Naomba kufahamishwa mtandao wa simu ambao upo stable katika streaming na price za data package zao. Nimejaribu kuingia kwenye account za insta za Airtel na Halotel, hakuna nilichoambulia zaidi ya matangazo ya zawadi za Faza Xmas. Likewise na kwenye website zao, hawajaandika gharama za package...