miujiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tauceti Rigel

    Usipokuwa Muangalifu, Mchungaji Wako Anaanza Kufanana na Mganga wa Kienyeji

    Katika dunia inayojaa changamoto zisizokwisha—mahusiano yaliyovunjika, matatizo ya kiuchumi, ndoto zilizokwama—watu hutafuta suluhisho kwa njia mbalimbali. Wapo wanaotumia akili zao kutafuta njia halisi za kujinasua, na wapo wanaotafuta muujiza wa papo kwa papo. Kundi la pili mara nyingi huishia...
  2. R

    Manabii, Mitume, so called watumishi wa Mungu wa kufaya MIUJIZA/UPAKO wameshindwa kufanya miujiza mvua zikanyesha!

    Kuna ukame ambao unatishia maisha ya watu na mali zao. Akina Mwamposa and Co. Ltd wamejinasibu na kufanya miujiza kurekebisha mambo kama magonjwa, bahati kuondoa mikosi , kuleta utajiri etc etc. Najiuliza, mbona sasa hawafanyi miujiza mvua ikanyesha? Tunao zaidi ya 400
  3. Rorscharch

    Mitego ya Kisaikolojia: Kwanini Wanawake Wanajazana Kwa Waganga na Wachungaji? Je, Hizi sio Pande Mbili za Sarafu Moja?

    Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Ni Tofauti au Ndugu Wanaotumia Lugha Tofauti? 👇👇👇👇👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/waganga-wa-kienyeji-na-wachungaji-wa-maombi-binafsi-wajanja-wanaocheza-na-akili-za-wanawake.2314695/
  4. T

    Miujiza ni nini?

    Muujiza au miraculous/miracle hii ni nguvu ya nuru isiyo ya kawaida na utumiaji wa nguvu kwa njia ya kushangaza ni istilahi chanya ya nguvu itendayo nje ya maarifa ya kawaida ya Mwanadamu. Kinyume cha Muujiza ni Uchawi; Uchawi/Black magic/ Witchcraft/Magism hii ni Elimu ya juu iliyo nje ya...
  5. Top Gun

    Hivi hii miujiza ya manabii/mashehe feki wanaitoa wapi?

    Kwa mujibu biblia na utabiri ndani yake, manabii feki wataweza ku perform miracles kwa kulitaja jina la Yesu. So hawa watu wame master uwezo wao binafsi maalum namna ya kufanya miujiza? wananaenda kupokea uwezo kutoka mahala maalum? Ni waganga wa jadi ultra prom max? Karibuni.
  6. Damaso

    Wachungaji Wanaodai Miujiza ya Uponyaji wakatoe huduma kwa wagonjwa mahospitalini.

    Katika jamii ya kisasa, ambapo maendeleo ya sayansi na teknolojia yanazidi kuimarika, kuna wachungaji na viongozi wa dini ambao wanadai uwezo wa kufanya miujiza, ikiwa ni pamoja na kuponya magonjwa makubwa na matatizo mengine ya kiafya. Wachungaji hawa mara nyingi hutumia majina ya Mungu au...
  7. R

    Ninyi wahubiri miujiza fanyeni haya niwaamini

    Kila siku kualika watu waje kwenye makutaniko yenu ili wapate miujiza ya uponyaji. Slogan zenu za WAGONJWA WATAOMBEWA nataka muonyeshe kama kweli huyo Yesu Kristo anatenda kazi pamoja na ninyi basi: 1. Fufueni wafu 2. Waponyeni amputees ( watu waliokatwa miguu au mikono). Msilete hadithi za...
  8. G

    Hivi mliojenga hapa mjini, mliwezaje? Mna miujiza ama ni wezi?

    Kila kitu hapa mjini kinahitaji hela, unawezaje kusevu hela mpaka ufike hatua ya kujenga? Na ukichukuwa mkopo benki ndiyo hatari zaidi. Kama ni mkopo wa kutegemea mshahara utakuta unakuwa mteja wa kausha damu, na kama ni biashara utaona inakufa mbele ya macho yako. Mjini mambo yote yanahitaji...
  9. Magical power

    Nilitamani sana nione miujiza ya Mafuta ya upako na udongo wa upako miujiza ya uokoaji na uponyaji pale Kkoo.

    Nilitamani sana nione miujiza ya Mafuta ya upako na udongo wa upako miujiza ya uokoaji na uponyaji pale Kkoo. Kadhalika na wale masharifu feki na wazee wanaodai wanamvuta mpenzi alioko mbali wakawavute na ndugu zetu kutoka katika janga lililowakuta.
  10. bjhjhj

    Watumishi makanisa ya kiroho muwe mnaenda na mahospiltali kufanya miujiza msitufanye wajinga

    Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule. Mie nahisi kuna jambo nyuma ya pazia
  11. A

    Wakristo na Miujiza

    Amani iwe nanyi. Kadri siku zinavyosogea vinaibuka vizazi hatari kuliko maelezo, karibu asilimia 90 ya wakristo hawasomi hata maandiko (BIBLIA) wanajiendea tu kama kondoo aliepotea. Katika Biblia takatifu MUNGU amesisitiza sana kufanya kazi, lakini unashangaa Kuona wakristo wengi leo hii...
  12. Kaka yake shetani

    Ni miujiza mtoto mchanga kukaa siku tatu kwenye shimoni la chooni akiwa hai. Hongereni Jeshi la zimamoto na mtoa taarifa

    Tukio lemetokea huko Dodoma yani ushuzi wa binadamu uwezi kuimili ila cha kushangaza mtoto kaweza kuishi siku 3 . Huyu mtoto anaweza kuwa miujiza mtoto. Tukio limetokea huko Dodoma
  13. Teko Modise

    Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

    Huo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe! Ujinga, maradhi na umasikini is real.
  14. Mad Max

    World Cup Qualifiers | Group Stage Matches | Africa

    Leo kuanzia saa 4 kuna mechi nyingi sana za WC Qualifiers zinachezwa, kwa ngazi ya makundi. Sisi tulitakiwa tucheze na Elitrea Jumatatu tar 3 ila ilihairishwa. Hadi sasa mechi zilizopo: Guinea Bissau 0 Ethiopia 0 FT (hii ilikua mapema) Mali 1 Ghana 1 Senegal 1 DR Congo 1 Benin 1 Rwanda 0...
  15. Eli Cohen

    Waafrika tuna shida sana na ndizo zinazo wafanya irene uwoya na wenzio kutokupitwa na fursa ya kufaidika na hamu yetu ya kupata miujiza na faraja.

    Niliona uzi humu eti mtu anataka afarijiwe kuhusiana na yeye kupenda huduma mpy ya Irene Uwoya. Yalianza na jamaa aliekuwa Lugombas. Sasa ni irene uwoya kutumia ushawishi wake kupata kondoo. Simaanishi Mungu hawezi kuinua muhuni then akawa mtumishi wake ila tusikubali wahuni watuaminishe...
  16. Victor Mlaki

    Mafundisho mapya ya kuhusu miujiza (masuala ya kiroho) kutolewa na Kanisa leo: Kwa nini historia inajirudia leo kutoka mwaka 1978?

    Mafundisho mapya ya kanisa kuhusu "matukio ya kimuujiza" yatatangazwa kwenye mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika na Vatican siku ya Ijumaa. Taarifa hii imechapishwa kwenye tovuti ya Ofisi ya Vyombo vya Habari ya Holy See, na ndio sababu baadhi ya machapisho yameripoti kimakosa kuwa...
  17. Eli Cohen

    Hauwezi pambana na intel ya USA. Jamaa wanajua kile unachotaka kuwafanyia na kama hawajui watakupata tu baada ya kuwafanyia

    Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi ilikuwa ishasema ndani ya masaa 24 au 48. Kilichotokea kiliendana sawa sawa na kauli za viongozi wa...
  18. FaizaFoxy

    Mazayuni wanakiri miujiza na maajabu wanayokumbana nayo Gaza

    Tafsiri kwa msaada wa google. Mwanajeshi wa Kizayuni; Abu Ubaidah ni Jinn hatuwezi kuendelea kupigana nae. Ndugu na dada wapendwa katika siku za hivi karibuni Madai ya kushangaza yametolewa kuhusu Kiongozi wa Hamas Abu Ida Israel Wanajeshi wanasema kuwa Abu obida si binadamu lakini kwa kweli...
  19. Pascal Mayalla

    Serikali iingilie kati Makanisa ya Miujiza? Watanzania masikini wa kutupwa wanakamuliwa mamilioni kwa utapeli huku wahubiri wakigeuka mamilionea

    Wanabodi Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za kwa maslahi ya taifa. Topic ya leo, ni kutoa wito kwa Serikali yetu kuingilia kati kitu kinachoendelea kwenye baadhi ya makanisa ya wakovu yanayojinasibu kufanya miujiza, kutoa mapepo, kutoa uchawi na kufanya miujiza ya...
  20. KING MIDAS

    Wanawake wengi wazuri wanatuingiza gharama kubwa na kitandani hawana miujiza. Watoto wa Uswazi ni watamu sana ila wachawi kama Mshana Jr

    Hii saa tano kasoro, natoka Ledgers Plaza Bahari Beach, kufanya zinaa na mwanamke asiye mke wangu, ila tu ni hawara. Kiburi na dharau na jeuri ya mke wangu inanifanya nipoteze hamu naye kabisaaa. Mwanamke ana gubu, ana matusi, ana masimango na kila kitu cha pepo mchafu, licha ya kwamba ana...
Back
Top Bottom