mjadala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    #COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
  2. OKW BOBAN SUNZU

    Mjadala: Tanzania mabosi wengi ni mabosi-suti, uwezo hakuna

    Kumekucha! Lengo la mjadala huu ni kuwafahamisha wanajamii kuwa wakati mwingine wasiwe na mategemeo makubwa saana juu ya utendaji wa viongozi wao. Wachukulie kawaida tu kwamba tunaenda kimungu-mungu. Lakini wajue moja ya sababu zinazotufanya tukwame kwa miaka mingi ni kuwa na watu wa namna hii...
  3. Erythrocyte

    Kwa hukumu hizi; Je, Mahakama za Tanzania zinatumia Sheria tofauti ?

    Hebu angalia hukumu hizi mbili halafu toa maoni yako
  4. T

    #COVID19 Kampuni ya kutengeneza chanjo za COVID-19, Moderna inatarajia kuanza majaribio ya Chanjo za UKIMWI mwezi huu

    Kampuni inayotengeneza chanjo ya Covid ya Moderna inatarajia kuanza majaribio ya chanjo ya UKIMWI Jumatano ijayo. Mordena wana matumaini makubwa kwamba kutokana na teknolojia mpya ya mRNA ambayo imesaidia kupambana na virusi wa Covid, wanaamini kua chanjo ya Ukimwi kwa kutumia teknolojia hiyo...
  5. Fundi Madirisha

    Tutaipata Katiba Mpya, kuuzima mjadala wake ni ngumu

    Sasa ni wazi kwamba pamoja na sarakasi zote za kukamata wapinzani wanaoendekeza mijadala juu ya katiba mpya, lengo liko wazi ni kuzima Mjadala ili kuepusha kuiamsha jamii ili isipige kelele juu ya mchakato wake. Sasa ni wazi kua hii siyo CCM tu bado ni mfumo mzima hautaki katiba mpya huenda wana...
  6. Kididimo

    Kama nchi tunasemaje tunaanza upya bila mjadala wa wazi pakuanzia?

    Nchi yetu imepitia vipindi kadhaa vigumu kwa nyakati tofauti. Kuna watu wamefaidika na wengine kuumizwa na vipindi hivyo. Hawa wote wapo,kwa maana waliofaidika na walioumizwa. Anatoka mtu mmoja anatangaza tuache yoote tuanze upya! Na anayesema vile ni yule mnufaika. Je, siyo busara na...
  7. Roving Journalist

    Yaliyojiri JamiiForums Space kuhusu Maambukizi ya COVID-19 na Utoaji Chanjo Tanzania

    Jamii Forums inakukaribisha kushiriki kwenye Mjadala kuhusu Maambukizi ya #COVID19 pamoja na Utoaji wa Chanjo nchini Tanzania Mjadala huu unafanyika Agosti 6, 2021 kupitia Twitter Spaces (JamiiForums) kuanzia Saa 12 jioni na utahusisha Wataalamu wa Afya watakaozungumzia Masuala anuani kuhusu...
  8. Genius Mzee

    Huu mjadala wa kususia bidhaa na huduma ni hatari kwa uchumi wa nchi

    Kuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi. Ushauri, Serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni. Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au...
  9. OKW BOBAN SUNZU

    Rais kuteua makada UVCCM kuwa Wakurugenzi ni kuvuruga Utumishi wa Umma

    Hawa ni baadhi ya vijana wadogo kabisa toka UVCCM walioteuliwa kuwa makurugenzi. KWA MUJIBU WA MEMORANDA YA FEDHA SERIKALI ZA MITAA(LGA) HAYA NDIO MAJUMKUMU MAZITO YA DED 1. Ensuring the existence of a formal and satisfactory system of financial administration; 2. Securing compliance with the...
  10. Keynez

    CCM siku zote wanataka kumiliki pande zote mbili za mijadala mizito!

    Embu niwadokezee jambo moja ambalo ningependa mchukue muda wenu mlitafakari. Kwa sisi wakongwe na wafuatiliaji wa mambo ya nchi hii, tumeshuhudia mambo mbalimbali yakitokea na kufanyika nchi hii. Kuna masuala ya muungano, kuna masuala ya mfumo wa vyama vingi, kuna masuala ya mabadiliko ya...
  11. J

    #COVID19 Majibu ya maswali mbalimbali yaliyoteka mjadala wa chanjo ya corona kuletwa nchini

    MAJIBU YA MASWALI MBALIMBALI YALIYOTEKA MJADALA WA CHANJO YA CORONA KULETWA NCHINI Toka Serikali kupitia kwa Kamati maalum aliyoiunda Rais Samia Suluhu Hassan itangaze uamuzi wa kuruhusu chanjo kuja na toka chanjo iingie nchini, kumezuka mjadala mkubwa sana kwa Watanzania, kila mtu akisema lake...
  12. J

    Karibu kwenye Mjadala kuhusu Biashara Mtandaoni kupitia Clubhouse ya Jamii Forums

    Siku ya Jumanne, kupitia Mtandao wa Clubhouse, Jamii Forums tutaendesha mjadala anuai kuhusu masuala mazima ya Biashara na Mtandao. Mjadala huu wa wazi utawahusisha wataalam, wadau na watu mbalimbali wanaotumia au kuguswa kwa namna moja au nyingine jinsi Biashara zinafanyika mtandaoni. Ungana...
  13. Erythrocyte

    Mjadala wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi hautazimwa kwa kumfunga Freeman Mbowe

    Gwiji la siasa za Tanzania, Tajiri, Bilionea na Mfanyabiashara mkubwa wa Kimataifa, Laingwanan, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyojulikana huko Zanzibar, yuko jela kwa mara nyingine tena kutokana na matakwa ya viongozi wa Tanzania, ambao wanamuogopa kutokana na hoja zake nzito za...
  14. KAGAMEE

    Haji Manara amtuhumu Barbara kuwa na chuki dhidi yake. Amuahidi ataondoka Simba kwani amemkuta

    Leo nimesikia audio ikitembea mitandaoni inayodaiwa kuwa imerekodiwa na Manara akimtuhumu kwa mambo mengi Barbara.Inaonekana hawa watu wana mgogoro wa mda mrefu na hawawezi kufanya kazi tena pamoja. Wewe kama mwanasoka unadhani nini kifanyike? Au ni madhara ya Mo kujimilikisha timu...
  15. K

    Bibi anasema "Tusiilaumu serikali kwa tozo mpya, bali tubadili mfumo wa kuhifadhi na kutumiana pesa"

    Nimefuatilia mijadala mbali mbali kuhusu ongezeko la gharama na tozo mpya za miamala ya kifedha kwa upande huduma wa mitandao ya simu za mkononi. Mjadala umekuwa mkubwa sana kwenye mitandao mbalimbali. Wananchi wanalalamikia ongezeko la tozo hizi huku kiasi kikubwa cha makato (tozo) hizo...
  16. A

    Mjadala kwa watarajali katika nyanja za afya (interns) na changamoto za ajira

    Kwa watarajali, intern doctors, intern pharmacists na kadhalika. Nakumbuka tunapokuwa shuleni sekondari kunakuwa na zile fikra kwamba zipo kada ambazo ukizisomea uwapo chuoni basi ajira ni nje nje, hivyo watu wanaenda kusomea kada hizo akiwa na wazo kwamba hatopata shida ya ajira baada ya...
  17. Mzalendo Uchwara

    Ama kweli magwiji wa siasa wameshika hatamu, hakuna mjadala unaodumu

    Ile kauli ya 'anaupiga mwingi' inaweza kuwa na ukweli kuliko tunavyodhani. Yaani ni mchakamchaka wa kufa mtu. Ikitokea tu kuna mjadala wa moto unaendelea basi ndani ya siku mbili tatu unakua umezimwa kwa matukio mengine ya moto zaidi Mara hawa wanadai Katiba Mpya huku Sabaya anakamatwa, kule...
  18. Shujaa Mwendazake

    Mwananchi: Agizo la Makalla stendi ya Magufuli Lazua mjadala

    Dar es Salaam. Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla kuagiza wenye mabasi kuyaingiza ndani ya kituo cha mabasi cha Magufuli wakati wa kupakia na kushusha abiria, baadhi ya wananchi wamekuwa na maoni tofauti kuhusiana na uamuzi huo. Makalla alitoa agizo hilo jana Ijumaa...
  19. MALCOM LUMUMBA

    Wahitimu wengi wa Vyuo Vikuu vya Kitanzania hawawezi kufanya mjadala kama huu wa watoto wa shule

    Nimeangalia kwa makini sana huu mjadala na kama mtu niliyewahi kufundisha chuo nimeshangazwa sana na uwezo wa hawa wanafunzi wa Kiafrika. Kipindi wanafanya huu mjadala walikuwa ni wenye umri mdogo sana, lakini uwezo wao wa kujenga na kujibu hoja, kuzungumza lugha ngeni kwa ufasaha, ujasiri...
  20. Mzalendo_Mwandamizi

    Case study kuhusiana na mjadala wa Katiba Mpya

    Hoja: la muhimu zaidi ni heshima kwa sheria, na kwa vile Katiba ni sheria mama, basi heshima husika iwe kwenye sheria zilizomo kwenye katiba. Hali ilivyo sasa: ni kweli katiba iliyopo ina mapungufu mengi. Na ni kweli kuwa mapungufu hayo yanaathiri maeneo mbalimbali hususan haki za...
Back
Top Bottom