mitandao ya kijamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

    Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata. Kuna yeyote anapata tatizo kama langu? Natumia Mtandao wa Tigo PIA SOMA = >...
  2. G Sam

    Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM: Picha iliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii leo

    Hii picha imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakihoji juu ya uwepo wa glasi moja tu ya maji. Wengine wanapiga dua, Polepole yuko busy na simu
  3. J

    Dondoo za Usalama unapotumia Mitandao ya Kijamii

    Ndugu mwanaJamiiForums kila unachoweka mtandaoni ni uamuzi na uhuru wako lakini maamuzi ya watu wengine wafanye nini taarifa uliyoiweka hilo haliko kwenye mikono na uamuzi wako Chukua muda wako na ujifunze kuhusu dondoo za usalama uwapo kwenye mitandao ya kijamii. Pitia na urekebishe mipangilio...
  4. Cannabis

    Kwa yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, kama ukurasa huu ni wa Serikali basi ni aibu

    Wakuu, huku tukiwa tunaendelea na shamra shamra za Uchaguzi mkuu. Kuna ukurasa unaojiita Mawaziri & Manaibu Tz. Dhumuni ya ukurasa huo ni kuonesha taarifa na habari mbali mbali za manaibu waziri wote Tanzania. Ukurasa huu umejiunga na mtandao wa Twitter mwaka 2018 na umekuwa ukituhabarisha...
  5. U

    Lugha ya kiswahili na mitandao ya kijamii

    Nina hoja naleta kwenu tuijadili. Je, mitandao ya kijamii inasaidia kuboresha lugha yetu ya Kiswahili maana watumiaji ni wengi na vile vile wafuatiliaji wa hiyo mitandao ni wengi. Mifano hai ni katika siku za karibuni kumeibuka maneno mapya toka mitandao ambayo hapo kwenye matumizi ya...
  6. demigod

    Je, ni kuna ulazima wa kuwatoza kodi wananchi wanyonge watumiapo mitandao ya Kijamii?

    Tumepata kusikia ndugu Andrew Kisaka (Mkuu wa Kitengo cha Leseni za Mawasiliano TCRA) akibainisha kuwa kuna haja ya watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania waanze kutozwa kiwango fulani cha pesa ili Mamlaka ya TCRA iweze kugharamia huduma ya kudhibiti Maudhui yanayojadiliwa mitandaoni...
  7. M

    Uchaguzi 2020 Kwenye mitandao ya kijamii na mtaani, Membe hakubaliki

    Napenda kuwajulisha wapinzani wa kweli kuwa nimefanya utafiti wangu usio rasmi. Nimejaribu kupita Facebook, tweeter, Instagram na humu JF na kwenye vyombo vya usafiri nakugundua kwamba wananchi wengi walio upande wa upinzani hawakubaliani na ujio wa Membe. Hoja yao ya msingi ni kwamba Membe...
  8. Miss Zomboko

    Mgonjwa wa 1 wa Corona apanga kuishtaki Serikali akidai fidia kwa picha yake kuwekwa kwenye mitandao ya kijamii

    Osma Shariff, mtu wa kwanza kuthibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona (covid-19) nchini Kenya katika Kaunti ya Isiolo, amepanga kuiburuza Mahakamani Serikali ya Kaunti hiyo akiidai fidia ya Sh.25 milioni za Kenya. Shariff mwenye umri wa miaka 62, amesema kuwa alipata matatizo makubwa...
  9. Analogia Malenga

    Marekani yatarajia kuzuia mitandao ya kijamii ya China ikiwemo TikTok

    Mike Pompeo amesema Marekani inaangalia kuzuia matumizi ya Apps za wachina. Alisema wanachukulia swala hilo kwa uzito sana Wataalamu wa kidiplomasia wa nchi Marekani wamesema, watu wajue kuwa wanapopakua apps hizo wajue kuwa taarifa zao binafsi zitaenda kwa serikali za China Msemaji wa TikTok...
  10. mkiluvya

    Trump asaini sheria inayolenga Kuibana Mitandao Ya Kijamii Ikiwemo Twitter, Facebook na Youtube

    Rais Donald Trump wa Marekani jana Alhamisi alisaini Amri ya Utendaji (Executive Order on Preventing Online Censorship) inayolenga kuongeza uwezo wa serikali kusimamia na kuibana mitandao ya kijamii. Amri hiyo inalenga kampuni zilizopewa ulinzi wa kisheria kupitia kifungu cha 230 cha Sheria ya...
  11. Analogia Malenga

    Marekani: Trump atishia kufunga mitandao ya kijamii nchini Marekani

    Donald Trump anatarajia leo Alhamisi kutia saini kwenye agizo linalolenga mitandao ya kijamii, maafisa wa Ikulu ya White House wamesema, saa chahe baada ya rais huyo kutishia kudhibiti au kufunga makampuni ya mitandao yote ya kijamii, akiyatuhumu kujaribu kuzuia uhuru wa kujieleza. Wawakilishi...
  12. youzam

    Namna ya kubadili wafuasi (followers) wako kwenye mitandao ya kijamii kuwa wateja

    Mitandao ya kijamii ni muhimu sana katika kukuza biashara mbalimbali. Kuna njia nyingi za kufanya promosheni ya bidhaa au huduma zako, na miongoni mwa hizo ni matangazo ya kulipia. Lakini unaweza pia kupata wateja wengi kama ukitambua ni namna gani ubadili wafuasi (followers) wako kuwa wateja...
  13. F

    Msemo mpya kabisa waibuka kwenye mitandao ya kijamii unaujua?

    Ukisoma mitandao mingi ya kijamii watu siku hizi wana kamsemo ka kumalizia hoja zao. Utakuta mtu anatiririka hoja zake wee mwisho anafunga kwa; Tulikosea mahali 2015. Wanamaanisha nini?
  14. britanicca

    Je ni sahihi kumpangia Mpenzi wako aina ya mavazi ya kuvaa na ambayo hapaswi kuyavaa? Ama kumwambia kufuta aina ya picha kwenye mitandao ya kijamii?

    Kina wapenzi we ng I alba iwekeana ma's hart kasha was kadha Ikiwa mpenzi wako anavaaa mavazi yasiyo mpendeza Mungu, yanayochora maumbile yake ni sahihi kumwambia afute picha alizopiga akiwa na nguo hizo? Na ni sahihi kumkataza demu wako baadhi ya nguo kuzivaa?
  15. Nyendo

    'Likes na comments' kwenye mitandao ya kijamii imekuwa ni chanzo cha furaha au mfadhaiko kwa vijana wengi. Je, unalizungumziaje hili?

    Mitandao ya kijamii kwa sasa imekuwa sehemu ya maisha ya watu. Baadhi yao watumiaji hao wamepata uraibu wa hali ya juu kiasi ambacho bora akose chakula lakini awe na bando la kuingia kwenye mitandao ya kijamii (hawa ndio wazee wa stress sasa). Mitandao ya kijamii watu wamekuwa wakitumia...
  16. Azizi Mussa

    Utafiti kuhusu mitandao ya kijamii na demokrasia

    Salama wakuu, Wakuu wana JF, Tunafanya utafiti kuhusu Mchango wa mitandao ya kijamii kwenye demokrasia Tanzania. Lengo la utafiti huu ni kutafuta taarifa zitakazojibu maswali mbalimbali kuhusu uhusiano wa mitandao ya kijamii na demokrasia. Maswali yanayohitaji kupatiwa majibu ni pamoja na...
  17. Analogia Malenga

    Mitandao ya kijamii ilivyoshika uhai wa vyama vya siasa

    Ni dhahiri siasa za majukwaani kwa miaka minne iliyopita zilikuwa na changamoto kubwa lakini mitandao ya kijamii imeonekana msaada mkubwa katika kukuza uhai wa vyama vya siasa au mwanasiasa mmojammoja. Zimekuwapo juhudi za kuwashawishi watumiaji wa mitandao ili kupata wafuasi miongoni mwao, na...
  18. B

    Askofu Cheyo aonya matumizi ya mitandao ya kijamii

    Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi, Alinikisa Cheyo ameonya wale wote wanaotumia mitandao ya kijamii kuandika mambo machafu na kutukana wengine kuwa wanahatarisha amani ya nchi. Askofu Cheyo amesema hayo, Jumatano Desemba 25,2019 wakati akitoa salamu za Krismasi...
  19. beth

    Kanuni za kuikuza biashara ndogo ili iwe biashara kubwa

    Kila kitu kinachoanza kwa hatua ndogo kinatakiwa kukua katika ukubwa, hivyo unapoonzisha biashara ndogo basi fahamu namna ambavyo biashara hiyo itakuwa kubwa. Zifutazo ndizo kanuni za kuikuza biashara ndogo ili biashara kubwa Jitahidi pia kujua washindani wako wanafanya nini haswa wale ambao...
  20. Tulimumu

    DC wa Kisarawe apunguze show kwenye mitandao ya kijamii afanye kazi

    Ni kweli huyu DC wa Kisarawe ametokea kwenye urembo na fasheni. Sasa tatizo lililopo amesahau kuwa sasa amechange status. Yeye kazi anayofanya sasa hivi ni kupiga picha katika mitindo mbalimbali na kupost kwenye mitandao halafu watu waanze kucomment. Yaani ni DC anayeongoza kwa kupost picha...
Back
Top Bottom