Salaam Wakuu,
Chama cha Wamiliki Malori Tanzania(TATOA) Wameiomba Serikali kuingilia kati Sheria iliyotungwa Zambia ya kusimamia Uingiaji na utokaji wa Mizigo Nchini Zambia.
Sheria hiyo inataka Mizigo yote inayoingia Zambia, 50% ibebwe na Wazambia Wazawa, 30% ibebwe na TAZARA na 20% ibebwe na...
Wakuu mnogage.
Kwa mujibu wa BBC ikimhoji mtaalam wa Uchumi imebainika kwamba mzigo unaoingia bandari ya Dar es Salaam kuelekea Nchi za jirani via Central corridor ni asilimia 10% tu ya mzigo huo unaelekea bandari ya Mwanza wakati asilimia 41% huelekea bandari ya Kigoma.
Cha kushangaza...
Natafuta canter nibebee mizigo yangu Arusha mjini, dereva wangu, mafuta yangu kwa wiki nalipa laki mbili kwa mmiliki wa gari kazi ni endelevu.
Mwenyenalo tuwasiliane 0686457546
Habarini za leo wakuu,
Nisaidieni hili swala na mnipe ushauri nataka kununua mzigo toka China ili uje hapa bongo niufanyie biashara bila kuchelewa kwasababu ni order maalum.
Je ni kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo kwa kutumia meli bila...
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaujulisha Umma kuwa Jumapili tarehe 23 Mei 2021, Majira ya saa 8 Mchana katika Bandari ya Dar es Salaam, mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) iliyokuwa ikishushwa kutoka kwenye meli ya LCT AJE 1 ilipata ajali ya kutumbukia baharini.
Mashine...
With an eye on the Democratic Republic of Congo and South Sudan markets, there is renewed vibrancy on the Northern Corridor, as Uganda and Kenya join forces to push the rehabilitation and seamless connection of the old metre gauge railway line, over which the two countries’ officials met this...
Kenya intends to use recently refurbished Nanyuki metre gauge railway to transport cargo to Ethiopia from the Mombasa port as it targets growing industrial activities at the border.
Kenya Ports Authority chairman Joseph Kibwana said plans are underway to have cargo transported from Mombasa via...
Naambatanisha ticket ya mzigo (tena nikiwa ndani ya bus).
kipengele namba 5 na namba 7 hazitakiwi kuwa hivyo.
Abood badilisheni huu utaratibu wa ticket,kwa kuwa haiwezekani mtu alipe ticket ya mzigo na upo kwenye "boot" ya bus ila mzigo ukipotea hamuwajibiki; haifai.
Mkurugenzi mkuu wa bandari bwana Erick amesema upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo wa kupokea tani milioni mbili za mizigo na wataipiku bandari ya Mombasa Kenya.
Erick amesema upanuzi huo umelenga kuhimili ushindani na kuzishawishi nchi nyingi zaidi kutumia bandari zetu...
Majirani mjitahadhari dhidi ya Kimbunga Kikali kinachokuja kubamiza Dar juma tatu ijayo. Kimbunga kitakuwa na upepo unaovuma at 100 kph
Rare tropical cyclone is approaching one of Africa's most populated cities
By Pedram Javaheri, CNN Meteorologist
Updated 7:51 PM EDT, Thu April 22, 2021...
Habari za leo wakuu,
Naomba leo tujadiri mambo ya msingi sana, mambo ya biashara.
Ni njia zipi mnazotumia kutuma mizigo ya biashara kutoka China kuja hapa Tanzania.
Mfano mzigo wa nguo, simu au mzigo mwingine wowote wa baishara mnatumia njia zipi kutuma.
Njia ambazo ni haraka, za bei rahisi...
Shughuli ya kuondoa meli kubwa ya mizigo iliyokwama katika mfereji wa Suez nchini Misri na kuziba njia kwa vyombo vingine vya maji kupita imeingia siku ya tatu hii leo bila mafanikio yoyote.
Jitihada za kugeuza meli yenye uzito wa tani 220,000 na urefu wa mita 400 iliyopewa jina Ever Given...
Nilichukua gari kwenda kupokea mzigo wangu kutoka mkoani pale Mbezi Kibada cha mkaa.
Wakati tunaenda tulipiti njia ya wazo hili na kutokea barabara ya Goba. Njiani nilisimamishwa na maaskari mara tatu, kila mala wakimwambia dereva wanataka kukagua lesseni yake. Kumbe hiyo ni lugha ya kutaka...
Ilikuwa mnafanya siri na kuudanganya umma leo Mwenyezi Mungu amewaadhiri vibaya sana sana hamna pa kujificha.
Tena si kuudanganya umma wa Watanzania bali kuidanganya dunia nzima. Mnacheza na Mwenyezi Mungu atu dua zetu zimekubaliwa. Mmekwiba kura sawa tumepotezea, lakini kumsingizia Mwenyezi...
Mambo yamepamba moto kweli kweli ufanisi umeongezeka. Baada ya South Africa kuanza pitisha mizigo ya TZ sasa itafuatia Kenya, Msumbiji, Somalia n.k tuendelee kufanya kazi kwa style hii hii.
Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo.
Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana...
Habari zenu wakuu,
Nahitaji kusafairisha kiroba cha kilo 50 (nguo) kuepeleka OMAN. Nipo Dar, ila kama hiyo kampuni itakua na branch Zanzibar itakua vizuri zaidi.
Mwenye kufahamu naomba anijuze.
Natanguliza shukrani
Nahitaji kupata namna ya kusafirisha vitu vya ndani kutoka Dar kwenda mkoani Kagera, naweza pata kampuni gari ya usafirishaji au mtu anayehusika ambae gharama zake si kubwa.
Nimecheka sana wakati nimesoma tweet fulani inasherehekea Mtwara port kuongeza mara dufu kiwango cha mizigo inayohandle kutoka 106,000 tonnes hadi 273,000 tonnes. Jambo ambalo linachekesha sana ni kuwa wakati Mtwara port wanasherehekea kuhandle mizigo ya 273,000 tonnes kwa mwaka, Mombasa port...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.