https://youtu.be/vbYWViPdGYk
Historia hii ya fikra ya kuunda TANU kutoka Kalieni Camp, nje kidogo ya Bombay Mkesha wa Xmas mwaka wa 1945 ipo katika kitabu hicho hapo chini kilichoandikwa na Judith Listowel na kuchapwa mara ya kwanza London 1965.
Habari za Mida hii Wana Jamii Forum
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristo Mkatoliki
Nimetembelea Nchi ya Israel ktk majimbo ya Jerusalem, Galilaya na Samaria
Ni Mfuasi wa siasa za kutetea haki, amani na Maendeleo jumuishi
Katika Pita pita Zangu Mitandaoni nikakutana na Video Clip akiwa...
Wanazuoni wa Dini za Kikristo na Kiislam (Dr Sule na Pastor Ndacha ) wameandaa mdahalo wa Dini hizi mbili hapo Ukumbi wa PTA tarehe 16 na 17 December 2023.
Katika mahojiano yao kupita Vivo online tv, wamejinasibu kuwa mdahalo huo utakuwa wa kistaarabu na wenye kuimarisha imani za waumini wao...
Salaam,
Ndugu zanguni sidhan kama ni mm pekee ndo nimeona hili. Hawa watoto wa 2000s -23 yrs old and below ukikuta kaharibika basi kaharibika sana (what went wrong?) na ukikuta anajielewa basi anajielewa zaidi ya mtu wa miaka 30 na alichokosa tu ni experience (what went right?)
Hapa mjini...
Kiongozi mkuu mkazi wa Hamas,Yahya Sinwar amekuwa akiongoza majadiliano kwa umakini kwa kushirikiana na kiongozi mwenzake wa kisiasa Ismail Haniye aliyeko Qattar.
Majadiliano hayo yanayosimamiwa na Marekani na Qattar kuhusu vita baina ya wapalestina na Israel yametajwa kukaribia kufikia...
Ikiwa ni Siku ya pili (Nov 8) ya Tamasha la Jinsia kutoka TGNP, JamiiForums inashiriki kwenye Mjadala kuhusu 'Ushirikishwaji wa Wanawake na Wasichana katika Usalama wa Kidijitali na Faragha ya Taarifa'
Mjadala huu utaangazia namna ya kuongeza Ushiriki wa Wanawake kwenye Nyenzo za Kidijitali...
Kwa siku kadhaa, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson limejadili Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG).
Kimsingi, Wabunge wengi wameuona, wameusemea na kuukaripia ufisadi na ubadhirifu mkubwa ulioainishwa kwenye Ripoti ya CAG. Wabunge...
Kama kichwa cha habari. Naona huu utaratibu wa mbunge kupiga kelele ' taarifa, taarifa, taarifa' una distract anayeongea.
Yaani mimi huwa hata siwaelewi, unavuruga kabisa flow ya mchangiaji na hata usikivu kwa sisi wasikilizaji.
Nadhani hicho kipengele kiliwekwe kwa nia nzuri na Mabunge ya...
"Hadi asuswe na Waislamu wenzake, wana TANU na wananchi wote, bali lilikuwapo tatizo kubwa.
Hii haiwezekani ikatokea tu kama bahati mbaya, hapana."
(Kaniuliza Muulizaji)
MOHAMED SAID ANAJIBU:
"Hakika lilikuwapo tatizo kubwa
Katika mkutano uliofanyika nyumbani kwa Hamza Mwapachu Nansio...
Asalam Aleykum wapenzi wana JF.
Ama baada ya salamu hizo, nitumie nafasi hii kumkumbusha Spika wa Bunge la JMT mh. Dk. Tulia Acson kuhusu ahadi yake aliyoitoa mnamo mwezi Aprili kuhusiana na mjadala wa Ripoti ya CAG iliyotolewa mwaka huu 2023.
Dk. Tulia Acson katika kuwanyamazisha badhi ya...
Wanabodi,
https://www.youtube.com/live/clOESBBmMmI?si=WZKqn4KF5vTxrtGR
Leo Tarehe 10 October ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga Adhabu ya Kifo. Niko hapa jengo la Wakili House kuwaletea live mjadala kuipinga adhabu ya kifo nchini, ulioandaliwa na Chama cha Mawakili Tanganyika, TLS.
Kiukweli TLS...
Nauliza, kati ya Mobhare Matinyi(Mwanafamilia Mwandamizi wa Kipanga House aliyewiva hata mara kadhaa jina lake kufikishwa mezani kwenye Mamlaka za Uteuzi ateuliwe kuwa DG wa Jumba lile).
na Ndg. Salim Kikeke (with due respect, Mshereheshaji na Chawa Mkuu wa Makolo FC kwa sasa) nani alipaswa...
Mapitio ya Awali: Katiba ni waraka muhimu katika kusimamia utawala na kuelekeza maendeleo ya nchi. Tanzania, kama nchi nyingine, imekutana na mjadala wa kuandika katiba mpya, na hoja mbalimbali zimejitokeza kutoka kwa wadau wa mchakato huo. Taarifa hii inatoa tathmini ya kitaalam juu ya mjadala...
Mtandaoni ni mahali ambapo kunaweza kuwa na fursa nyingi; matumizi mazuri ya kimtandao yanaweza kutambua fursa chanya za kufungua faida nyingi zinazopatikana kwenye mazingira haya ya kisasa ya kimtandao.
Lakini Mtandaoni kuna masuala ya Utapeli pia. Je, Umewahi kukutana na matukio ya Utapeli...
Mada hii ianzishwe maalum kwa manufaa yetu sisi wananchi toachane na bandari ambayo inaweza pia ikawa inatusadia au haitusadii, tuachane na mchakato wa katiba, tujikite kwenye mchakao wa kubinafsisha TANESCO na Shirika la maendeleo la petroli TPDC, uchumi wowote wa nchi duniani unaanza na sekta...
Wasalaam, Tumsifu kristo na bwana wa majeshi.
Nimekuwa nikitafari sana juu ya waliofanya jambo la kuleta huu mkataba na nimepata kuamini pamoja na watawala wengi kuwa ni wafuasi wa freemasons na illuminati lakini bado nguvu ya Mungu haiteteleki.
Jeuri, kibri, dharau havina nguvu mbele ya Mungu...
Kwa ufupi kabisa sakata la DPW ni ukiukwaji wa wazi wa sheria na katiba ya nchi yetu.
Ndiyo maana hata wanaopinga wanataja vifungu vya sheria ambavyo vimekiukwa.
Sasa wale wenzetu wa upande wa pili sisikii wakitaja vifungu chochote cha sheria kuutetea mkataba kwamba ni halali bali na kuongea...
Haijapata kutokea katika historia ya nchi yetu masuala ya kiuchumi kugeuzwa mjadala wa kidini.
Kuliwahi kuwepo na miradi ya kifisadi iliyodumu na kuleta athari mbaya kwa nchi wakati wa maraisi walipita yote ilijadiliwa kwa ufisadi wake na yote yaliyofuata yalikuwa malalamiko ya kawaida tu.Huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.