mitandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hatimaye Chief Godlove abambwa. Adaiwa kupost hela feki mitandaoni ili kuwahadaa watu kwamba ana hela

    Chief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya elfu kumi kwa juu ila kwa chini ni vimbao. Ukitazama vibaya unaweza kufikiri ni mabulungutu...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye aomba kura za chaguzi zipigwe Mitandaoni "Electronic Voting"

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema nia Serikali ni kuhakikisha inakamilisha mchakato ili ikiwezekana chaguzi zijazo zitumie teknolojia ikiwememo Mtu kupiga kura mtandaoni badala ya kupanga foleni na kusubiri muda wa kupiga kura ambapo amesema hilo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mjadala: 'Namna ya Kutambua na Kuepuka Utapeli Mitandaoni' - Septemba 21, 2023

    Mtandaoni ni mahali ambapo kunaweza kuwa na fursa nyingi; matumizi mazuri ya kimtandao yanaweza kutambua fursa chanya za kufungua faida nyingi zinazopatikana kwenye mazingira haya ya kisasa ya kimtandao. Lakini Mtandaoni kuna masuala ya Utapeli pia. Je, Umewahi kukutana na matukio ya Utapeli...
  4. JamiiForums Tanzania Nape kama kura zipo mtaani na siyo kwenye mitandao mbona huwa mnazima mitandao?

    Kama mitandao haina taathira kwenye Siasa za Tanzania, mbona CCM hulazimisha mitandao ifungwe au ipoozeshwe Kasi yake wakati wa Uchaguzi? Nape anadhani tumesahau jinsi kwenye uchaguzi wa 2020 tulivyolazimika kutumia VPN Ili kuwasiliana kupitia mitandao? Sisi watanzania siyo wasahaulifu kiasi...
  5. JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na kauli ya Waziri mwenye dhamana ya mitandao ya kijamii kuwa kura zipo mitaani sio mitandaoni

    Kauli zingine zinafikirisha sana. Maana dunia ya leo kila kitu kipo kidijitali. Maoni ya watu wananapiga kelele kupitia mitandao ya kijamii. Watawala wanaumia. Hao hao wanaopiga kelele mitandaoni wanaishi mitaani. Alafu waziri aliye na digrii anasema hawapigi kura. Inashangaza.
  6. JamiiForums Tanzania Serikali fuatilieni hizi kampuni za kitapeli zinazodai zinakopesha mitandaoni, mama zetu wanalizwa vibaya sana

    Hizi kampuni fake zinadai zimesajiliwa na serikali lakini zinafanya kazi ya utapeli, zipo nyingi, cjui tala imarisha maisha. Tulia mikopo online na zingine zinatumia majina ya Jokate Mwegelo na kuna hawa wanatumia matangazo na video za watu mashuhuri kwa kuziedit. Watanzania wamepigika...
  7. JamiiForums Tanzania Mtu akiwa anakudai ni sawa kukuposti mitandaoni kukuita tapeli?

    Wakuu. Mimi siijui sana sheria kwani sio.taaluma yangu kabisa. Well Hapa ninapoishi kuna jirani yangu huyu mama mtu wa miaka Kati ya 30's . Huyu dada ni mtu wa mikopo sana sijui kausha damu mara vicoba sijui whatever anajua vyote. Mara kadhaa amekuwa akija kujificha kwangu asubuhi sana watu...
  8. JamiiForums Tanzania Utapeli: Hii ndio shida ya kununua simu za delivery mikoani, Kawekewa simu ambayo wateja wanaofika dukani hawaitaki

    Nipo hapa Iringa kikazi kwa wiki hivi, kuna dogo niliemuasa sana asubiri nirudi Mbeya mwenyewe nimnunulie simu ila tamaa imemponza kaagiza wamsafirishie kwa basi. Hapo Mbeya hilo duka kuna kipindi niliwahi kwenda kuulizia hio simu anayoitaka, kulikuwa na ambayo imebonyea bonyea, kwenye kona ni...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ikikosea (grammatical errors) kwenye barua za kizungu zinazokwenda kwa umma; utaratibu wakuifuta mitandaoni ni upi?

    Endapo ikatokea serikali imetoa barua na kuirusha mkutanoni lakini ikabainika ina tatizo la kiufundi kwamba mwandishi alikosea lugha ni hatua zipi ufuatwa kuiondoa mtandaoni na kuweka barua iliyo sahihi? Lazima iandikwe barua ya kuifuta? Au ndio zile zinaandikwaga puuzeni ujumbe huu? Je , ni...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Siasa za mtandaoni na mtaani ni tofauti!

    Kuna baadhi ya mambo ukiyaangalia juujuu bila kufungua mlango wa sita wa fahamu kuyafahamu zaidi, unaweza kuhisi ndivyo yalivyo. Moja ya mambo hayo ni siasa zetu huku mitandaoni na mitaani. Kwa mara ya kwanza kama hujawahi kabisa kufuatilia siasa na ukaanza kuzifuatilia mitandaoni, utagundua...
  11. JamiiForums Tanzania TRC watoa majibu kuhusu uwapo wa Treni zenye Vichwa vilivyochongoka

    TRC wakiwa kwenye ukaguzi wa Vichwa Nchini Korea Kusini wametoa ufafanuzi wa uwapo wa treni ambazo Vichwa vimechongoka kutokana watu kuhoji utofauti wa picha zilizopo kwenye matangazo ya TRC kutofautiana na Vichwa vilivyoonekana wiki iliyopita. Soma: Vichwa vya Treni za SGR vyawekwa hadharani...
  12. JamiiForums Tanzania Profesa Abdulkarim Mruma hana kosa kwa ile clip inayosambaa mitandaoni

    Kwenye suala la Makinikia na ile ripoti ya professorial rubbish ni sawa kumlaumu Profesa Abdulkarim Mruma. Lakini kwa hiyo clip nakataa. Waliosaini BIT na Canada wanajulikana. Waliofuta leseni hodhi za Bafex Tz Ltd (Kampuni tanzu ya Winshear) wanajulikana. Yamkini tunazo sababu lukuki za...
  13. R

    JamiiForums Tanzania FARAGHA: Waziri amwagiza Mganga Mkuu wa Serikali kufuatilia suala la Taarifa Binafsi za Mgonjwa kuanikwa Mtandaoni

    Kufuatia tukio la mwanaume mmoja anaesemekana kuwa na mataizo ya akili kukata uume wake, ambapo toka tukio hilo limetokea mpaka baada ya matibabu waandishi wametoa taarifa zote juu ya hali yake, ikiwemo jina, umri, jinsia, makazi na ugonjwa wenyewe. Wadau mbalimbali wamelalamikia kitendo cha...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia, tuelewe wananchi wako na rekebisha mkataba, ili tukutetee humu mitandaoni!

    Contradictions zilizomo katika mkstaba/maelewano/MOU ya Tanzania na DP World ni za kimsingi kabisa. Kama mababu na baba zetu walipigania uhuru, misingi hiyo isikiukwe kwa namna yoyote ile. Hilo ndilo suala katika malumbano yote haya ya Bandari kubinafsishwa. Naamini Mama Samia utarejesha...
  15. JamiiForums Tanzania Microsoft na OpenAI zafunguliwa kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 7.24 kwa kuiba Taarifa Binafsi za Watu Mtandaoni

    Kampuni ya OpenAI inayoendesha mfumo wa Akili Bandia (AI) wa 'ChatGPT', inadaiwa kuchukua 'Bila Ridhaa na Kutumia Vibaya' Taarifa Binafsi za Watumiaji Mtandao kwa lengo la kutoa mafunzo katika mfumo wake wa AI. Katika hati ya Mashtaka yenye kurasa 160, OpenAI na Microsoft zimeshtakiwa kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Makubwa(Kijana anayetrend Mitandaoni kwa kuuza Condom Mtaa kwa mtaa

    Hii Nchi ngumu sana ... nauliza hivi kondom zinarusiwa kuuzwa hadharani? Kama anavyofanya kijana huyu. Doooh
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Serikali kuanzisha Kodi kwenye matangazo ya biashara mitandaoni. Wataanzani wanaharibu dhana nzima ya "digital marketing"

    Leo nimesikia kitu kilichonifurahisha sana kutoka wa waziri wa fedha wakati akiwasilisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2023/2024 nalo ni kuja na mpango wa kuanza kukusanya Kodi kwenye matangazo ya biashara mitandaoni. Sijajua kwa upande wa Serikali ukiachana na kukusanya Kodi kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Ingekuwa Kenya kingeumana !! Sisi hatuna upinzani upo TU WA mitandaoni!

    Ingekuwa Kenya pasingekalika saa hii !! Ccm itatawala miaka 1000 mpaka kizazi Cha WAOGA kifutiliwe mbali ,wenzetu wamepiga hatua kubwa sana kisiasa ...sisi hata mlio wa gitaa tunakimbia hovyo kama kuku wa kisasa ! Ingekuwa Kenya muda huu raila angekuwa anaelekea ikulu na Mitaa yote imefungwa...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Marais wanacheka na kuteta kirafiki sisi mtandaoni tunaandikiana laana na kila aina ya matusi

    Kanisani mara nyingi Padre anayeongoza ibada huweka msisitizo wa kuiombea dunia nzima. Hukataza ile aina ya maombi yenye kunihusu mimi na watu wa familia yangu pekee. Huwa anasema tupunguze zile 'yangu' kila tunapoongea na Mungu. Kazi yangu, mume wangu, mke wangu, watoto wangu, nyumba yangu...
  20. JamiiForums Tanzania Wanachapana mitandaoni Mwigulu na Makamba itakuwaje Rais akawa Mwinginee kama ilivyotokea kwa Lowassa na Membe

    Nimewaza yale ya Lowassa Vs Membe alafu mwingine ndo akaongoza nchi! Kwa kifupi hawa vijana hawajaiva kushika madaraka makubwa kivile ya nchi wanatakiwa kuwa chini ya Uangalizi, wana familia na kila kitu Ila Uvulana bado unawatawala sana Mtu ambaye umeshakuwa unakuwa na Dalili zifuatazo 1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…