mizigo

  1. Zambia yalalamikiwa kwa kujimilikisha kazi ya kubeba Mizigo Bandari ya Dar es Salaam

    Salaam Wakuu, Chama cha Wamiliki Malori Tanzania(TATOA) Wameiomba Serikali kuingilia kati Sheria iliyotungwa Zambia ya kusimamia Uingiaji na utokaji wa Mizigo Nchini Zambia. Sheria hiyo inataka Mizigo yote inayoingia Zambia, 50% ibebwe na Wazambia Wazawa, 30% ibebwe na TAZARA na 20% ibebwe na...
  2. Mwanza inapokea 10% tu ya mizigo kutoka Dar huku Kigoma ikipokea 41% ya mizigo. SGR ya Mwanza ni White Elephant project

    Wakuu mnogage. Kwa mujibu wa BBC ikimhoji mtaalam wa Uchumi imebainika kwamba mzigo unaoingia bandari ya Dar es Salaam kuelekea Nchi za jirani via Central corridor ni asilimia 10% tu ya mzigo huo unaelekea bandari ya Mwanza wakati asilimia 41% huelekea bandari ya Kigoma. Cha kushangaza...
  3. S

    Natafuta Canter ya kubebea mizigo yangu kwa wiki Tsh. 200,000 Arusha

    Natafuta canter nibebee mizigo yangu Arusha mjini, dereva wangu, mafuta yangu kwa wiki nalipa laki mbili kwa mmiliki wa gari kazi ni endelevu. Mwenyenalo tuwasiliane 0686457546
  4. H

    Magari ya kubeba mizigo kupeleka mikoani hupatikana wapi , Dar es Salaam?

    Naomba kuelekezwa magari ya kubeba mizigo kupeleka mwanza hupatikana maeneo gani kwa Dar. Na gharama zake zipoje?
  5. Kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo bila kuchelewa?

    Habarini za leo wakuu, Nisaidieni hili swala na mnipe ushauri nataka kununua mzigo toka China ili uje hapa bongo niufanyie biashara bila kuchelewa kwasababu ni order maalum. Je ni kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo kwa kutumia meli bila...
  6. N

    Mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) bandarini Dar Es Salaam yatumbukia baharini

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaujulisha Umma kuwa Jumapili tarehe 23 Mei 2021, Majira ya saa 8 Mchana katika Bandari ya Dar es Salaam, mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) iliyokuwa ikishushwa kutoka kwenye meli ya LCT AJE 1 ilipata ajali ya kutumbukia baharini. Mashine...
  7. Jitihada za Kenya kuhakikisha mizigo ya Uganda, DRC, SS inapitia bandari ya Mombasa

    With an eye on the Democratic Republic of Congo and South Sudan markets, there is renewed vibrancy on the Northern Corridor, as Uganda and Kenya join forces to push the rehabilitation and seamless connection of the old metre gauge railway line, over which the two countries’ officials met this...
  8. Mizigo ya kwenda Ethiopia kuanza kutumia reli ya Kenya

    Kenya intends to use recently refurbished Nanyuki metre gauge railway to transport cargo to Ethiopia from the Mombasa port as it targets growing industrial activities at the border. Kenya Ports Authority chairman Joseph Kibwana said plans are underway to have cargo transported from Mombasa via...
  9. Ticket za Abood za usafirishaji mizigo zinamuumiza mtumaji

    Naambatanisha ticket ya mzigo (tena nikiwa ndani ya bus). kipengele namba 5 na namba 7 hazitakiwi kuwa hivyo. Abood badilisheni huu utaratibu wa ticket,kwa kuwa haiwezekani mtu alipe ticket ya mzigo na upo kwenye "boot" ya bus ila mzigo ukipotea hamuwajibiki; haifai.
  10. J

    TPA: Upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo zaidi ya bandari ya Mombasa, itapokea tani milioni 2 za mizigo

    Mkurugenzi mkuu wa bandari bwana Erick amesema upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo wa kupokea tani milioni mbili za mizigo na wataipiku bandari ya Mombasa Kenya. Erick amesema upanuzi huo umelenga kuhimili ushindani na kuzishawishi nchi nyingi zaidi kutumia bandari zetu...
  11. Kimbunga kizito kinakuja kutandika Dar es Salaam Jumatatu ijayo. Mjitahadhari

    Majirani mjitahadhari dhidi ya Kimbunga Kikali kinachokuja kubamiza Dar juma tatu ijayo. Kimbunga kitakuwa na upepo unaovuma at 100 kph Rare tropical cyclone is approaching one of Africa's most populated cities By Pedram Javaheri, CNN Meteorologist Updated 7:51 PM EDT, Thu April 22, 2021...
  12. H

    Naomba tufahamishe njia mnazotumia kutuma mizigo kutoka China kuja hapa Tanzania

    Habari za leo wakuu, Naomba leo tujadiri mambo ya msingi sana, mambo ya biashara. Ni njia zipi mnazotumia kutuma mizigo ya biashara kutoka China kuja hapa Tanzania. Mfano mzigo wa nguo, simu au mzigo mwingine wowote wa baishara mnatumia njia zipi kutuma. Njia ambazo ni haraka, za bei rahisi...
  13. Meli kubwa ya mizigo yashindwa kukwamuliwa katika Mfereji wa Suez kwa siku ya tatu

    Shughuli ya kuondoa meli kubwa ya mizigo iliyokwama katika mfereji wa Suez nchini Misri na kuziba njia kwa vyombo vingine vya maji kupita imeingia siku ya tatu hii leo bila mafanikio yoyote. Jitihada za kugeuza meli yenye uzito wa tani 220,000 na urefu wa mita 400 iliyopewa jina Ever Given...
  14. G

    Leo nimeona mwenyewe usumbufu wa polisi wa usalama barabarani dhidi ya magari ya mizigo

    Nilichukua gari kwenda kupokea mzigo wangu kutoka mkoani pale Mbezi Kibada cha mkaa. Wakati tunaenda tulipiti njia ya wazo hili na kutokea barabara ya Goba. Njiani nilisimamishwa na maaskari mara tatu, kila mala wakimwambia dereva wanataka kukagua lesseni yake. Kumbe hiyo ni lugha ya kutaka...
  15. S

    WanaCCM hawamuelewi Rais anasema kwenye maono gani, wao ni kupiga makofi tu

    Ilikuwa mnafanya siri na kuudanganya umma leo Mwenyezi Mungu amewaadhiri vibaya sana sana hamna pa kujificha. Tena si kuudanganya umma wa Watanzania bali kuidanganya dunia nzima. Mnacheza na Mwenyezi Mungu atu dua zetu zimekubaliwa. Mmekwiba kura sawa tumepotezea, lakini kumsingizia Mwenyezi...
  16. Safi sana. Hata Kenya na Msumbiji naona wakipitisha Mizigo yao Bandari ya Dar Es Salaam

    Mambo yamepamba moto kweli kweli ufanisi umeongezeka. Baada ya South Africa kuanza pitisha mizigo ya TZ sasa itafuatia Kenya, Msumbiji, Somalia n.k tuendelee kufanya kazi kwa style hii hii.
  17. J

    Afrika Kusini waanza kupitishia mizigo yao yakiwemo magari katika bandari ya Dar es Salaam

    Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo. Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana...
  18. Msaada: Kampuni inayosafirisha mizigo kwa Meli kwenda nchi za Uarabuni

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kusafairisha kiroba cha kilo 50 (nguo) kuepeleka OMAN. Nipo Dar, ila kama hiyo kampuni itakua na branch Zanzibar itakua vizuri zaidi. Mwenye kufahamu naomba anijuze. Natanguliza shukrani
  19. Je, naweza pata gari la mizigo ya ndani kutoka Dar tu Kagera

    Nahitaji kupata namna ya kusafirisha vitu vya ndani kutoka Dar kwenda mkoani Kagera, naweza pata kampuni gari ya usafirishaji au mtu anayehusika ambae gharama zake si kubwa.
  20. Mombasa port inahandle mizigo mara tisini ya Mtwara port

    Nimecheka sana wakati nimesoma tweet fulani inasherehekea Mtwara port kuongeza mara dufu kiwango cha mizigo inayohandle kutoka 106,000 tonnes hadi 273,000 tonnes. Jambo ambalo linachekesha sana ni kuwa wakati Mtwara port wanasherehekea kuhandle mizigo ya 273,000 tonnes kwa mwaka, Mombasa port...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…