MBUNGE MAVUNDE AANZA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIWANJA VYA MICHEZO VYA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI DODOMA JIJI.
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ameanza kuboresha miundombinu ya viwanja vya michezo katika shule za Msingi na Sekondari za Jiji la Dodoma kwa kulenga la kukuza...
Kuna majirani wanajua sana kujinadi, yaani makelele kila wakijenga chochote, sasa hapa taarifa za kitaalam ambazo huchuja uchafu wa makelele na kuonyesha hali kama ilivyo.
The Africa Infrastructure Development Index (AIDI) is produced by the African Development Bank. The AIDI serves a number of...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema kununua ndege siyo kipaumbele sahihi kwa maendeleo ya nchi yetu ukilinganisha na Elimu, Afya na Miundombinu.
Mbowe amesema uwekezaji kwenye ATCL unahitaji mtaji mkubwa, utaalamu uliotukuka kwa watu wetu na mbinu za kisasa kuhimili ushindani wa soko...
Na All - Rounder nawaombeni enyi Watoa Majina Siku zingine kabla ya kutoa Majina ya Watendaji wenu au Wanasiasa muwe mnatuambia Kwanza Watanzania ni nini au kipi cha maana na chenye Tija kwa nchi na Jamii hao (hawa) Wahusika wamekifanya na Kinaonekana.
Nami naomba Mradi wa Umeme Rufiji au ule...
Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana.
Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na...
Serikali kupitia Mfuko wa Barabara (Road fund) imesema ipo tayari kupitisha kiasi cha shilingi bilioni nne kwa ajili ya kumlipa mkandarasi atakaepatikana ili kuboresha miundombinu ya Jangwani mara baada ya uhakiki wa makisio hayo kukamilika na kujiridhisha.
Akizungumza kwa niaba ya wajumbe wa...
JESHI la Polisi nchini limewafikisha mahakamani watu saba wakituhumiwa uhujumu uchumi kwa kukutwa wakisafirisha vyuma chakavu vikiwemo vyuma vilivyoibiwa kutoka kwenye miundombinu ya reli.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amekemea vitendo vinavyofanywa na baadhi ya watu wasiowahaminifu kwa kuhujumu miundombinu ya reli jambo ambalo linaiingizia serikali hasara kubwa kutokana na uwekezaji unaofanywa.
IGP Sirro amesema hayo leo wakati alipofanya ziara ya kushtukiza...
Achaneni na Simba jana wamecheza na team Dhaifu. Sisi leo tunamchakaza Namungo macho makavu kabisa. Miundo mbinu imeshafanyika analala kwa Bao 3-0 mapema tu.
Namungo hamna kitu hapa. Hawa tunawamudu sana. Tunawagonga tatu na point zetu 3 tunajishindilia kileleni. Mwaka huu Kombe letu. Piga ua...
Shirika la Kimataifa la Fedha (IMF) limetoa ripoti kitabu cha kuonesha namna bora ya kufanya miradi ambayo itakuwa na uchumi jumuishi ambao utapunguza tofautii kati ya walionacho na wasionacho.
Kitabu hicho kimeonesha miradi ya serikali huwa ya gharama sana na huwa haina ubora. Pia huwa haina...
Ndio yanayojadiliwa sasa na vyombo vya habari vya nje vikiwahoji watu mbalimbali nchini, ni mjadala wenye usawa na haki sio kama ule wa TBC fuatilia kwenye redio kupitia DW sasa.
Inaonekana watu wamechoka na sera zilezile za miundombinu.
Morogoro Road
Jangwani
Picha chache kuonyesha yaliyotokea jana yanadhihirisha kuwa kuna sehemu tumelala.
Mvua hiyo kubwa inaelekea imeonyesha udhaifu mkubwa wa miundombinu ya maji jijini Dar es salaam.
Kwa miongo ya miaka, Halmashauri za Jiji na Serikali kuu zimeendelea kupuuzia namna ya...
Dah,
Muda huu Saa Nane na Nusu usiku ndo naingia home. Nimetoka Stesheni saa kumi na moja jioni, gari ilikua nusu tank but kufika Victoria imeisha mafuta Sababu ya Foleni. Nimeingia hasara kununua tena mafuta Sababu tu ya kifoleni-mshenzi cha Palm Beach.
Nimeshinda na Njaa muda wote huo...
Umati wa watu uliofurika kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni ya CCM mkoani Tabora leo tarehe 21 Septemba 2020
Baada ya kuwasili na kukaribishwa, awasifia wana Tabora kwa ushiriki wao katika kutafuta uhuru. Amesifia Tabora ya leo kwa kuwa na nyumba nzuri nzuri...
Jamani ni kweli tunafata nyayo za Ethiopia? Nauliza maana ni kama tunaanza kufanana ndege, mareli, umeme miradi, mbona kama tunafanana nao tu halafu wao pia hawatoagi ajira na serikali inadhibiti kila kitu.
Halafu wao wanaangalia maendeleo ya vitu kama sisi tu tumeanza kufanana nao.
Naogopa...
Ni pale alipokuwa kwenye uzinduzi wa ujenzi wa barabara mkoani Kilimanjaro akiwa na Mhe. Magufuli,alisema, suala la maendeleo lisionekene au kuchukuliwa kuwa ni la siasa.
Ni kweli kabisa kuna baadhi ya wanasiasa hasa wasioelimika, wengi wao huzuia miradi mingi ya maendeleo mfano ujenzi wa...
Huyu mgombea ambaye ndiye Rais amalizaye muda wake na anaomba tena watanzania wampe tena miaka mingine 5 ili aendeleze kipaumbele chake kwenye kununua ndege, kujenga madaraja, kujenga reli, kujenga viwanja vya ndege na yanayofanana na hayo.
Lakini hebu tujiulize ameyafanya hayo miaka yote 5...
Ama kweli Rias Magufuli ana kiburi.
Haiingii akilini anakuja na mipango ambayo kwa namna moja ama nyingine, kwa kiongozi wa nchi ni mipango ya upande mmoja. Alishindwa kuweka mzani wa alipotoka na vitu vyake vs watu aliowaongoza ili ajue afanye nini. Kushindwa kufanya hivyo ni tafsiri kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.