Nchi jirani za Uganda ,Rwanda ,Burundi, Sudan Kusini, Congo zitapokea mizigo Naivasha inland container depot baada ya kusafirishwa zaidi ya 600 km kwa SGR kutoka Mombasa. Mtihani mkubwa kwa bandari ya Dar es Saalam.
======
SGR moves regional cargo to Naivasha
Kenya has launched direct SGR...
HALI ILIVYO RWANDA: Dereva wa Lori kutoka #Tanzania haruhusiwi kuvuka Mpaka wa Rusumo ili kuepuka kuingiza Corona nchini humo.
Badala yake; akifika kituo cha Kiyanzi, mzigo wote utapuliziwa dawa kisha atakabidhi Lori kwa dereva wa Rwanda ambaye atalipeleka hadi kituo cha mwisho. Serengeti Post...
Wadau,
Nahitaji mawazo na ushauri wa kisheria nataka niwashitaki DHL TANZANIA kwa kuchelewesha kutoa mizigo yangu ambayo ilifika Dar es slaam tangu tarehe 8 April, 2020 lakini hadi leo tunaongea hakuna mzigo uliotoka.
Kwanza kabisa hawakunijulisha taarifa za mzigo kuwa umefika mpaka siku saba...
Ndege za mizigo hazijapigwa ban na bado zinaruhusiwa kufanya kazi kimataifa, mwanzo wakati huu wa corona ambapo kila nchi inaagizia vifaa na madawa yanayohitaka kwa haraka, kuna demand kubwa sana ya safari za charterd cargo flights .
KQ inazo ndege ambazo ni spesheli za cargo lakini kwavile...
Waziri wa biashara mh Bashunga amesema Zambia inafanya faulo katika biashara ya mahindi kwenye soko la DRC.
Mh Bashunga amesema kama Zambia wataendelea na faulo zao japo wote tuko kwenye SADC basi serikali haitasita kuizuia kupitishia mizigo yao hapa nchini.
Source ITV habari!
Habari ndugu zangu nina gari yangu Cresta ina Injini ya GX 100 ambayo bado mpya ila bodi limechoka,nataka kubadili matumizi iwe ya mizigo je ni bodi la gari gani inaweza kuingiliana na injini hiyo? Gari ni automatic.
Wanajamvi habarini za mchana, kama ambavyo kichwa cha mada hii kinasomeka hapo naomba kufahamu au mtu ambaye analijuwa kampuni lolote linaloweza kunisafirishia mzigo kutoka kwenye mataifa haya China na Marekani kuja Tanzania.
Naombeni na ushauri pia kwa wale wanaonunua bidhaa mtandaoni hasa kwa...
Serikali imesema itakodi ndege kupeleka matunda na mbogamboga nje ya nchi kutoka katika viwanja vya ndege vya Songwe na Mwanza, wakati huu ikijiandaa kununua ndege ya mizigo kwa kazi hiyo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe alisema hayo wakati akijibu swali la nyongeza la...
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema serikali imeshaanza mazungumzo ya namna ya kupata ndege ya mizigo kwaajili ya kubeba mazao ya mbogamboja kuyepaleka nje ili kuwasaidia wakula.
Ametoa kauli hiyo bungeni leo Jumatano Novemba 13, alipokuwa akijibu swali la Mbunge...
Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) limekamilisha ujenzi na ukarabati wa Stesheni ya Treni Fuga uliohusisha Stendi kubwa ya kupokea mizigo na vifaa vya ujenzi wa bwawa la kufua Umeme Mto Rufuji.
Akizungumza katika ziara ya kutembelea ujenzi wa huo, Meneja wa Shirika hilo nchini...
Ndugu yangu anauliza kama kuna watanzania au wana East Africa ambao wanasafirisha mizigo toka Germany hadi Arusha, Tanzania. Anataka kusafirisha rims ambazo kwa usafiri wa kampuni kama DHL au Fedex au EMS utagharimu sana. Msaada tutani.
Habarini wana jamvi, Ningependa kufahamu kama kuna suala la kukatwa kodi na TRA pale unapoagiza mzigo toka Ebay au Amazon, mizigo kama simu, nguo, perfumes N.K, nitashukuru sana kwa msaada wenu wenye experience na hiki kitu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.