Katiba mpya imekuwa ni mjadala baada ya makundi mbali mbali ya watu yakitaka ule mchakato uliositishwa wa mabadiliko ya katiba uanze upya kwa kuanzia kwenye rasimu ya Jaji Warioba.
Mimi ni mmoja ya watanzania wanaotamani kuona kama taifa tunapata Katiba mpya inayotokana na maoni ya Watanzania...
Ni maneno yaliyonipa tafakari kubwa sana hasa wakati huu ambao kila sehemu kuna praise team kuanzia Upinzani hadi Chama Tawala ni maneno ya kufikirisha toka kwa mdau huyo akisema.
"Kadiri kelele na shangwe za kusherehekea amani, huku wakila na kunywa ndipo wakati wa uwangamivu ulivyokuwa...
Na Thadei Ole Mushi
Kuna Msaidizi mmoja wa Mbunge Kanitumia document hizi ili kufanya Clarification zaidi kwa jamii kuhusu Mishahara ya Mbunge.
Twende sawa hapa.
1. Mbunge hulipwa mshahara kwenye scale ya LSS (P) 2 ambayo mshahara wake ni Shilingi 4,600,000.
2. Atalipwa posho ambazo kwa...
Leo asubuhi nimemleta mtu hapa UDOM kuhudhuria Usaili wa kazi za Utumishi, hakika watu ni wengi. Binafsi nliyemleta ameitwa kwenye Usaili wa nafasi za National Audit, only 10 kama sio 20 nafasi lkn wameitwa watu sio chini ya 3400, yaani watu hao ndio wapatikane only 20 people. Kibaya zaidi...
Salam wanajukwaa,.
Ninaomba tupeani elimu kuhusu visima vya mafuta kwa sababu mafuta yanatumika sana,ukiona Magari,pikipiki,bajaji,mitambo mingi ya viwanda inategemea mafuta.
Tumeshuhudia migogoro mingi hasa mashariki ya Kati kwa sababu ya mafuta sasa...
Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na mijadala kuhusu Tanzania kuruhusu uraia pacha. Wapo wanaopendekeza Tanzania kama nchi ikubali uwepo wa uraia pacha ili kuzipata faida zitokanazo na uraia wa aina hiyo. Wapo wenye mtazamo kuwa muda wa Tanzania kuwa na uraia pacha bado haujafika. Hivyo basi...
Kuna video moja fupi inazunguka mitandaoni anaonekana mbunge wa baraza la wawakilishi akiwaongelea kwa dharau samaki wa Ziwa Victoria. Anasema wao kwa maana ya watu wa visiwani hawana utamaduni wa kula samaki wa aina hiyo, kwamba isitokee mbegu zao zikawekwa kwenye bahari iliyo karibu na visiwa...
Inavyoelekea ile ahadi ya CCM na CHADEMA katika chaguzi mbili zilizopita inayohusu bima ya afya kwa wote ikapigwa danadana nyingine baada ya mjadala wa sasa kuibuka kwenye chanjo ya corona na msimamo wa Gwajima.
MY TAKE;
1- Wizara ya Afya iharakishe kuleta muswada bungeni utakaopelekea Sekta ya...
Mjadala wa Simba na Yanga umehamisha mjadala mkali uliokuwa ukiendelea juu ya uhalali wa Rais ambaye siye waziri wa Nishati na wala si mwanasheria mkuu wa serikali wala hatujaona anawashirikisha popote ghafla anaanguka sahihi hapana tunataka ulinzi wa rasilimali zetu tena kwa wivu mkubwa sana na...
Habari za wakati huu;
Kwanza nieleze kwa uwazi kabisa kwamba huu mjadala ni wa wazi hauna lengo la kubomoa bali unalengo la kujenga.
Kati ya mwaka 2016-2019 nilishirika katika utafiti mkubwa ambao ulikuwa na husu swali zima la Nguvu kazi(Labour Force).Katika utafit nilijifunza mengi sana...
Leo FB imenirushia kumbukumbu ya mkutano wa Tabora kuhusu Uchaguzi wa Kura Tatu wa mwaka wa 1958.
Uchaguzi huu nimeueleza kwa kirefu katika kitabu cha Abdul Sykes na katika mihadhara kadhaa niliyopata kufanya.
Vilevile nimeandika kitabu ''Uamuzi wa Busara,'' (2007) kuhusu Kura Tatu.
Leo...
Na Thadei Ole Mushi.
Wiki Moja iliyopita kupitia Ukurasa mtandao wa kijamii Facebook ITV iliripoti kuwa huko Geita kwenye shule ya Sekondari Magema ina walimu wawili tu. Habari hii haikupewa kipaumbele Sana kwa kuwa Tanzania tupo selective kwenye habari. Tunapenda Sana Scandal kuliko mambo...
Jana na Leo jina la mbunge wa zamani Freeman Mbowe limekuwa likitajwa tajwa sana bungeni huku wabunge wakipiga makofi na wengine vigelegele.
Nijuavyo mimi hili ni bunge la bajeti na Freeman Mbowe siyo mbunge na wala hajishughulishi na kazi za bunge
Kinachonishangaza wabunge wanapojadili...
Wasanii muachege kutumika vibaya aisee.
Haswa nyie wachafu sijui wachafu wa nafsi na team yenu.
Yaani mnapewa pesa na maagizo ya watu fulani fulani hivi mtengeneze kiki ili mutoe watu kwenye reli ya kujadili report ya CAG kwa manufaa ya kikundi fulani hii haikubaliki.
Nyie wasanii ndo maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.