mitandao ya simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Mwigulu Nchemba na BoT, mnashindwaje kuwabaini wanaokopesha mitandaoni(digital lending) wakati wanatumia menu za mitandao ya simu kulipwa hela zao?

    Nilisiliza maelezo ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba Bungeni kuhusu mikopo umiza na wanaofanya biashara ya kukopesha bila leseni, na pia nimesoma tangazo la Benk Kuu(BoT) la tarehe 13/05/2024 linalopiga marufuku kufanya biashara ya kukopesha mitandaoni bila kuwa na leseni, nimebaki kushangaa...
  2. BabuKijiko

    Wadau mbona kama mitandao ya simu kuna mgao wa Internet ila hawasemi,vipi wengine mmegundua hili jambo

    Maana kama jana Kuna muda Vodacom na halotel Internet ilikata Tigo ilikuwepo,usiku hivi Tigo ilikata nayo nahisi kuna jambo ambalo linaendelea ila wanaficha kwa kumuhofia Waziri Nape
  3. BabuKijiko

    Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti?

    Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti? Binafsi yangu zijapokea mbs zangu ambazo nilishindwa kutumia wakati ntaneti ilivyokata
  4. Meneja Wa Makampuni

    Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania

    Leo kuna shida kubwa sana ya mitandao yote ya simu tangu saa nne. Nimejikuta nayakumbuka madishi ya Elon Musk ya Starlink. NDUGU ZANGU TOA USHAURI USITUKANE ==== Pia soma: Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania
  5. BigTall

    DOKEZO Vocha za Mitandao ya simu zadaiwa kupandisha bei kiholela Mbozi

    Wafanyabiashara katika Mji wa Mlowo, Mbozi wamedaiwa kupandisha vocha za mitandao ya simu toka bei halisi na kuongeza kiwango kati ya shilingi 100 hadi 200 kutokana na eneo hali ilioibuka malalamiko kwa watumiaji wa mitandao ya simu. Wakiongea malalamiko yao mbele ya mwandishi wetu wamedai...
  6. R

    Nape Moses Nnauye hakuna unachokifanya, mitandao ya simu inafanya wizi as if hawana regulatory aithority

    Tumelalamka wizi wa mitandao ya simu especialy kuhusu internt data. hakuna hatua wanayochukuliwa kurekebisha wizi huu. Unaweka data , muda mwingine bila kuitumia unakuta imeisha. Ukiwapigia simu customers care nobody responds. Nape unafanya nini ofisini?
  7. C

    Ni lini serikali itaingilia kati huu wizi wa mitandao ya simu kuunganisha watu kwenye huduma wasizohitaji?

    Ni Jambo linakwaza sana. Unanunua vocha kujiunga na kifurushi unachopenda mara unapata ujumbe kuwa Salio lako halitoshi. Unafuatilia unaambiwa umejiunga na huduma za kidijitali kama vile "afya call" ,"Tikisa ushinde" n.k. Huna taarifa na huduma hizo,hujui umejiungaje na wala hujui zinahusu...
  8. Mjomba Fujo

    Ndugu wafidiwe pesa katika mitandao ya simu ikitokea wenye Akaunti zenye salio wameaga dunia

    Habari ndugu Watanzania, Nimesukumwa kuandika uzi huu, kutoka kwenye uzi mwingine uliofunguliwa juu ya madai ya mtu kumtumia mzigo mteja wake, na mteja imetokea ameaga dunia kabla ya kupokea mzigo. Niliwahi kufungua uzi kipindi cha nyuma unaoendana na huu ukiuliza ndugu wanafidiwa vipi maslahi...
  9. H

    Mitandao ya mawasiliano ya simu mnapopunguza dakika vifurushi vyenu toeni taarifa pia

    Salaam humu. Kuna jamaa amekuja kwangu nimuungie kifurushi kwenye mtandao mmoja pendwa nikajifanya kama mjuaji sana na madoido yangu nikamuungia akaondoka zake. Baada ya dakika tano karudi analalamika nimemuungia kifurushi siyo chenyewe kuja kuangalia kweli dakika zimepungua nikatoa macho...
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Umewahi kusumbuliwa na wakala wa Bima za Mitandao ya simu?, Wape majibu haya watakata simu haraka

    Ni watu wanaosumbua sana, Reality sio matapeli ila jinsi wanavyoshawishi unaona kabisa ni biashara inayoshahabiana na biashara za kitapeli. Akianza tu mwambie naomba nikuulize swali , akikupa ruhusa muulize hivi; BIMA maana yake ni kuwekeza unufaike wakati ambao huenda utakuwa hauko vizuri...
  11. Trainee

    Je, hakuna uwezekano wa mitandao ya simu kuruhusu kufuta au kuhariri ujumbe mfupi (sms)?

    Sina ujuzi wowote kwenye masuala ya mawasiliano lakini najaribu kuwaza kama kwenye WhatsApp kila siku maboresho yanafanyika why not kwenye jumbe za kawaida za simu? Kwani hakuna uwezekano wa kutufanyia tuweze kurekebisha ujumbe tunaotuma. Kwa mfano mngeweka mtu aweze kuhariri au kuufuta kabisa...
  12. H

    Kutuma pesa mitandao ya simu ya Tanzania ukiwa Kenya

    Habari wana JF Naomba uzoefu Kwa mtu ambaye amekuwa akisafiri kwenda Kenya na ana akaunti NMB je akiwa Kenya aliweza kutumia huduma za kwenye app ya NMB mfano kutuma pesa kwenda mitandao ya simu? Kwa kifupi issue yangu iko hivi nina akaunti NMB nitaenda Kenya hivi karibuni nikiwa huko nitakuwa...
  13. Vincenzo Jr

    Baadhi ya mitandao ya simu nchini wana vifurushi kausha damu

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, Kwanza ningependa ujue mitandao yote ya simu Tanzania ina vifurushi vinavyofanana na kingine kila mtandao na spidi yake. Sasa kumezuka baadhi ya mitandao ya Haloteli, Airtel, Tigo kuwa na vufurushi vya data ambavyo ni data kausha damu, yaani ukinunua...
  14. Ulimbo

    Matatizo katika mitandao ya simu

    Habari zenu wana jamvi. Kwa muda sasa nimekuwa nakumbana na huu ujumbe/haya maneno ninapopiga simu. NAMBAYAKO IMESITSHIWA HUDUMA KWA SASA. Lakini baada ya muda simu inaunganishwa na mawasiliano yanaendelea kama kawaida. Pia kuna watu wanaponipigia wananiambia kuwa wanapata huo ujumbe. Je kuna...
  15. B

    Kwako Mkurugenzi wa TCRA na Waziri mwenye dhamana. Wananchi tumechoka kuibiwa na kampuni za simu

    Ninaandika kwa masikitiko makubwa sana. Chondechonde Mkurugenzi wa TCRA na Waziri mwenye dhamana (NAPE NAUYE) wananchi tumechoka na huu wizi na uhuni unaofanywa na kampuni za simu Tanzania. Kwanza kabisa kampuni za simu hapa Tanzania wamekuwa wakituibia wateja kwa kutuunga kwenye huduma...
  16. myyola

    App ya Tigopesa ni best kuliko App zingine za mitandao ya simu

    Kwanini app ya tigopesa ni nzuri kwasababu ipo security pia ina uwezo kulunch bila Internet (km huna)tofauti na wengine mpaka uwe na bando. Pia unaweza set badala kufungulia password unatumia fingerprint au face id kutokana device yako. Nini maoni yako
  17. radika

    Vijana wanaosajili laini mitaani za mitandao ya simu wengi ni wezi

    Hii nimeithibitisha kwa watu zaidi ya wawili mtaani kuna dogo alikuwa akisajili laini za Tigo basi akamwambia jamaa amboreshee laini yake ili aweze kupata mb na dakika nyingi kwa elfu moja tu. Basi jamaa akaona kama kuna hiyo ofa bora aboroshewe laini yake na huyo wakala wa Tigo alikuwa...
  18. Ricky Blair

    Mitandao ya simu na benki

    Ivi why can't we call customer care directly kupata msaada bila bonyeza iki Mara iki Mara iki Yaani mlolongo hadi unajuta plus dakika zako zinaenda tu. Wekeni number special kila moja ukibonyeza ya kitu fulani. Mnatuchosha na kuboa na minyimbo yenu cjui matangazo Hapana too much sasa
  19. Swahili AI

    Hizi hapa namba za WhatsApp za Huduma kwa Wateja Mitandao ya Simu

    Airtel Customer Care WhatsApp Number Vodacom Customer Care WhatsApp Number Tigo Customer Care WhatsApp Number:0675-100-100 Halotel Customer Care WhatsApp Number: 0620100100
  20. sanalii

    NIDA wahuishe taarifa za usajili wa namba za simu ziendane na zilizoko mitandao ya simu

    Nimefuta usajili wa namba ya simu tangu mwaka 2020, lakini hadi leo ukiangalia usajili wa namba zote zilizosajiliwa kwa namba ya NIDA, unaletewa na namba ambazo ulishazifuta, mbaya zaidi namba uliofuta unakuta imeshasajuliwa tena na mtu mwengine. Ushauri ni kua, NIDA wawe na utaratibu wa ou...
Back
Top Bottom