Habari Wakuu.
Tangu utotoni nimekuwa na hobby ya kupanda miti. Natafuta maeneo mikoa ya Arusha, Kilimanjaro,Manyara,Dodoma na Singida ambayo nitayapata bila kulipia niweze kupanda miti.
Natumaini hili litasaidia pia katika jitihada za ulimwengu za kupunguza hewa ukaa (CO2).
Mwenye kujua...