Aisee kumbe inawezekana kabisa kuzishitaki hizi kampuni za mitandao ya simu? Manaake naona wamekua na tabia ya kujifanyia mambo kiholela sana. AY na Mwana Fa walionesha njia naona na huyu mwamba kaamu kujilipua pia.
Jamaa Alikatwa TZS 4,650/- na Tigo kimakosa, Akawashitaki TCRA kuomba Fidia...
Kwanini nasema hivyo? Kwa sababu hakuna mtu ataenda kununua vocha ya Tsh. 1000 dukani wakati anajua kabisa atakatwa kiasi cha Tsh. 100 au zaidi wakati huohuo hakuna kifurushi cha sh 900.
Hayo yanajiri katika marekebisho ya sheria kama kiambatanisho hapa chini kitakavyo onesha.
Majibu ya wadau
Wakuu naomba kujua je, inawezekena au ninaweza kutumia leseni ya biashara nyingine kupata line ya uwakala kwenye mitandao ya simu?
Au kufanya uwakala huo ni lazima kuwa na leseni ya biashara inayohusiana na mambo ya uwakala kwanza?
Pia ninaomba kujua kwa makadirio ya kodi TRA huwa wanakadiria...
Nitangulize samahani kwa wadau watakaodhani natetea uhalifu (ubaya) wa namna yoyote. Lakini wema na ubaya havijawai kuachana kama mwanga na giza. Ifikie hatua waibiwaji tujitathmini.
Ubaya ukikwaza wengi mtu timamu huangalia wapi tatizo linaanzia.
Hili la wizi wa mtandaon kama "tafadhari...
Habari 👋🏾
Kwa takribani siku tano nimekuwa katika mazungumzo na Dr. Dan Havlick, Bw. Medenne Stephenson na Prof. Sara Ramirez ambao ni wakurugenzi watendaji wa kikanda wanaosimamia maslahi ya makampuni ya mawasiliano ya AT&T, T-Mobile na Verizon kwa Kansas City, Toronto na jimbo la Bavaria...
Kumekua na malalamiko kwa viongozi wa siasa kwamba mabando ni ghali. Swala hili wansiasa wanaoichukulia haraka kwa sababu wanajua linagusa kila mtanzania wasijue kwamba Tanzania ndio inagharama ndogo ya internet na mawasiliani kwa ujumla Africa Mashariki.
Pili huwezi kulazimisha bei kwenye soko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.