mitandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Wanaomchafua Rais Samia mitandaoni kwamba kamuambukiza Makamu wa Rais wa Marekani Corona wachukuliwe hatua

    Sasa dharau kwa mh.Rais wa JMT ,Bibi Samia Suluhu Hassan zimevuka mipaka. Mh.Rais akiwa ziarani mkoa wa Arusha amelalamikia watu ktk mitandao wakimtuhumu kwa kumuambukiza virus vya Corona makama wa rais wa nchi ya Marekani Bibi Kamala Harris alipokutana naye alipokwenda Marekani kwa ziara ya...
  2. M

    Ombi: Usambazaji wa Picha za Rais Samia Mitandaoni akiwa Marekani ziendane na 'Direct Economic Impact' Mifukoni mwa Watanzania

    Naanza kuona taratibu Nguvu Kubwa inatumika kumuonyesha Mheshimiwa Rais Samia akikubalika zaidi na Wazungu (hasa hasa hawa Wamarekani) na kwamba aliyekuwa Boss wake hakuliweza au hakulifanikisha hilo ila kwa bahati mbaya mno Nguvu hiyo hiyo haitumiki Kuwafafanulia Watanzania ni jinsi gani Ziara...
  3. Wajuzi wa masuala ya fix matangazo ya kazi mitandaoni. Hii inanisunbua sana

    Kwenye picha ni mfano tu, nashawishikaga kuapply nasema au bas... Nisaidien jamani haya matangazo ya kazi nje ya tz si mara Moja au mbili nakutana nayo yanaukweli gani
  4. Toka Mitandaoni, waTanzania tunataka nini toka viongozi wa upinzani?

    Salam za pasaka na mwezi mtukufu. Nianze kwa kuwauliza hivi nini tunachokitaka toka kwa wanasiasa wa upinzani? Nikapita mitandaoni nikaangalia page kadhaa then nikapita na page za wanasiasa nikagundua kuwa wananchi hatuna tukitakacho na tupo kulaumu. Usichukie ilikuwa hivi. Nilipita page ya...
  5. Kama Wanasimba tunajiamini tuna timu imara, kwa nini tunaombea tukutane na Al Ahly Tripoli, siyo TP Mazembe au Orlando Pirates?

    Si tunajiamini kuwa Simba ni Timu Bora kabisa na tumepita CAFCC jana Aprili 4, 2022 kwa uwezo wetu na tuna jeuri ya kucheza na timu yoyote Afrika, sasa kwa nini karibia 99% ya Wanasimba wanaombea wakutane na Al Ahly Tripoli ya nchini Libya na kamwe siyo TP Mazembe ya Congo DR au Orlando Pirates...
  6. Harakati na kelele za mitandaoni haziwasaidii CHADEMA, zinawaingiza mkenge kila siku ila hawajifunzi

    Naona mnajidanganya kuwa kelele zenu mitandaoni zinawasidia kusikika na kuonekana mnazo hoja kiasi cha kuanza kujipiga kifua. Ninyi bado hamjapata sapoti kupitia mitandao mnajidanganya kama watoto wadogo. Uhalisia wa mnachodhania kuwa mnasapoti kubwa kutoka kwa wananchi kupitia mitandao ni...
  7. Simba Sc yaongoza kutazamwa Afrika

    Kwa mujibu wa CAF, Simba imekuwa ndio klabu inayotazamwa kwa wingi na mashabiki kupitia akaunti za mitandao ya kijamii za CAF, ikiwamo Youtube (CAF TV) kulinganisha na timu nyingine kongwe Afrika na ikifuatiwa na Al Ahly ya Misri. . Rekodi zinaonyesha pambano lililotazamwa zaidi ni lile la Simba...
  8. Hivi wapo wanaofanikiwa kupata wenza makini (serious) mitandaoni?

    Kwa siku za karibuni kwenye mitandao mbali mbali kumeshamiri maombi ya kuhitaji Wenza...natamani kujua kama kuna utafiti umefanyika kujua mafanikio ya mfumo huu. Maombi haya yamekuwa yakiambatishwa na vigezo lukuki huku vingi ya hivyo ni ngumu hata kupatikana kwa Mtu mmoja. Pia...
  9. Wapenzi wakukutana mitandaoni

    hapa nazungumzia wale wanatongozeana kupitia mitandao ya kijamii,, maisha yao huwa hivi,, 1)baada ya kukubaliwa ombi mawasiliano huwa matamu sana 2)baada ya kupeana mautamu kwa mara ya kwanza 3)mlipo agana kila mtu kwake 【mikoa tofauti】kila mmoja atakuwa anakesha na simu kukufatilia kama...
  10. M

    Nchi yetu ina wakosoaji wengi na wasifiaji wengi mitandaoni kutokana na ukosefu wa ajira

    Nimejaribu kufuatilia Kwa ukaribu wengi wa wakosoaji na wasifiaji wengi Kundi kubwa ni Vijana,na shida kubwa ya ulimwengu huu tulionao wa sayansi na teknolojia,Vijana wengi wanamiliki simu janja,wao Kila siku ni kuisema Vibaya Serikali na wengine ndio waimba mapambio Kwa wingi pia,Ila Chanzo Cha...
  11. Wataalamu wa UN: Korea Kaskazini yaiba mamilioni ya dola kupitia udukuzi mitandaoni

    Wataalam wa Umoja wa Mataifa wamesema kwenye ripoti yao kwamba Korea ya Kaskazini inaendelea kuiba mamilioni ya dola kutoka katika taasisi za kifedha na makampuni yanayojihusisha na sarafu za mitandao na ubadilishanaji fedha. Wataalamu hao waliowanukuu wataalamu wa masuala ya mitandao kwenye...
  12. T

    Nimeona post za kumkumbuka Magufuli zimeongezeka sana mitandaoni. Je, sababu ndiyo hii ninayohisi mimi?

    Inavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka na wakati mwingine emoji za majonzi au moyo kuchanika. Hii ikanifanya nijiulize, mbona viongozi...
  13. Wachezaji wa Simba SC punguzeni kujifotoa sana mitandaoni na tumieni muda huo kujifunza kupiga penati kwani mnatia aibu

    Baada ya Kufungwa na Mbeya City 'Kimoko' ambacho mpaka leo GENTAMYCINE naweweseka nacho (kwani Kimening'ang'ania) sasa ni wakati wa kuambiana tu Ukweli hata kama Unauma au Utachukiwa na hata Kuwakwaza Watu. Ni Aibu Kubwa kwa Wachezaji wa Simba SC kila mara kukosa Penati na Kinachonikera hata...
  14. Je, wako wapi wakongwe hawa?

    Miongoni mwa sintofahamu inayoendelea ni kutojulikana alipo aliyekuwa staa wa Bongo Movies, Mikalla aliyeng’ara kwenye Filamu ya The Lost Twins akitumia jina la Anita; filamu iliyoandaliwa na aliyekuwa kinara wa tasnia hiyo, marehemu Steven Kanumba chini ya Kampuni ya Mtitu First Game Quality...
  15. CHADEMA tuna wakati mgumu Tarime, Mwita Waitara ameahidi kutushughulikia tena tusipate hata Diwani kisa tumefurahi alivyotenguliwa

    Sikilizeni makamanda wenzangu, amesema anafuatilia tunavyomnanga sasa tutakoma huko Tarime.
  16. Sheria zinasemaje kuhusu hili? Polisi kasambaza picha za Mtuhumiwa wa Uhalifu mitandaoni

    Huyu Dada ame trend sana mitandaoni kwa kitendo alichokifanya siku kadhaa zilizopita!! Baada ya hilo tukio, taarifa zilisema anapaswa kukamatwa ama aende.mwenyewe kuripoti kituo cha Polisi. Kafika huko nako kapigwa picha na zimesambaa tena mitandaoni. Je hii kisheria haiwez kumsaidia kufungua...
  17. M

    Haya mazoea ya kuanza kuanika vifo mitandaoni siyo kabisa

    Imekuwa kawaida kabisa mtu akisikia fulani kafariki kuanza kumweka kwenye status mitandaoni na maneno kama RIP!! Lakini tunafahamu kabisa yawezekana kabisa wanafamilia wameona mwanafamilia fulani asipewe taarifa mapema mpaka yafanyike maandalizi fulani kutokana na changamoto zinazomkabili...
  18. Dkt. Joseph Kasheku Musukuma: Napitia post za wanaonibeza mitandaoni, kuanzia Ijumaa nitaanza kuwajibu

    #NUKUU "Bahati mbaya mimi siko mitandaoni na kuhusu wanaonibeza, mimi nitazungumza kuanzia Ijumaa, sasa hivi bado nasoma tu hayo mambo yao wanayoyaandika,"- Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma Chanzo: @supabreakfast ya @earadiofm
  19. Uganda Airways kuongeza Senene katika orodha ya vyakula ndani ya ndege baada ya video ya mchuuzi kusambaa mitandaoni

    Baada ya kusambaa kwa video inayomuonesha mchuuzi wa Senene aliyekuwa akiuza bidhaa zake ndani ya Ndege ya Shirika la Ndege la Uganda, Shirika hilo limesema linafikiria kuongeza Senene (Nsenene) katika orodha ya vyakula ndani ya ndege katika safari za kimataifa zinazofanywa na ndege zake...
  20. Hii tabia ya kutukanwa Hayati Magufuli na wasaka vyeo kwa Samia ukiendelea tunawaonya tutakipasua CCM humu mitandaoni

    CCM isifikiri tunaotukanwa humu kwenye mitandao kwa ajili yake hatuna damu! Huo utaratibu wa vitoto ndani ya chama vinavyohojiwa hojiwa huko kwenye Midea na kumtukana marehemu JPM mkiendelea kuvichekea tutaona namna bora ya kudeal na CCM humu jamvini. Niwahakikishie Viongozi wa CCM uasi huwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…