Amepost kwenye insta story yake
MWANAMUZIKI maarufu wa Hip Hop nchini na mbunge mstaafu wa Mikumi, Joseph Haule (Prof. Jay) aliruhusiwa kurejea nyumbani Juni 9, 2022 kutoka hospitali alikokuwa amelazwa baada ya kupatiwa matibabu kwa siku 127 na afya yake kuimarika.
Nadhani kila moja anajua kama dunia sasa imekuwa kijiji kwa kuunganishwa na simu . yani mitandao ya kijamii (social media).
Na sijui niseme uzuri au ubaya wa mambo humu kwenye mitandao ya kijamii kumekuwa na makundi ya watu wa aina mbalimbali . na makundi hayo yanazalishwa na kutoka na ulewa...
Kevin Anunda Mogaka, Francis Manyara Ogata, na Bravin Osano Ombongi wanadaiwa kuendesha akaunti 15 kwenye #WhatsApp na #Telegram, ambapo waliomba Kati ya Tsh. 48,000 - 672,317 kutoka kwa Wazazi kwa ahadi ya kuwatumia Karatasi zilizovuja za Mitihani Mbalimbali ya Taifa
Hadi kukamatwa kwao...
Kampuni za mtandaoni na wanaharakati 12 wameungana katika kesi wakidai Sheria hiyo inaminya uhuru na haki za matumizi ya mitandao na itatumika kuwanyamazisha wakosoaji wa Serikali.
Wanaoiunga mkono wanasema itasaidia kukomesha matumizi mabaya mtandaoni na kulinda haki ya faragha.
Adhabu za...
RAIS Jakaya Kikwete leo Oktoba 7, 2022 anaadhimisha miaka 72 tangu kuzaliwa kwake ni jambo la kheri na tunaungana na Watanzania wengine kumtakia kheri Mzee wetu wa Maisha Bora kwa Kila Mtanzania.
Sasa Swali linakuja Tarehe ya Kuzaliwa JK inajulikana ni kwa nini miaka yote hatujawahi kuona Promo...
NAMNA YANGA INAONGELEWA HUKO SUDAN🔥🔥🔥
Wafahamu kiufupi YOUNG AFRICANS @yangasc wapinzani wa AI Hilal Round ya kwanza CAFCL
Hawa ndio wafalme wa soka la Tanzania, ndiyo Klabu iliyobeba mataji mengi zaidi nchini humo (28) wakifatiwa na wapinzani wao ambao ni watani wao wa Jadi klabu ya Simba...
Habari ndugu mwana Jamii Forum, haswa wa Jukwaa la ‘Stories of Change’ ni matumaini yangu u mzima wa afya, karibu katika chapisho hili. Andiko hili litajikita katika kuelezea jinsi gani matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii yameweza kuleta athari pamoja na matokeo hasi katika jamii zetu, bila...
Afya ya akili na mitandao ya kijamii haiwezi kutengenishwa kwa karne ya 21, na ni jambo muhimu ambalo linapaswa kupewa uzito unaostahiki na watu na wataalamu wa afya ya akili.
Katika nchi zilizoendelea inaonesha vijana wengi wanaathitrika sana na idadi ya watu wanaowafuatilia katika mitandao...
MATUMIZI YA MITANDAO YA KIJAMII.
Mada kuu; je ipi matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii kwa vijana wa kitanzania (miaka 10 -45) hivi leo?
Maana halisi ya dhana kuu; mitandao ya kijamii ni nini? NI huduma ambapo watu huongea, au hujumuishwa pamoja na watu wengine aidha ndani ya nchi au...
"Kilimo ni moja kati ya sekta kwenye uchumi inayobeba sana maendeleo kwenye nchi yetu", ni kauli ambayo husikika ikisemwa na watu wengi hususani viongozi wa serikali. Ila kwangu mimi hapo mwanzo niliipinga hii kauli lakini baadaye nikaja kuelewa maana halisi ya hii kauli.
Nakumbuka mara baada...
MATUMIZI SAHIHI NA SALAMA YA MITANDAO YA KIJAMII
Mara nyingi tumekua tunatumia mitandao ya kijamii bila kujiuliza juu ya usalama wa taarifa zetu. Tumekuwa kama mateka katika mitandao hii ya kijamii kiasi cha kusahau kuwa kuna hali ambayo tunaruhusu taarifa zetu muhimu kuwafikia watu wasio...
Utambulisho
Habari Wana jamii Forum,kwa majina naitwa Lenny Godfrey mkazi wa wilaya ya kinondoni jijini Dar-Es-Salaam.Na pia Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu Cha Sayansi na Teknologia Cha mtakatifu Joseph Mbezi jijini Dar-Es-Salaam katika ngazi ya Uhandisi.
Kutokana na ukuaji wa Sayansi na...
Hii ni hatari sana. Ina maana kutoa maoni ni kosa? Ibara ya 18 ya katiba JMT inasema vipi?
TAMKO LA TRC
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano TRC, Jamila Mbarouk alipoulizwa kuhusu suala hilo amesema: “Kwa sasa sijapata taarifa rasmi ya suala hilo, nalifanyia kazi kisha nitatoa taarifa...
Ndugu msomaji wa makala hii, kwanza napenda kukukaribisha katika kuchanganua mawazo yetu kwa namna Moja ama nyingine Ili tu kujenga weredi na utashi wa maarifa yetu kupitia jamvi hili ambapo tunaketi na kujadili masuala ya msingi, yanayoweza kusaidia kuanzia mtu binafsi familia na hata maendeleo...
Mitandao ya kijamii ikiwemo jamii forums,twitter, linkedin, instagram, facebook n.k vimekuwa nyenzo mhimu katika kutoa habari za ki-eliumu, mazingira, afya, uchumi, kilimo, biashara, jamii, tamaduni, siasa na michezo.
hivyo hutoa nafasi ya kufuatilia mafunzo maalumu na kumuwezesha mfuatiliaji...
Nimetranslate kama ilivyo, kama itakua wrong mtanisahihisha.
Msichana mdogo kutoka "State of Tiarat" Ya Algeria huvutia watu kupitia mitandao ya kijamii, kwa sababu ya uzuri wa sifa zake za kipekee, macho yanayong'aa na nywele zake ndefu nyeupe nyeupe, kana kwamba ni mhusika wa hadithi za...
MITANDAO YA KIJAMII NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA:
Kwa majina naitwa MTANDAO WA KIJAMII napatikana hapa hapa ulipo msomaji kwa msaa 24. Mimi nilikuwepo hapa kabla miaka ya 1993. Kwa umri huu huenda nimekuzidi wewe au umenizidi wewe unayenitumia kwa maslai chanya(faida) au hasi(hasara)..Kwa sifa...
Katika familia yangu tuko watu 27 wa baba mmoja ila ni mimi pekee ninayetumia mitandao ya kijamii kuanzia FB, WhatsApp, Jamii Forums na kathalika, je kwenu mpo wangapi wa familia moja?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.