miujiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Kamanda wa kikosi cha Urusi nchini Ukraine asema hali ni tete katika jiji la Kherson

    Kwa kichapo ambacho Warusi wamekua wakipokea, tumeshuhudia hadi timu humu JF walikua wameufyata kwa aibu, ila baada ya huyu jenerali kuteuliwa kuongoza mashambulizi, ghafla nimeona muamko mpya kote. Watu wanamsifia kwamba huwa hana huruma, ana sifa za kuua watoto na wananchi wa kawaida kule...
  2. Binadamu Mtakatifu

    Je, binadamu anawezaje kufanya miujiza?

    Toka kujielewa kwangu mimi nimependa sana kurahisisha kazi ila kama tujuavyo mashine zinaturahisishia kazi ila sidhani kama inazidi miujiza najua kuna wataalamu wengi humu waje watueleze mimi binafsi napenda miujiza ya kunyanyua vitu bila kushika ni jinsi gani nitafanya hili bila kutumia...
  3. BARD AI

    Wema: Mungu ananitendea miujiza

    Msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu, amesema anamshukuru Mungu kwa kumtendea muujiza, kwani mambo yake hivi sasa yanaenda vizuri. “Nafurahi mno mwezi huu, kwa sababu baadhi ya vitu vyangu vinakwenda sawa kama ninavyotaka na nilivyopanga, kiufupi Mungu amenitendea miujiza. “Jamani mniache tu...
  4. A

    SoC02 Jinsi imani ya miujiza inavyopotosha jamii

    Imani ni hakika na bayana ya mambo yatarajiwayo, ni kuwa na hakika na jambo kutokea au kutimilika pasipo shaka. Kila mtu amekuwa na kile anachokiamini, japo kuwa sote tunaamini uwepo wa Mungu. Ni nadra sana kusikia mtu haamini uwepo wa Mungu. Hii yote imetokana na hitaji la mwanadamu katika...
  5. N

    CAF Super League: Simba SC uhakika, Yanga SC labda itokee miujiza

    Muundo wa CAF super league huu hapa wajameni, Southern and Eastern Africa zinaingiza timu 8 na kila nchi isitoe zaidi ya 3 ila inategemea klabu ina ubora gani kwenye rankings za CAF siyo kwa maneno maneeeenooo Kwa haraka haraka Kusini na Mashariki mwa Afrika TOP 8 TEAMS Mamelodi(6)...
  6. Binadamu Mtakatifu

    Nina kuonyesha miujiza

    Haya sasa itazame na unambie unaona nini?
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

    Hili ni swali tu katika kujua uweza na uwezo wa nguvu za Jina la Yesu katika kutenda miujiza. Yesu alipata kuishi yapata miaka 2019 iliyopita. Je inakuwaje jina lake leo lisemwe kwamba lina nguvu sana katika kutenda miujiza? Kuna manabii wengi sana na mitume wengi wamepita, kina Krishna...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Congo: Wachawi wafanya tamasha la hadhara kuonyesha nguvu walizo nazo za kufanya miujiza. Waazimia kuutumia uchawi kukuza uchumi na maendeleo

    Wachawi nchini Congo 🇨🇩 DR wamefanya tamasha la wazi lenye nia ya kuonyesha nguvu na uwezo waluo nao. Wachawi hao kutoka majimbo 12 walikuwa wamevalia mavazi yenye rangi kali na waliweza kuonyesha shughuli zao mbalimbali ambapo waliiomba serikali ya nchi hiyo iwapatoe leseni ili waweze...
  9. GENTAMYCINE

    Sisi ambao hatutekwi na Wahubiri Waongo wa Miujiza ndiyo hatuna Akili au waliotekwa nao ndiyo hawana kabisa Akili?

    Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako. Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe...
  10. Leak

    Waziri January Makamba, siku mbili za miujiza ulizotuahidi tunakukumbusha zimekwisha

    Waziri siku ya Jumatatu ulitoa tamko na kutuahidi watanzania kuwa baada ya siku mbili utakuja na suluhu ya tatizo la umeme na ukame unaoikabili nchi yetu kwa sasa. Waziri leo ni Jumamosi lakini tunaona uko kimya wala huna habari kabisa na umesahau kama ulitoa ahadi ya kutupatia muujiza ndani...
  11. B

    Maandalizi ya uchaguzi 2025 yazingatie mikakati ya 2020 maana hakuna miujiza ya sisi wana CCM kupenya sanduku la kura

    Dalili ya mvua ni Mawingu, na ukweli usiposemwa adharani utasema sirini. Hali ni ngumu, miyoyo ya watu imekunjamana, wanacheka na wewe ukiondoka wanakung'ong'a. Inshort huna watu nyuma yako na hakutatokea miujiza ukawa na watu nyuma yako Hadi pale utakaruhusu maridhiano ndani ya chama. Ni...
  12. and 300

    Imani, Upendo, Miujiza: Kutawala Dar leo

    Leo ndio Ile siku ya kutawanya Imani, Upendo na Miujiza jijini Dar. Karibuni Sana Kawe, Mbagala, Gongo la Mboto na Kimara. Hatumwi mtoto dukani leo.
  13. Leak

    Watu wa marketing / matangazo mnawaonaje wenzenu wa huyu mzungu wa upeno ,imani na miujiza?

    Hivi hawa watu walikuwa wana bandika mabango muda gani na matangazo yao? Wataalam wa matangazo na masoko mnawazungumziaje hawa jamaa waliofanikisha kutandaza vipeperushi dar nzima? Hawa watu wanafananaje? ni kampuni iliyopewa tenda Kila unayemuuliza kuhusu haya mabango na watu walio bandika...
  14. Mr. MTUI

    Huyu aliyebandika mabango ya Imani Upendo Miujiza ya mkutano wa dini Dar, achukuliwe hatua

    Matangazo yametapakaa Dar kuanzia kwenye nguzo za umeme, madaraja..mitaro n.k Anapaswa kushughulikiwa na kuamriwa kusafisha miundombinu aliyoichafua. ========= Uzio wa Yapi Merkez, eneo la Raha Leo-Dar Baadhi ya mabango yakiwa yameondolewa eneo la ujezi wa flyover-Chang'ombe
  15. FRANCIS DA DON

    Je, ni kwanini teknolojia mithili ya miujiza iitwayo ‘Neuralink’ haizungumziwi kabisa?

    Teknolojia hii inayohusisha kupandikiza kifaa kidogo mfano wa shillingi ndani ya fuvu ambapo viwaya vyembamba mara laki ya unene wa nywele, huchomekwa nankuungwa na neurons za ubongo, itawezesha binadamu kuzunguza kuwasiliana bila kufungua mdomo (sauti) wala kuandika (herufi). Teknolojia hii...
  16. L

    Miujiza ya mafanikio ya Kiuchumi ya China yaliyowezeshwa na chama cha CPC

    Tarehe mosi Julai 2021, Chama cha Kikomunisti Cha China CPC kiliadhimisha miaka 100 tangu kianzishwe. Katika hafla kubwa ya kuadhimisha karne moja, Rais wa China Xi Jinping ambaye pia ni Katibu wa Kamati Kuu ya CPC alitangaza kuwa China imetimiza lengo la kwanza la karne la kujenga jamii yenye...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Code za Uchawi na Miujiza; Fahamu haya machache

    CODE ZA UCHAWI NA MIUJIZA, FAHAMU HAYA MACHACHE. Na, Robert Heriel. uchawi ni nguvu za Giza zinazotenda kinyume na akili ya mwanadamu. Miujiza ni nguvu za Nuru zinazotenda kinyume na akili ya mwanadamu. Ili Jambo liitwe uchawi au muujiza lazima liende kinyume na akili ya mwanadamu, liende...
  18. S

    Ni miujiza? Mbona viongozi hawazimii?

    Kwenye kuuaga mwili wa hayati Hayati Magufuli tunaona wananchi wa kawaida tu ndio wanazimia, kudondoka na baadhi hata kufa. Mbona sasa hatuoni haya yakiwapata viongozi, hasa waliokuwa karibu zaidi na hayati? Au ni kweli kuwa wananchi wanyonge tu ndio walimpenda, wengine walipenda matumbo yao?
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    Msitu wa mauzauza wa Hoia-Baciu Romania

    Nchini Romania, Kusini Magharibi mwa nchi hiyo, jirani na mpaka wa nchi ya German ndiko hupatikana msitu wa wauzauza wa Hoia-Baciu. Tukiachana na msitu wa mauzauza wa Njombe tuliouzoea, msitu wa mauzauza wa Hoia-Baciu ni noma, hauna kuku wa maajabu, ila una maajabu ya kutisha. Katikati ya...
  20. E

    Kama ni miujiza, Tanzania ya viwanda inawezekana; kama ni mpango mkakati, tumeshindwa kabla ya kuanza

    Rais Magufuli anaweza kuwa na ndoto nyingi sana juu ya Taifa hili lkn naamini ameshindwa kabla ya kuanza. Tuanze na hiki ninachokisikia mara kwa mara kikitamkwa na rais na watendaji wake Tanzania ya viwanda. Je Tanzania ya viwanda yaweza kufikiwa? Jibu ni Hapana. Sababu ni zifuatazo: 1...
Back
Top Bottom