Wakuu tuwe wakweli kidogo naamini humu wapo wengi wana hilo tatizo sijui ndo fangasi kwa zaidi ya mwaka mmoja lakini kila siku wanaahirisha kwenda pharmacy kutafuta dawa.Unakuta ukiwaza kwenda unasema kesho, kesho ikifika unasema wiki ijayo, mwisho wa siku miezi inapita na hata mwaka unapita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.