mjadala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Siungi mkono CHADEMA kuingilia mjadala wa kudai Katiba Mpya

    Katiba mpya imekuwa ni mjadala baada ya makundi mbali mbali ya watu yakitaka ule mchakato uliositishwa wa mabadiliko ya katiba uanze upya kwa kuanzia kwenye rasimu ya Jaji Warioba. Mimi ni mmoja ya watanzania wanaotamani kuona kama taifa tunapata Katiba mpya inayotokana na maoni ya Watanzania...
  2. Nimeipata hii nukuu toka kwa mdau wa Twitter wakati wa Mjadala wa Katiba

    Ni maneno yaliyonipa tafakari kubwa sana hasa wakati huu ambao kila sehemu kuna praise team kuanzia Upinzani hadi Chama Tawala ni maneno ya kufikirisha toka kwa mdau huyo akisema. "Kadiri kelele na shangwe za kusherehekea amani, huku wakila na kunywa ndipo wakati wa uwangamivu ulivyokuwa...
  3. Tusifunge mjadala, Mshahara wa Mbunge kwa mwezi ni 12,892,000

    Na Thadei Ole Mushi Kuna Msaidizi mmoja wa Mbunge Kanitumia document hizi ili kufanya Clarification zaidi kwa jamii kuhusu Mishahara ya Mbunge. Twende sawa hapa. 1. Mbunge hulipwa mshahara kwenye scale ya LSS (P) 2 ambayo mshahara wake ni Shilingi 4,600,000. 2. Atalipwa posho ambazo kwa...
  4. K

    Umati wa usaili UDOM: Tunahitaji mjadala wa Kitaifa kuhusu tatizo la ajira nchini

    Leo asubuhi nimemleta mtu hapa UDOM kuhudhuria Usaili wa kazi za Utumishi, hakika watu ni wengi. Binafsi nliyemleta ameitwa kwenye Usaili wa nafasi za National Audit, only 10 kama sio 20 nafasi lkn wameitwa watu sio chini ya 3400, yaani watu hao ndio wapatikane only 20 people. Kibaya zaidi...
  5. Mjadala kuhusu visima vya mafuta

    Salam wanajukwaa,. Ninaomba tupeani elimu kuhusu visima vya mafuta kwa sababu mafuta yanatumika sana,ukiona Magari,pikipiki,bajaji,mitambo mingi ya viwanda inategemea mafuta. Tumeshuhudia migogoro mingi hasa mashariki ya Kati kwa sababu ya mafuta sasa...
  6. Mjadala wa kitaifa: Tuziainishe faida na hasara za uraia-pacha (dual citizenship) kwa Tanzania yetu

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na mijadala kuhusu Tanzania kuruhusu uraia pacha. Wapo wanaopendekeza Tanzania kama nchi ikubali uwepo wa uraia pacha ili kuzipata faida zitokanazo na uraia wa aina hiyo. Wapo wenye mtazamo kuwa muda wa Tanzania kuwa na uraia pacha bado haujafika. Hivyo basi...
  7. P

    Hili la mbunge baraza la wawakilishi kuwadharau samaki aina ya Kambale na Sato wa ziwa Victoria lisipite pasipo mjadala. Linatoa picha mbaya

    Kuna video moja fupi inazunguka mitandaoni anaonekana mbunge wa baraza la wawakilishi akiwaongelea kwa dharau samaki wa Ziwa Victoria. Anasema wao kwa maana ya watu wa visiwani hawana utamaduni wa kula samaki wa aina hiyo, kwamba isitokee mbegu zao zikawekwa kwenye bahari iliyo karibu na visiwa...
  8. Ni vizuri Bunge likajikita kwenye mjadala wa Bima ya Afya kwa wote

    Inavyoelekea ile ahadi ya CCM na CHADEMA katika chaguzi mbili zilizopita inayohusu bima ya afya kwa wote ikapigwa danadana nyingine baada ya mjadala wa sasa kuibuka kwenye chanjo ya corona na msimamo wa Gwajima. MY TAKE; 1- Wizara ya Afya iharakishe kuleta muswada bungeni utakaopelekea Sekta ya...
  9. Wasitutoe kwenye mjadala wa Gesi kwa kuleta mada za Simba na Yanga

    Mjadala wa Simba na Yanga umehamisha mjadala mkali uliokuwa ukiendelea juu ya uhalali wa Rais ambaye siye waziri wa Nishati na wala si mwanasheria mkuu wa serikali wala hatujaona anawashirikisha popote ghafla anaanguka sahihi hapana tunataka ulinzi wa rasilimali zetu tena kwa wivu mkubwa sana na...
  10. Mjadala kuhusu Elimu ya Tanzania: Je, Tanzania ina Uhaba wa Ajira au Uhaba wa Wataalamu?

    Habari za wakati huu; Kwanza nieleze kwa uwazi kabisa kwamba huu mjadala ni wa wazi hauna lengo la kubomoa bali unalengo la kujenga. Kati ya mwaka 2016-2019 nilishirika katika utafiti mkubwa ambao ulikuwa na husu swali zima la Nguvu kazi(Labour Force).Katika utafit nilijifunza mengi sana...
  11. Kisa cha ''wachawi watatu'' katika Macbeth ndani ya ukumbi wa mjadala wa kura tatu Tabora 1958

    Leo FB imenirushia kumbukumbu ya mkutano wa Tabora kuhusu Uchaguzi wa Kura Tatu wa mwaka wa 1958. Uchaguzi huu nimeueleza kwa kirefu katika kitabu cha Abdul Sykes na katika mihadhara kadhaa niliyopata kufanya. Vilevile nimeandika kitabu ''Uamuzi wa Busara,'' (2007) kuhusu Kura Tatu. Leo...
  12. T

    Mjadala wa elimu: Watoto wa viongozi wanasoma shule hizi za umma?

    Na Thadei Ole Mushi. Wiki Moja iliyopita kupitia Ukurasa mtandao wa kijamii Facebook ITV iliripoti kuwa huko Geita kwenye shule ya Sekondari Magema ina walimu wawili tu. Habari hii haikupewa kipaumbele Sana kwa kuwa Tanzania tupo selective kwenye habari. Tunapenda Sana Scandal kuliko mambo...
  13. J

    Kwanini Mbowe anakuwa sehemu ya mjadala wa bunge la bajeti pasipo na ulazima? Je, ni kwa sababu ni Mtu Maarufu?!

    Jana na Leo jina la mbunge wa zamani Freeman Mbowe limekuwa likitajwa tajwa sana bungeni huku wabunge wakipiga makofi na wengine vigelegele. Nijuavyo mimi hili ni bunge la bajeti na Freeman Mbowe siyo mbunge na wala hajishughulishi na kazi za bunge Kinachonishangaza wabunge wanapojadili...
  14. Wasanii acheni kutumika kwa kiki kuwatoa watu kwenye mjadala wa ripoti ya C.A.G, kuna waliopewa pesa

    Wasanii muachege kutumika vibaya aisee. Haswa nyie wachafu sijui wachafu wa nafsi na team yenu. Yaani mnapewa pesa na maagizo ya watu fulani fulani hivi mtengeneze kiki ili mutoe watu kwenye reli ya kujadili report ya CAG kwa manufaa ya kikundi fulani hii haikubaliki. Nyie wasanii ndo maana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…