Ni nini kinakufanya usiende pharmacy kutibu miwasho sehemu za siri

Ni nini kinakufanya usiende pharmacy kutibu miwasho sehemu za siri

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Wakuu tuwe wakweli kidogo naamini humu wapo wengi wana hilo tatizo sijui ndo fangasi kwa zaidi ya mwaka mmoja lakini kila siku wanaahirisha kwenda pharmacy kutafuta dawa.Unakuta ukiwaza kwenda unasema kesho, kesho ikifika unasema wiki ijayo, mwisho wa siku miezi inapita na hata mwaka unapita bado unaendelea kujikuna na kuishi na hali hiyo

Kipi hasa kinakuzuia.Huna muda?Unajisahau?Unaona si tatizo kubwa hivyo unaamua kuishi nalo?Unaona aibu kuelezea dalili zako kwa mfamasia?Karibuni tuseme ukweli, huenda sababu zako zikawasaidia wengine waache kuahirisha kutafuta matibabu mapema
 
moja ya kitu sijawahi weza vumilia ni io miwasho,,huwa natoka mbio kwenda pharmacy naeleza hadi inawasha vipi.
 
Wapo wengi wakina nani? Wewe upo pekee yako.

Sababu za mtu mwingine kutokwenda, zitamfanya vipi mtu mwingine aende? Mtu akisema haendi sababu anatumia miti shamba, hiyo sababu ndiyo itakufanya wewe uende phamacy?

Mbona kama uzi hauna uelekeo
 
Mi nilikunywaga fluconazole tablets siku 30 za mg 200 mpaka kesho najikuna japo so saaana
 
Back
Top Bottom