Inawezekana kabisa siku ambayo ulifungua akaunti yako ya Facebook, Instagram au hata WhatsApp ulikuwa na lengo na kuchati na washikaji, ndugu na watu wengine wengi.
Hukufikiria kuhusu kutengeneza pesa, ulichokiona ni kwamba utakapokuwa na uhitaji wa kuwasiliana na washikaji, basi uwasiliane nao...