine wamepitia changamoto mbalimbali za maisha, lakini cha kushangaza ni kwamba hata mtu aliyesoma anaweza kuonyesha dalili za IQ ndogo...
  5. Stephano Mgendanyi

    Tauhida Gallos: Vijana Tumieni Vizuri Mitandao ya Kijamii Kujiingizia Kipato

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo akiwa Wilaya ya Magharibi A tarehe 06 Machi, 2025 amewataka Wazazi na Walezi kuwashajihisha Vijana wao kutumia vizuri mitandao ya kijamii ili kujipatia kipato. Mbunge Tauhida Gallos Ameyasema hayo mara baada ya kukabidhi...
  6. Chris Lukosi

    Itumie mitandao ya kijamii vizuri iwe ajira kwako

    Ndugu zanguni Ni muda sasa sijapost humu kwani nimekua bize sana na kazi Nimekua nikiona na kusikia vijana wakilalamika sana kuhusu ajira. Napenda kuwajuza tu kua moja ya ajira ambazo huhitaji kutuma maombi wala elimu ni kuitumia mitandao ya kijamii kama ajira Mimi nadhani wengi mnanifahamu...
  7. chizcom

    Mitandao ya kijamii (social network) kwa dunia ya sasa inalipa watu kwa maudhui ya wateja kwa nini jamiiforum wasiingie.

    Ili kupata watumiaji wengi mitandao ya kijamii imekuwa ikivutia watu wengi kwa malipo ya maudhui na idadi ya wafuasi waliopo kwenye maudhui. Kutokana na sisi kulala na yeye jamiiforum kuzidi kuchuma kwetu maudhui bila malipo kutungwe sheria ili kulipwa kwa wanaotoa maudhui. Yeye anafaidika na...
  8. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Unadhani kwanini vijana wengi wanasiasa, hususan wa CHADEMA, hukosa ujasiri kujitambulisha field kuliko kwenye mitandao ya kijamii?

    Je, huwa wanajua na wanafahamu kabisa kwamba hawaaminiki, hawaelewekagi wala hawakubaliki mbele ya wananchi? Nini kifanyike kuondoa unyonge huo wa wanachama wa chadema hasa wakiwa mitaani bila viongozi wao? Na kipi hupelekea vijana hao kupata mihemko na makasiriko ya kiwango cha kurusha ngumi...
  9. Dalton elijah

    Je, ni sahihi kwa wamiliki wa Night Club kurusha picha au video za wateja wao kwenye Mitandao ya Kijamii?

    Kwa Miaka Ya Hivi Karibuni Kumeibuka Wimbi Kubwa La Wamiliki kuchapisha Picha Au Video Za Wateja Wao Katika Mitandao ya Kijamii Hali Ambayo Kwa Namna Moja Sio Nzuri Kwa Baadhi Ya Wateja. Unaweza Kwenda Kwenye Baadhi ya Kumbi za Starehe Kipindi Ukipata Kinywaji Iadara Ya masoko Na Habari Wao...
  10. Mindyou

    Wanasiasa na Wakurugenzi hamtumii mitandao ya kijamii ndo maana Gen Z wanaishia kuwaona kina Gigi Money na Baba Levo kama Role Models wao

    Wakuu, Juzi umeme ulikuwa umekatika kwangu, ikabidi niende kwa jirani yangu kupoteza muda kidogo nikisubiri umeme urudi. Jirani yangu (anaelekea utu uzima) ana watoto 3. Mmoja yuko nursery na hao wengine wawili wapo shule ya msingi. Wakati nimekaa pale nikawa napiga story mbili tatu na wale...
  11. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama asemewe awaagiza Wanavyuo Kutumia Mitandao ya Kijamii Kueleza Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita"

    Mwenyekiti wa Kampeni ya *Mama Asemewe, Ndugu Geofrey Kiliba, amewataka wanavyuo kote nchini kutumia mitandao ya kijamii na elimu zao kueleza mafanikio makubwa ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Soma Pia: Pre GE2025 - Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya...
  12. Kabende Msakila

    Kufanya kura za maoni mtandaoni kwa kulinganisha wanaosemwa kugombea URAIS nchini Tanzania ni makosa?

    Team; Salaam! Sheria ya mitandao ya kijamii na Sheria zingine zinasemaje kuhusu kura za maoni kwa wamaotajwa kugombea URAIS mwaka 2025? Kama itakuwa kitu kinachoruhusiwa kufanyika basi ningeomba Hashim Rungwe Spunda; Zitto Zuberi Kabwe Tundu Antipas Lissu Dkt Samia Suluhu Hassan Ibrahim...
  13. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Mtwara: Vijana watakiwa kutumia vizuri mitandao ya kijamii kwa manufaa ya CCM

    Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaenda kutimiza miaka 48 tangu kuanzishwa kwake vijana wameshauriwa kutumia kwa faida mitandao ya kijamii ili iwanufaishe kwenye shughuli zao na shughuli za kichama. Soma Pia: Mtwara: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Akizungumza kwenye hafla...
  14. Fredrick Nwaka

    Uzingativu wa jinsia: Mfumo dume bado kikwazo katika mitandao ya kijamii

    UZINGATIVU WA JINSIA: MFUMO DUME BADO KIKWAZO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII Utamaduni wa mfumo dume katika jamii umeelezwa ni mojawapo ya sababu za kutozingatia uandishi wa masuala ya kijinsia katika kuripoti habari wakati huu ambao idadi kubwa ya vijana nchini Tanzania wakitumia mitandao ya...
  15. Mindyou

    Kama unajiuliza kwanini polisi wamekataza Press ya Mnyika, tazama hapa jinsi Uchaguzi wa CHADEMA ulivyoteka mitandao ya kijamii

    Wakuu, Binafsi nawaelewa CCM kwanini wamekataza Press ya Mnyika na wakaenda kuweka polisi mbele ya jengo la CHADEMA ili kuzuia hiyo Press kufanyika. Whoever made that decision anaelewa ni kiasi gani CHADEMA wana nguvu kwenye mitandao ya kijamii. Kama hiyo press itafanyika, hakuna mtu...
  16. Harvey Specter

    Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii nchini

    Serikali ya Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii ikiwamo Facebook na Tiktok nchini humo kwa muda wa hadi miezi mitatu, huku ikitegemea udhibiti wa maudhui. Agizo hilo limetolewa na Mamlaka ya Kitaifa ya Mawasiliano ya Sudan Kusini (NCA) Jumatano Januari 22...
  17. Dalton elijah

    Sudan Kusini Yapiga Marufuku Matumizi Mitandao Ya Kijamii Kwa Miezi Mitatu

    Mamlaka ya Mawasiliano ya Sudan Kusini imepiga marufuku matumizi ya mitandao ya kijamii kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia Januari 22, 2025. Katazo hilo linafuatia kusambaa kwa picha za video zinazoonesha mateso na masumbuko ya wakimbizi wa Sudan Kusini walioko katika eneo la Wad Medani, nchi...
  18. X

    Ukweli ambao wengi hawaujui ni kuwa China haijawahi kuifungia mitandao ya kijamii ya Marekani, ila mitandao ya Marekani ilikimbia kutoa huduma China

    Baada ya hili sakata la TikTok nimekutana na wadau majukwaani wakidai China ndio wa kwanza kufungia mitandao ya kijamii ya Marekani. Kwa hiyo ni kama Marekani nao wameijibu China. Wengi hawajui kuhusu sheria za China inapohusu huduma zozote ambazo zitahitaji taarifa za watumiaji. Ikiwa unataka...
  19. Mindyou

    Kenya yatoa muongozo kutaka kampuni zote za mitandao ya kijamii kuwa na ofisi nchini humo

    Wizara ya Mambo ya Ndani nchini Kenya imeagiza mitandao yote ya kijamii nchi Kenya kuanzisha ofisi nchini humo. Wizara hiyo imedokeza kuwa ina lengo la kuhakikisha maudhui yanayosambazwa na kampuni hizo sio mabaya. "Kuongezeka kwa matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii, ikiwemo unyanyasaji...
  20. Aramun

    Elon Musk: Vyombo vya habari vimeshakufa, mitandao ya kijamii imechukua nafasi zao

    Hata mimi naungana na bwana Musk, binafsi inaenda miaka 2 sasa nimeshasahau kitu inaitwa redio, runinga kutizama ni mara moja moja sana, tena siyo taarifa ya habari, natazama vipindi vingine kama mpira, wildlife nk. Mainstream media za bongo zimejipangaje na hii transition inayoenda kutokea?
Back
Top Bottom