mizigo

  1. Zanzibar: Dkt. Mwinyi atembelea bandari ya Malindi pamoja na Maruhubi kwa lengo la kutatua kero ya ucheleweshwaji wa mizigo

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar pamoja na eneo la Maruhubi kwa ajili ya kutafuta muwarubaini wa ucheleweleshwaji wa kutolewa kwa mizigo bandarini hapo. Ziara hiyo ya Dkt. Hussein Mwinyi ni ya kwanza...
  2. Tujuzane uzuri, changamoto, gharama za kuagiza mizigo kutoka china kupitia Silent Ocean na kampuni nyingine

    Habari wadau, Nataka kuagiza mizigo kutoka China Nimejuzwa kwamba kuna makampuni yanahusika na kuleta mizigo mpaka hapa Tanzania. Sasa najua wengi pengine kwa haraka haraka mmeona ni heri ningeongea nao hizo kampuni moja kwa moja, Ni jambo zuri lakini kwa uzoefu wangu nimeona wataongelea tu...
  3. B

    Nahitaji kufungua ofisi ya kusafirisha mizigo na kufanyia clearance naombamsaada kwa mwenye uzoefu

    Ndio nataka kufungua ofisi ila nahitaji ushauri na kunielekeza pa kuanzia, usajili brela nina fahamu pa kuanzia ila sasa taratibu zingine mfano nini cha kufanya kama kuwa certified na TRA na process zingine. Msaada tafadhali.
  4. D

    Mwibara: Baada ya Tundu Lissu kuzuia njia ili kivuko kisishushe magari na mizigo, azua tafrani baada ya maiti kukwama kwenda kuzikwa. Tazama video

    Jana niliweka video humu ikionyesha Tundu Lissu kuzuia njia kwa magari yake ili kivuko kisiweze kushusha abiria na mizigo. Wapo waliosema kuwa nilikuwa nadanganya umma. Haya fuatilieni video hapo chini watu wanalalamika kuwa maiti zao zinachacha kwenye kivuko.
  5. S

    Uchache wa abiria na mizigo wafanya SGR nchini Kenya kuendeshwa kwa hasara. Je, Tanzania tutakwepa hali hii?

    Hi ni habari katika mtandao wa The Africareport.com ambapo imeripoti kuwa, uchache wa abiria na volume mdogo ya mizigo plus madhara ya COVID19, kumesababisha reli hiyo kuendesheshwa kwa hasara na sasa wanashindwa kulipa mkopo uliotumika kujenga reli hiyo. Habari hii inaeleza kuwa, tatizo...
  6. Uchaguzi 2020 Michango kwa Tundu Lissu: Huyu mbeba mizigo Kariakoo amenitoa chozi

    Katika Mishe mishe zangu Kariakoo kuna jamaa huwa ananishushia mizigo kwenye gari, Kijana mchangamfu mwenye bashasha na anependa sana kujadili mambo ya siasa, nimemfahamu kwa muda sasa.. anampenda sana Rais Magufuli... Sasa Jana kama kawaida niakenda kariakoo (Sijaonekana kwa muda)...
  7. Natafuta dereva wa magari ya mzigo anayekwenda Kenya Nairobi

    Habari wadau!, natafuta dereva wa magari ya mizigo anayekwenda kenya,ambaye anayeweza kunichukulia mzigo wangu kidogo kutoka nairobi kuleta Tz,anitext +255687234549,tutaelewana.
  8. K

    Treni ya kwanza ya mizigo yafika Arusha baada ya miaka 30

    DC Arumeru Leo Tarehe 13/08/2020 Majira ya saa mbili kasoro asubuhi tumepokea Gari Moshi (train) ya majaribio ya kwanza ya mizigo baada ya miaka 30 ya kukosa huduma hii ya usafirishaji katika mkoa wetu wa Arusha. #ArumeruYetu
  9. Tanzania soon tunawapiga bao Kenya kwenye kupata mizigo mingi zaidi EA

    Ijumaa Karim ndugu zangu Watanzania. Tanzania kupitia bandari ya Dar kwa sasa imevutia kupitisha mizigo mingi hasa toka Burundi kwa ku-charge bei ambayo wateja wanaweza kumudu. Kwa mujibu wa gazetu la the East African ninanukuu "On average it costs $1.80 per kilometre per container to transport...
  10. J

    Uchaguzi 2020 Hivi Kamati Kuu ya CCM hamuwezi kututeulia wagombea wapya kabisa wa Ubunge? Ziara za Rais Magufuli zilithibitisha Wabunge wengi ni mizigo

    Kwa bahati nzuri niliweza kufuatilia ziara zote za Rais Magufuli katika awamu yake ya kwanza ya uongozi. Kila aliposimama kusalimia wapiga kura wake alielezwa matatizo lukuki na wananchi wa maeneo hayo kana kwamba hawana mbunge na hii ni ishara kuwa Wabunge wengi wa awamu hii ni mizigo...
  11. Uboreshwaji wa reli ya Nakuru hadi Kisumu kuanza, ili kuzidi kutia kapuni mizigo ya kwenda Rwanda, DRC na Burundi na Mwanza Tz

    Hizi ni jitihada za kuhakikisha reli bora inaunga kwenye bandari ya Kisumu iliyokamilishwa hivi majuzi, itasaidia pakubwa kuharakisha mizigo kuwafikia DRC, Rwanda na Burundi maana ikifika Kisumu inapokezwa kwenye meli. Izingatiwe hayo mataifa yanatumia pia bandari yetu ya Mombasa, na...
  12. Marine Salvage- (Uokoaji wa meli na mizigo)

    Marine Salvage ni kitendo cha uokoaji meli na mizigo endapo meli inataka kuzama, imepata hitilafu kwenye hali mbaya ya hewa baharini, meli imekwama au kupatwa na janga lolote. Kwanini inafanyika Marine Salvage 1. Kuokoa mizigo na vitu vya thamani katika meli 2. Kuzuia uchafuzi wa bahari endapo...
  13. Trucks and truckers special thread. Uzi maalum kwa wadau wa magari ya mizigo na wasafirishaji

    Sekta ya usafirishaji wa mizigo kwa kutumia magari (malori) ni muhimu sana hapa nchini na duniani kwa ujumla. Magari ya mizigo yanafika jirani zaidi na mlaji wa mwisho au sokoni ambako meli, reli na ndege haviwezi kufika. Uzi huu ni mahususi kwa kupeana taarifa mbalimbali kuanzia kwenye...
  14. Madereva wa Kenya waomba Serikali yao kuingilia kati kumaliza mgogoro na Tanzania

    Trucks caring goods are parked at Isebania border at Kenya customs parking yard on May 19, 2020. Six truck drives from Kenya were denied access to Tanzania, [Caleb Kingwara, Standard] Kenyan truck drivers urge the state to intervene and facilitate their release after being detained in...
  15. Uliza swali lolote juu ya kusafirisha mizigo toka Dar es Salaam kwenda Mikoani

    Uchaguzi wa Njia ya usafirishaji hutegemea mambo yafuatayo - 1. Thamani ya mzigo - 2. Ukubwa wa mzigo Mizigo yenye thamani kubwa na midogo chini ya KG 2, safirisha kwa njia ya EMS - Ni hakika na salama, mzigo utamfikia mlegwa kwa wakati. Kwa mizigo mikubwa bila kujari thamani yake, Njia hizi...
  16. Pamoja na makubaliano ya awali, ngoma bado nzito! Madereva wa Tanzania wamegoma kupeleka mizigo Rwanda

    Hali ya ubabe inaendelea mpaka wa Rwanda na Tanzania huku madereva wa Tanzania wakigomea kuingia Rwanda kwa sababu ya kunyanyapaliwa. Pamoja na jitihada za kuwabembeleza zinazofanywa na maafisa wa Rwanda kwa kuwaahidi hali itakuwa tofauti na awali lakini bado madereva wamesimamia kile...
  17. Baada ya Zambia kuufunga mpaka wa Tunduma na mizigo mingi ya Congo kukawia kufika Congo wajibu mapigo;wawakatia umeme Wazambia!

    Inaitwa man to man! Congo wamekata umeme wao wanaowazalishia Wazambia hiyo ni kwa hatua ya kujibu mapigo kwa sababu ya Zambia kufunga mpaka wa Tunduma na kupelekea mizigo wa Congo kuchelewa kufika kwa wakati na hali hiyo imepelekea wafanyabiashara wa Congo kuingia hasara kubwa! Chanzo ni...
  18. Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

    Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Holili 17 Mei 2020 Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amesema kwamba malori ya mizigo kutoka Kenya hayataruhusiwa kupita katika mpaka wa Holili. Katika muongozo mpya unaolenga malori ya mizigo ya mataifa mengine...
  19. J

    David Silinde: Ili kuwakomesha Zambia kwa kutufungia mpaka, Serikali yetu iwaongezee Tozo kwenye mizigo yao iliyopo bandarini Dsm

    Mbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka. Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya...
  20. #COVID19 Uganda: Madereva wa magari ya mizigo kupata majibu ya covid 19 ndani ya dk 45

    Serikali ya Uganda imeanza kutumia mashine za GeneXpert mipakani, ili kuwapima madereva wa magari ya mizigo kabla ya kuingia nchini humo Taarifa kutoka Wizara ya Afya imesema kumekuwa na ongezeko la maambukizi kutoka kwa madereva wa magari ya mizigo Taasisi ya Utafiti wa Virusi ya Uganda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…