Mfumo wa ununuzi wa TANePS pamoja na changamoto zake, ulikuwa mfumo mwepesi kujisajili na kuutumia. Changamoto zilizoifanya TANePS iondolewe, ni hizo hizo zinaikumba NEST kwa sasa.
Mfano ilikuwa inalalamikiwa kwamba mfumo wa TANePs ulipokuwa na hitilafu za kiufundi, ilipaswa kuitafuta kampuni...
Mambo mengine ni ya kwetu kabisa wala sio miujiza. Maana kikanuni Mungu hapendi kuingilia mambo binafsi ya watu na kuyaendesha kwa mkono wa chuma. Tunajiamulia wenyewe.
Sasa wewe endelea kusubiri au kuamini katika miujiza utakoma. Au utakomeshwa.
Mnasikia saivi kuna vita kati ya Israel na...
MTAFUTENI MUNGU SIO MIUJIZA;
Maombi ya Asubuhi 🔥
Zaburi 98
1 Mwimbieni Bwana wimbo mpya, Kwa maana ametenda mambo ya ajabu. Mkono wa kuume wake mwenyewe, Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.
2 Bwana ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.
Sisi wana wa Dunia...
Manabii na Mitume wengi walikuwa ni watu wa Kutenda miujiza mikuu ya kudhihirisha uwepo wa MUNGU mkuu.
Mfano;
1. Musa: Alitenganisha Bahari kuwaokoa wanaisraeli.
2. Eliya: Alifufua mtu aliyekufa
3. Elisha: Alifufua mtu aliyekufa na kuponya waliugua
4. Yesu: Huyu alifanya makuu mengi sana...
Shetani anatajwa kwenye maandishi matakatifu kuwa ni baba wa uongo, na tumeamini hivyo, lakini kuna vtu ambavyo shetani na makuwadi wake wa soķo huria wakiwemo manabii feki, wachungaji feki, mashehe wa mchongo, waganga na wachawi hawajawahi kuiiga.
1. Bikira kupata mimba bila mwanaume
2...
Kwenye harakati za kutumia remote control huku na huku nikaifikia channel ya Clouds nikakutana na tamasha huyu nabii huko viwanja vya leaders Club Dar.
Watu wanapokea miamala ya miujiza kwenye simu zao mmoja apa kapokea 43,000/= mmoja ndo kanikata asee yeye kapokea dola 200M etc
Anachosema...
Vioo tunavyotumia kujitazamia au vilivyoko ktk nyumba zetu inasemekana kuwa na uwezo mkubwa wa kiroho. Soma hapa na utoe maoni yako.
Kioo ni kitu ambacho kinatakiwa kutunzwa na kutazamwa kwa umakini zaidi kwakuwa ni kitu Flagile yaani kinavunjika kwa urahisi.
Tujue kwanza kioo hutengenezwa na...
Amani iwe kwako mwanaJF unayesoma uzi huu.
Mahitaji
1. Bamia mbichi 2 (zisizokomaa)
2. Bilauri ya maji (nusu lita)
Maelekezo
Safisha bamia kwa maji safi, kisha zikatekate vipande. Unaweza kuzichana katikati mara nne ili ukizikatakata zionekane kama vibanzi vya chips.
Tumbukiza vipande vya...
Nimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.
Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.
Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.
Nadhani ile...
Kuzungumzia kuhusu maswala ya kujitoa uhai hadharani kunaweza kuwa na athari tofauti kwa watu tofauti,. Hata hivyo, kuna baadhi ya mambo ambayo yanaweza kuchangia kuongezeka kwa idadi ya visa vya kujitoa uhai ikiwa suala hili litazungumziwa kwa njia isiyofaa au isiyo sahihi. Hapa kuna mambo...
Time is too short, siku si nyingi sikukuu ya wafanyakazi inakuja. Je wewe kama mwalimu umejiandaaje? Umejiiandaa kuwa Chawa wa mama ili umsaidie ushindi 2025 kwenye box la kura au umejipanga kufanya harakati zenye Nia ya kumkomboa mwalimu kutoka kwenye ufukara wa kutia aibu.
Naomba tuende Sawa...
Najua maumivu waliyonayo upande wa pili ni makali sana, wivu ukijumlisha na chuki vinawafanya wawe na hali mbaya sana zikiwemo stress za kujitakia.
Pamoja na hayo yote bado ukweli unaendelea kubaki vile vile ya kuwa mpira hauna cha short cut, mpira ni uwekezaji na project za maana ili upate...
huyu ni mama mdogo wangu na nipo karibu sana na mtoto wake ambae huwa ananiambia vitu vingi.
Ni kwamba mtoto wa mama mdogo alipokuwa mdogo akiwa na umri wa miaka 9 aliumwa malaria, hali yake ilikuwa mbaya sana ikabidi apigwe sindano za quinine (kwinini)
Hii dawa kama mtakumbuka hapo zamani kwa...
Naona taratibu sasa Mwamposa anataka Kupunguza Waumini wake ili akajikite sasa Kusimamia Miradi yake mingi na Biashara zake nyingi zenye Utajiri mkubwa kuliko Umasikini Uliokomaa wa Waumini wake wanaomuona Mungu Mtu hapa Dar es Salaam na Tanzania.
Kwasababu kama ni Maombezi hayo ya Uwongo na...
- Wakuu leo katika pita pita zangu nimepita sehem mmoja hivi kariako mtaa wa sikukuu ! hapo Nilikutana na wanaa basi tukapiga piga stori mbili tatu na nisemee wazii nimepataa vituu adimu sana.
- Kwanza nimegundua kuwa ule msemo wa Adui mkubwa wa umasikini ni Elimu ni kweli kabisaa na hii ni...
Yaani nashindwa kuelewa Watu wanaosema/wanaoshuhudia wamepona baada ya kutumia mafuta na maji ya upako. Wapo wanaosema wamekunya au kutapika au kujifungua; kobe, hirizi, panya, tandu, jongoo, nyoka, toothpick, nyuzinyuzi. Au wameua nyoka nje ya nyumba zao au paka.
Nisaidieni hii ni miujiza...
Eti wakuu sana. Miujiza ni kitu gani? Ni mambo yanayotokea yakipingana na sheria za asili au ni mambo yanayopata na sheria za asili lakini hatuwezi kuyaelewa sababu ya uwezo wetu mdogo?
Mambo yanaweza fanyika kinyume na sheria za asili? Inasemwa Mungu hutenda miujiza. Je hubadilisha sheria za...
Eti wakuu, maajabu na miujiza ni vitu gani? Ni vitu vinavyotokea vikipingana na sheria za ulimwengu au ni mambo yanayotokea lakini tunashindwa kuyaelezea kutokana na uelewa wetu?
Je kitu kinaweza kutokea na kupingana na sheria za ulimwengu/fizikia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.