mitandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    Ongezeko la mfedhehesho wa Mahusiano ya Mitandaoni

    Picha inaanziaga hapa unakuta ndani ya Mahusiano hayo Mwanamke mmoja kutembea na Wanaume wengii ndani ya Huohuo mtandaojamii. Au mwanaume mmoja kutembea na wanawake weeengi humohumo ndani ... Hii kitu Athari yake huja hasa baada ya Kuachana na mtu yule au yule au huyu nambaya zaidi ukute YULE...
  2. N

    Biashara ya ngono inayofanywa mitandaoni

    Sasa hii biashara imehamia mitandaoni ukiingia Telegram kuna mpka madalali wa wa kuunganisha madem kama unahitaji mkoa wowote ule unaunganishwa mabint wadogo kabisa wanajihusisha na hii biashara tena ule mtandao pendwa unatolewa nje nje hii ni hatari dunia inaelekea tabati. Nawasilisha
  3. juvenile davis

    Shituka: Hizi ndio mbinu za wanawake wa kuwapata mitandaoni

    Kama hujawahi kupata demu Badoo, Fb, Instagram, Sexchat, Jf, Telegram basi wewe una matatizo na sio kidume kamili ila kama ni fala unaweza ukapunyuliwa vipesa vyako na papuchi usipewe ila kwa sisi makonkodi huwa tunawapa vipara na hela hawapati (tunawakopa) mbinu zao ni hizi hapa[emoji116]...
Back
Top Bottom