Yaani nashindwa kuelewa Watu wanaosema/wanaoshuhudia wamepona baada ya kutumia mafuta na maji ya upako. Wapo wanaosema wamekunya au kutapika au kujifungua; kobe, hirizi, panya, tandu, jongoo, nyoka, toothpick, nyuzinyuzi. Au wameua nyoka nje ya nyumba zao au paka.
Nisaidieni hii ni miujiza...