mitandao ya simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nafaka

    Sielewi model ya vifurushi vya internet vya mitandao ya simu

    Katika biashara mtu bei uwa inapungua kwa kadri anavyonunua vitu vingi, lakini kwa mitandao ya simu upande wa data za internet imekuwa tofauti. Yani kwa kadri unavyonunua ndivyo unachajiwa zaidi. Kwa mfano: Airtel unakuta 1500 unapata 1gb Ila wana kifurushi cha 8gb kwa 15000, ikiwa ina maana 1gb...
  2. D

    Nalinganisha Vyama vya SIASA Nchini Tanzania na Mitandao ya Simu

    Chama cha Mapinduzi wanafanana sana na Vodacom, wanaweza kukuibia kifurushi chako hivihivi ukiangalia. Hakika wao ni chama kubwa, wenye sera nzuri lakini zilizopo kwenye makaratasi, ambazo hawajaweza zitekeleza hata kwa asilimia 10 toka tupate Uhuru. CCM wamejisahau, ila wajifunze kwa Nokia...
  3. Mfikirishi

    Faragha yako inalindwaje?

    Tafadhali someni hapa chini: Privacy Policies za makampuni mbali mbali ambayo wanachakata na kutunza taarifa binafsi za wateja (personal data). Sina upande wa ipi ni nzuri ipi ni mbaya. But be in the know! Information is Power! Ukisoma kwa undani utagundua madalali wa faragha zako. Chukua...
  4. Lycaon pictus

    Mitandao ya simu ikitoa taarifa zetu kwa vyombo vya ulinzi huwa wanapata idhini ya Mahakama?

    Ni kawaida uhuru wa mtu kuingiliwa iwapo inaonekana unahatarisha usalama wa wengine. Lakini ni lazima mahakama ithibitishe kuwa usalama wa wengine upo hatarini. Vyombo vya dola vikiingilia bila ruhusa ya mahakama, basi ushahidi huo hauwezi kutumika mahakamani na jambo hilo huwa siri yao. Sasa...
  5. J

    Hakuna usiri wowote kwenye mitandao ya simu ndio maana hata sauti za akina Nnauye na Makamba zilivujishwa. Tusikuze mambo!

    Kama unadhani kwenye mitandao ya simu kuna usiri mkubwa basi utakuwa unajidanganya sana bwashee. Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano. Muhimu ni watu kutenda matendo mema, basi. Mungu wa mbinguni awabariki sana!
  6. Mshana Jr

    Mitandao ya simu Tanzania ipo 'compromised'?

    Ni wiki ya Mtandao wa Tigo Tanzania baada ya muajiriwa wake kitengo cha sheria kuwa mmoja wa mashahidi katika kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Kampeni zimeanza kushika kasi kila kona kususia huduma za mtandao husika. Hili lina madhara...
  7. Vontec

    Hii Mitandao ya simu inatutakia nini wanateknolojia Tanzania?

    Enyi Mitandao ya simu Tz ebu kueni basi na huruma, hata kama ni shinikizo kutoka serikalini kunyonya tozo vilivyo, Onyesheni basi kutujali sisi wateja wenu Sio nanyie kuendelea kutubana kwa kuondoa baadhi ya bando, kuongeza bei za bando nk. Haswa tukiwa tunakimbizana na dunia, kwenda sambamba...
  8. C

    Mbinu za kushinda michezo ya bahati nasibu ya Mitandao ya simu

    Niaje ni vipi! Kuna hii Michezo ya mitandao mfano voda wao wana Tusua spoti na Tusua mapene, kuna watu huwa wanashinda na wengine hawashindi. Hebu tupeane mbinu za kuongeza chances za kushinda. wataalam wa mambo tusaidiane. Chief-Mkwawa
  9. PAZIA 3

    SoC01 Mitandao ya simu itumie Mifumo ya Tozo kwa hiari kwa wateja wake kuwainua kimaisha

    Nawasalimu kwa jina la JMT Nimekaa nikawaza, kumbe kupitia mitandao ya simu Kama vile Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel, nk inaweza ikachochea maendeleo ya moja kwa moja kwa wateja wake bila shuruti, hii inawezekana kupitia mfumo TOZO Kama ilivyoanzishwa na serikali. Tunajua kwamba, vijana wengi...
  10. K

    Mitandao ya simu ifikirie kuleta vifurushi vya kushare

    Ni wakati mwafaka sasa kwa mitandao ya simu kuleta vifurushi ambavyo mteja atapewa option ya kulist namba za watu anaotaka watumie kifurushi alichonunua kwa pamoja. Yani kama nina mama yangu kule kijijini, mke au rafiki nikinunua kifurushi niwawezeshe kukitumia. Hii itaondoa uhitaji wa Hotspot...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Ushauri: Serikali ianzishae fine kwenye mitandao ya simu kwa kila simu moja ya kitapeli itakayopigwa au meseji itakayotumwa kwa mteja

    Waziri wa Mawasiliano nakushauri anzisha fine kwenye mitandao ya simu kwa kila simu moja ya kitapeli itakayopigwa au meseji itakayotumwa kwa mteja. Yaani mfano ukibaini hiyo namba ya kitapeli ni ya mtandao wa voda. Basi faini itozwe kampuni ya voda. Waachie makampuni wao wenyewe ndio wadhibiti...
  12. Samcezar

    Mitandao ya simu imesitisha mabadiliko ya bei za Vifurushi

    Unajua hii haijakaa sawa kabisa na sio nzuri kibiashara. Haya ndio madhara ya kuchanganya siasa chafu za chama kisichojitambua uelekeo wake kiutendaji na shughuli serious za kiuchumi.
  13. mshale21

    Mabadiliko ya Vifurushi vya mitandao Tanzania: Je, tutarajie nini?

    Wakuu habarini, Leo umekuwa Ni mwendo wa kutumiwa taarifa kuwa tar 16/8/2021 kutakuwa na mabadiliko ya Vifurushi! Ikumbukwe miezi kadhaa iliyopita, sakata la mabadiliko ya Vifurushi lilitrend Sana nchini, huku wananchi wakilalamikia kwa nguvu zote ukandamizwaji ulioonekana kupita kiasi, suala...
  14. Pierre2017

    Wapi nitanunua vocha za jumla na mimi niuze jumla kwa Dar es Salaam?

    Habari wa JF Nataka kufanya biashara ya kuuza vocha za jumla lakini sijajua nanunua wapi hizo vocha,ukiwauliza wauzaji wa jumla kila mmoja anapiga chenga wengine wanasema hazina faida..mimi naomba kupata taarifa sahihi either kwa anaefanya hii biashara au anaejua taarifa sahihi! Nawasilisha!
  15. Sky Eclat

    Maisha yalivyokua kabla ya Miamala

    Miaka ile ilikua ni habari za mdomo tu, unafahamishwa wafanya biashara wenye huduma ya kutuma pesa. Wengi walikua Kariakoo. Walifanya huduma hii katika mikoa yenye biashara zao. Ukifika pale unatoa maelekezo ya ndugu yako aliye Arusha, jina lake na namba yake ya simu. Wanaandika katika...
  16. DR Mambo Jambo

    SoC01 Kupanda kwa Bei za Miamala ya Mitandao ya Simu ni "BANK ECONOMIC STRATEGIES"

    Nawasalimia kwa Jina La JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Kabla ya yote mimi si Mjuzi sana wa mambo ya Uchumi au siasa ya uchumi ila kwa kuwa nimepata ushauri kwa wasomi wa uchumi na mambo haya ya siasa ya uchumi ningependa niwamegee kidogo kuhusu mambo nikiyoelekezwa kuhusu Trending marks...
  17. N

    Wamiliki wa Mitandao ya Simu wamechonganisha wananchi na Viongozi wetu

    Nilivyoona tu eti wanaonesha kabisa kwamba amount hii ni gharama zao na amount hii hapa ni kodi ya Serikali basi nikajua huo ni uchochezi. Hawa watu walipaswa kufanya kama awali kuwa inakata tu gharama ya kutuma muamala bila kuonesha ipi ni kodi na ipi ni ya kwao wamiliki mtandao. Mbona - kwa...
  18. Mwanga Lutila

    Mitandao ya Simu acheni kutulia hela zetu, hivi kweli mtu anaweza kushinda bahati nasibu kwa kujibu haya maswali?

    Eti wanakuuliza Ruby ni a)Mwanamuziki b) Mkulima Huu ni utapeli wa kula vocha za watu.
  19. Kitimoto

    Matapeli kwenye mitandao ya simu

    Hii thread ni maalum kwa ajili ya kuanika namba za simu za wanaotapeli kupitia huduma za fedha kwenye mitandao ya simu, naamini TCRA watakuwa wanapitia huu uzi, wangekuwa na Akaunti hapa JF kama Taasisi zingine ingekuwa vema. 0672388589 hii ni mojawapo ya namba inayotapeli, alinipigia simu...
  20. M

    Mitandao ya simu ya Tanzania ni ya hovyo sana

    Salamu kutoka kusini! Kusini Kuchele Naanza na malalamiko yangu kwa hii mitandao ya simu ya Tanzania! Moja. Hivi kuna ulazima gani, pindi mtu anaacha kutumia line ya mtandao flani au anafariki dunia,halafu hiyo line ya simu anapewa mtu mwingine baada ya miezi kadhaa? Hivi inakuaje aliyekua...
Back
Top Bottom