Wakati fulani mwaka 2018, aliyekuwa rais wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akizungumza katika kongamano la kujadili hali ya siasa na uchumi alisema
"SERIKALI YAKE HAINA MPANGO WA KUANZISHA UPYA MCHAKATO WA MAGEUZI YA KIKATIBA KWA SABABU KUNA MASUALA MENGINE YENYE KIPAUMBELEKWA SERIKALI"...
Nini chanzo cha Saratani ya Jicho kwa Watoto? Dalili zake ni zipi? Hali ya Ugonjwa huu ikoje hapa Tanzania?
Kufahamu haya na mengine zaidi, shiriki katika Mjadala na Wataalamu kuhusu Saratani ya Jicho kwa Watoto utakaofanyika Mei 26, 2022 kupitia Clubhouse, kuanzia Saa 12:00 Jioni
Kushiriki...
Kulia Prof. Issa Shivji, Prof. Saida Othman Yahya, Dr. Ng’wanza Kamata katika mahojiano na Mohamed Said (out of sight) kuhusu Mwalimu Nyerere wakati wa utafiti wa kitabu chake.
Wadau hamjamboni nyote?
Naleta mjadala huu ambao naamini ni wa kihistoria na utachangiwa na Wasomi wetu lukuki waliojaa ndani ya Jamii Forum
Inajulikana kuwa Ishmael na Mdogo wake Isaka walikutana pamoja kwa ajili ya Maziko ya babayao Mzee Ibrahim
Baada ya hapo hakuna kumbukumbu ya maisha ya...
Mbunge wa Ukonga kupitia CCM, Jerry Silaa akilia baada ya kumaliza kuchangia mjadala wa kupitisha makadikio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Jijini Dodoma leo.
Silaa amemwaga machozi akieleza kuwa Kampuni ya Syno Hydro iliyopewa zabuni ya...
UVCCM KWENYE VITA YA MAFUTA TUPO UPANDE GANI?
Na Elius Ndabila
0768239284
Mjadala mkubwa kwa Taifa letu ambao unashika kasi kila kuitwapo leo ni kupanda Kwa gharama ya maisha kuliko sababishwa na ongezeko la mafuta mara dufu.
Mjadala huu umepamba moto Kwa miezi miwili na ushea sasa. Lakini...
"Leo ukiniambia nguzo za umeme zitanunuliwa nje ya nchi, unamaana vijana wangu wote waliopo Iringa, songwe, Tanga wote wamepanda miti wakose fedha?
Watakapokua na hitaji la mapenzi watafanya nini? Kwa sababu, sasa hivi hakuna mwanamke atapenda sura, kwa sababu wanaume kwanza hawana sura nzuri...
Habari yeni wanajamii forums, kuna ubishi hapa wa nani ana nguvu na mamlaka makubwa kati ya polisi na mjeda (mwanajeshi)
kwa maoni yangu naona polisi ndio wana nguvu kubwa zaidi, najua wana uwezo huu (kama nimekosea mnisahishe)
-wao ni law enforcers
-wana kibali cha kumuweka chini ya ulinzi...
Kwema Wakuu!
Andiko hili linawahusu Vijana ambao hawajawahi pata kuishi na Wababa wenye tabia za Uanaume, ambao hawajawahi kushauriwa mambo ya kiumeni hasa katika kipengele cha Mahusiano na namna ya mwanaume kulinda heshima yake.
Kabla sijafika mbali; moja ya kanuni ya kiumeni katika mfumo...
Hivi karibuni kulikuwa na picha zenye maneno kadhaa zilikuwa zikisambaa mitandaoni zikielezea kuhusu masuala mbalimbali ya sheria.
Kuna moja hii nikaiona ikisambaa kwa kasi ikiwa na kichwa cha habari:
Kwa Mujibu wa Sheria ya Ndoa Tanzania
KUFANYA KAZI ZA NDANI NYUMBANI NI JUKUMU LA MWANAUME...
1. Mradi wa mwendokasi Dar. Huku mabasi hayafanyiwi maintainance, yanaharibika watu hawajali, kila siku watu zaidi ya laki 1 wanatumia mabasi haya na fedha zinakusanywa na mamlaka husika Ila kila siku mradi uko hovyo!
Vituo vyake vinazidi kuchakaa na mabasi yanazidi kuchakaa.
Haieleweki...
Habari ya Jumapili waungwana!
Nimekuwa nikitafakari saana na ukisoma baadhi ya maandiko ya afya, uchumi na wanasaikolojia wote wanazungumzia LIFE EXPECTANCY YA MWANAUME YAANI kiwango cha muda wa kuishi wanaume ni kidogo duuu!!
Ndipo nikarejea katika uhalisia, babu alishakufa bibi yupo, mwalimu...
Nafikiri sote tunakumbuka vyema kuna mjadala wa Elimu uliibuka mwaka jana na ulianza kabla ya hapo ila nafikiri uliimarika mwaka jana.
Hoja kuu ilikuwa ni Elimu yetu ya sasa haimnufaishi mwanafunzi na hata mzazi au jamii ilomsomesha. Kulikuwa na makongamano kadhaa. Lile la Mlimani City na...
Japo mchakato wa katiba haujaanza lakini sio vibaya kuanza kujadili kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa upande wangu ningeambiwa nitaje vitu ambavyo vingewekwa kwenye katiba mpya mimi ningesema hivi:-
1.Mkuu wa jeshi la polisi asiteuliwe na raisi pafanyike usaili
2.Kuwa waziri sio lazima uwe mbunge...
Nakumbuka enzi za Pius Msekwa, Sita na hata Makinda kidogo kulikuwa na mjadala mkali na mpambano wa fikra kuhusu qualities za mtu wa kushika Nafasi hii nyeti.
Ila Kwa miaka ya hivi Karibuni kiti Cha spika kimekuwa kama mchakato wa kumpata mwenyekiti wa Kijiji na siyo vijiji vyote.
Spika...
Tumesikia malalamiko memgi juu ya baraza jipya la mawaziri la Rais Samia.
Kuna malalamiko ya kukosekana usawa wa jinsia, mawazir wanawake ni 36% na manaibu ni 20 tu
Kuna malalamiko ya kanda fulani kupendelewa, kama mkoa wa Pwani kuwa na mawaziri (na maanaibu) 5
Kuna malalamiko kuwa walioachwa...
Ye yote anayetafakari kwa kina, aliye na elimu ya vitu na uelewa wa mambo hawezi kuzingatia akilini mwake kwamba mtu wa kwanza alikuwa na rangi gani; au alianza kuishi eneo au bara gani.
Rangi ya mtu; vyovyote inavyoitwa: mweusi au mweupe, si kitu chenye nafasi katika maana yenyewe ya mtu...
Takribani siku kadhaa mitandao ya jamii imegubikwa na hoja ya utata wa akiba ya Taifa (6,253B). Hoja kubwa si kiasi si thamani ya kiasi bali neno Bilioni katika dollar ya kimarekani badala ya Milioni. Kiasi ni kikubwa kikilinganishwa na Milioni za mikopo, watu wanahoji kwanini kukopa ikiwa pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.