miundombinu

  1. OKW BOBAN SUNZU

    Dauda: VAR itawekwa kwa miundombinu ipi?

    Kwangu nadhani ili Tanzania tuweze kupiga hatua, VAR ni kitu cha baadaye sana. Kwanza inabidi tuwekeze kwenye kuendeleza kiwanda chetu cha michezo kabla ya masuala mengine ambayo yanaweza kufanyika baadaye sana. Ni wazo zuri kufunga VAR lakini kwangu wazo zuri zaidi kwa sasa ni kuwekeza kwenye...
  2. Suley2019

    TANESCO Kilimanjaro yatoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme

    Salaam Wakuu, TANESCO kilimanjaro imetoa ratiba ya matengenezo ya miundo mbinu na namna ambavyo mgao utafanyika kuanzia Februari 1 mpaka Februari 10. Tazama ratiba hii katika picha hizi hapa chini. PIA SOMA: TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima (28/01/2022)
  3. beth

    Upepo, mvua zaathiri miundombinu ya umeme

    Upepo mkali na mvua kubwa ambazo zimeendelea kunyesha maeneo mbalimbali hapa Nchini zimeathiri Miundombinu ya Umeme Shirika la Umeme Nchini limeeleza kuwa hali hiyo imepelekea baadhi ya wananchi kukosa huduma ya umeme kwa nyakati tofauti Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), imetoa tahadhari ya Mvua...
  4. The Sunk Cost Fallacy

    Tanzania tunakwama wapi? Inakuaje tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwenye Miundombinu bora ya Barabara?

    Kazi iendelee! Ni jambo la kushangaza kwamba Tanzania tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwa mtandao na ubora Wa barabara isipokuwa Burundi. Hivi kama Nchi hatuna dira,malengo na mkakati wa kutekeleza kwenye kila sekta Ili tupate ufanisi? Inakuaje kila kitu tuko nyuma? Tena tunazidiwa...
  5. At Calvary

    Vipi kuhusu suala la Machinga; bado utaratibu unazingatiwa na je, kuna miundombinu wezeshi?

    Habari zenu wakuu. Bila shaka mnafanya vyema katika ujenzi wa taifa. Tuwe wazalendo, tupendane. Haya moja kwa moja kwenye mada. Kuhusiana na machinga. Hapo mwanzoni mwa utawala wa Samia sakata la machinga lilichukua taswira pana. Kukatokea movement kibao na matamko ya kutosha toka kwa...
  6. Fatma-Zehra

    Wizara zetu hazieleweki. Ila Elimu, Ardhi na Miundombinu "zitakufa" mapema zaidi

    Hakuna kiongozi wa wizara ya Elimu (hawa wapya) anayefahamu matatizo ya elimu yetu. Elimu yetu inaweza kufa kabisa. Soon, very soon, Presdent Samia atafanya mabadiliko tena. Kule ardhi mama ameshauriwa vibaya. Lukuvi anaweza kutolewa na ardhi isiyumbe. Ila katibu mkuu wake, yule Mary, hakutakiwa...
  7. beth

    Ripoti ya CAG 2019/20: Upungufu wa Miundombinu kwenye Shule za Msingi na Sekondari

    Kutokana na utelekezaji wa Sera ya Elimu Msingi bila malipo ya mwaka 2015/16, kumekuwa na ongezeko la wanafunzi kila mwaka. Ongezeko la wanafunzi lilipaswa kwenda sambamba na uboreshwaji wa miundombinu ya shule kama vile vyumba vya madarasa, madawati, matundu ya vyoo nk. Kwa mwaka 2019/20, CAG...
  8. 0890

    Maktaba Kuu ya Taifa

    Natumaini ndugu ni wazima katika harakati za kurijenga taifa. Katika nchi yeyote ile elimu ni jambo muhimu sana ili kusaidia taifa kuendelea, kwa mtazamo wangu sioni kama taifa tunaweka nguvu nyingi katika kukuza elimu yetu na miundombinu yake. Nyumba imara ni ile yenye msingi imara sio paa...
  9. J

    Dkt. Mpango: Singapore kuboresha Bandari ya Dar es Salaam kwenye Miundombinu na Menejimenti ili iwe ya kisasa barani Afrika!

    Makamu wa Rais Dr Mpango amesema ameongea na wataalamu wabobezi wa mambo ya bandari ambao watakuja nchini kuifanyia maboresho makubwa bandari ya Dar es Salaam. Dr Mpango ambaye alikagua teknolojia za kisasa za bandari zinavyofanya kazi amesema Singapore itaboresha miundombinu na menejimenti ya...
  10. J

    DC Jokate akagua miundombinu ya masoko Wilayani Temeke

    DC JOKATE: AKAGUA MIUNDOMBINU YA MASOKO WILAYANI TEMEKE Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegelo amefanya ziara ya ukaguzi wa miundombinu katika maeneo ya masoko waliyohamishiwa wafanyabiashara Wadogo maarufu Machinga, leo Novemba 10,2021 huku akiambatana na baadhi ya viongozi na wakuu wa...
  11. I

    Njia ya TAZARA imeanza kuhujumiwa rasmi?

    wakuu sana. hizi taarifa za treni zinazotumia njia ya TAZARA kuacha njia zimekuwa nyingi mno. nadhani kila mwezi kuna taarifa moja au mbili za treni kuacha njia ama upande wa Tanzania au ule wa Zambia. taarifa za hivi punde zinasema kuna treni imeacha njia Mlimba. juzijuzi tu hapa zilitoka...
  12. J

    Zaidi ya bilioni 200 kutumika kutandaza mkongo wa Taifa wa mawasiliano wenye urefu wa 4244km kwa kutumia miundombinu ya TANESCO

    ZAIDI YA BILIONI 200 KUTUMIKA KUTANDAZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO WENYE UREFU WA 4244KM KWA KUTUMIA MIUNDOMBINU YA TANESCO "Tunamshukuru sana Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia fedha zaidi ya bilioni 200 kwa lengo la kutandaza Mkongo wa taifa wenye urefu wa 4244Km kwa kushirikiana...
  13. L

    Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” lasaidia Afrika kuboresha miundombinu ili kupata maendeleo

    Huu ni mwaka wa nane tangu China itoe pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja”. Katika kipindi hicho, ujenzi wa miradi ya ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kutokana na pendekezo hilo umepamba moto, na kusaidia nchi za Afrika kuboresha miundombinu ili kupata maendeleo ya uchumi. Hali...
  14. Yoda

    Utalii kitaifa hauhitaji vivutio vingi na matangazo; unahitaji historia, siasa, muingiliano, biashara na miondombinu

    Mataifa yanayofanya vizuri na kuongoza katika utalii duniani ni pamoja na; Ufaransa, Hispania, Marekani, China, Italia, Uturuki, Mexico, Ujerumani, Uingereza. Kwa Africa ni South Africa, Misri, Morocco, Algeria, Zimbabwe, Mozambique, Ivory Coast, Kenya na Botswana. Ukiyatazama mataifa haya kwa...
  15. Lole Gwakisa

    Machinga mentality: TANROADS mpo? Miundombinu ya serikali sasa inaingiliwa!

    Sipingi biashara huria kakini this is too much! Hapo ni Mbezi Beach Goig, Bagamoyo Road. Miundombinu ya barabara inapogeuzwa kuwa na matangazo ya watu binafsi, hii ndio laisszes faire yaani machinga mentality kushamiri ndani ya wananchi. Mitaro inazibwa bila aibu. Taka zinatupwa barabarani ...
  16. U

    SoC01 Uboreshaji wa Miundombinu ya usafiri na usafirishaji Vijijini ni kichocheo cha Maendeleo

    Miundombinu ya usafiri na usafirishaji inajumuisha njia zote za usafiri na usafirishaji kama vile barabara, reli, anga na usafiri wa njia ya maji(bahari, maziwa na mito na mabwawa). Miundombinu hii ni kichocheo kikubwa cha maendeleo na ukuaji wa uchumi wa taifa na mtu mmoja mmoja. Lakini kwa...
  17. J

    Waziri Ummy: Masoko na Stendi zote zinazomilikiwa na TAMISEMI kujengewa Visima vya Maji ili kukabiliana na moto

    Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza. Chanzo: Radio One
  18. L

    Kutaja China si jibu kwa Marekani inaposhughulikia tatizo lake la miundombinu

    Kwa siku kadhaa, matukio ya kiusalama yaliyosababishwa na miundombinu iliyozeeka yametokea katika sehemu mbalimbali za Marekani, na kubadilisha maoni ya watu juu ya nchi hiyo iliyotajwa kama ni “gwiji wa mwanzo kabisa wa miundombinu”. Ili kushughulikia tatizo hili, rais Joe Biden “alifanya juu...
  19. TheDreamer Thebeliever

    NEMC wasikamate tu mifuko ya plastiki; waangalie miundombinu ya mifereji Dar, wasingoje mafuriko ndio wamtafute mchawi

    Habari wada! Naomba nichukue nafasi hii kuwakumbusha hawa ndugu zetu wa NEMC hususa kipindi hiki cha kiangazi, kuangalia na kukagua miundombinu ya mifereji yetu ya jiji la Dar es Salaam. Naona NEMC wamekuwa kama wanazima moto vile kwenye baadhi ya mambo ambayo ni wajibu wao hususa miundombinu...
  20. GENTAMYCINE

    Mnaokataa Chato isiwe mkoa, kuna swali moja kwenu

    Je, hawa Watu (wakimaanisha nyie wana JamiiForums) wanaokataa Chato isiwe Mkoa mbona Katavi (sasa Mkoa) Kijiografia ni Mdogo kuliko Chato na haina Miundombinu mizuri (hasa barabara) kama Chato lakini umekuwa Mkoa na wala hamkulalamika na kusema lolote ila kwa Chato Macho yamewatoka kama Bundi na...
Back
Top Bottom